Professional Documents
Culture Documents
Sayansi STD III
Sayansi STD III
ii. Chanzo cha asili cha nishati ya joto ni _____ a) umeme b) jua c) chemli
iii. Sifa mojawapo ya mwanga ni ____ a) kuzimika b) kumulika c) kusafiri katika mstari mnyoofu.
vii. Yupi ni mdudu hatari kati ya hawa wafuatao? a) nyuki b) panzi c) kumbikumbi
viii. Kipi ni chakula cha wanga kati ya hivi ? a) ugali b) mtindi c) mayai
2: Oanisha maneno kutoka kifungu A na B ili kupata maana katika swali la i hadi vi
NA KIFUNGU A KIFUNGU B
i. Huduma ya kwanza A: nge na kipepeo
ii. Baadhi ya wadudu wenye sumu B: Mpeleke aliyejeruhiwa hospitalini au kwenye
zahanati.
iii. Vifaa vya huduma ya kwanza kwa C: Kupunguza maumivu na kuokoa maisha.
aliyeumwa na mdudu mwenye simu
iv. Baada ya kutoa huduma ya kwanza D: Nyuki na tandu
v. Huduma ya kwanza hutolewa ili _ E: mtu yeyote
vi. Huduma ya kwanza inaweza kutolewa na F. wembe, pamba, spiriti na glovu
G: Maji ya kitunguu swaumu na jivu
H: Ni msaada unaotolewa kwa majeruhi kabla ya
kwenda hospitalini
I: Mpeleke aliyejeruhiwa nyumbani
A B
3: Tumia picha ifuatayo kujibu swali la i hadi v
i. Mdudu aliyeoneshwa kwa herufi A anaitwa ____ C
ii. Kitu kilichooneshwa kwa herufi B ni _____
iii. Kiumbe hai aliye oneshwa kwa herufi D
hujongea kwa kutambaa ardhini, je anaitwaje? ____ E D
iv. Herufi C inaonesha kifaa kinachotumika kila siku
katika mazingira yetu. Je kifaa hicho huitwa ____
v. Kazi ya kifaa kilichooneshwa kwa herufi C ni ____
4: Jaza nafasi zilizo wazi katika swali la i hadi iv
i. Utumbo wa binadamu umegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni ____
na ____
ii. Aina mbili za simu ni _____ na _____.
iii. Taarifa iliyohifadhiwa kwenye jalada au kwenye kompyuta huitwa ____
iv. Kiumbe hai akikosa hewa nini kitatokea ? ____