Professional Documents
Culture Documents
Swahili s2
Swahili s2
( Mwalimu: SUGIRA )
DARASA LA 2
SURA YA 1:
1. MSAMIATI:
Eleza maana ya maneno yafuatayo:
a) Mama f) Kifaranga
b) Siku g) Kilimo
c) Dada h) Ufugaji
d) Samadi
e) Wanyama howa
e. Karo
f. Usiku
a. Mbolea g. Kupanda
b. Mifugo h. majira
c. Wanyamapori i. mazao
d. Mkulima
3. SARUFI:
Maamkizi: Jibu:
a. Wambaje ………………
b. hongera ……………..
c. …………. Tunayo
d. Pongezi ……………..
e. ………….. Buriani dawa
f. Tuonane kesho ……………..
g. ………… binuru
h. asante …………….
i. salama ……………..
j. ………… sijambo
a. Taja majina ya pekee ya viongozi shuleni mwenu.
b. Andika aina za majina yanayochorewa mstari katika sentensi zifuatazo:
Uasherati unaeneza ukimwi.
Tulikuwa na furaha baada ya kuwaona wanyamapori.
Ni wajibu wetu kuheshimu utajiri utokeapo nchini Rwanda.
SURA YA 2:
A. MSAMIATI:
a. Sare
b. Rubani
c. Bwalo
d. Bweni.
e. Waraka
1 2 3 4 5 6 7
MATUMIZI YA LUGHA:
a. Wambaje? …………
b. Pongezi. ………...
c. …………….. Salmini
d. Tuonane kesho. ………...
e. …………….. Buriani dawa
Umoja: Wingi:
1. Mimi …………..
2. ……… Nyie/ Nyinyi
3. Yeye ………….
II. UTUNGAJI
1. Andika baruwa kwa mzazi wako ukimweleza tarehe ya kufunga shule yenu.
2. Andika mwaliko kwa wanafunzi wa zamani wa shule yetu wahudhurie sherehe za kutoa
zawadi shuleni mwenu.
3. Kuna tofauti gani kati ya baruwa rasmi na baruwa ya kirafiki?
SURA YA 3
E. eleza maana:
1. mshambuliaji
2. golikipa
3. timu
4. chandarua
5. maabara
6. kipimajoto
SURA YA 4:
A. MSAMIATI:
a. Jibu maswali hapo chini
Sehemu A Sehemu B
a. Mto
b. Jiwe
c. Jembe
d. dada