You are on page 1of 4

STRAIGHT WAY EDUCATIONAL ASSESSMENT PLATFORM (SEAP)

Physical Address: Tabora Municipality-Tanzania.


Email Address :straitwayplatform2023@gmail.com, Contacts 0627752023/0695628610
COMPETENCE BASED EXAMINATION ASSESSMENT SERIES -2024
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI

JINA LA MTAHINIWA_____________________________________________________
JINA LA SHULE______________________________________________________
MKOA_________________________________WILAYA_____________________
TAREHE_________________________________MUDA:SAA1:30
INSTRUCTIONS
1. Mtihani huu una jumla ya maswali matano (5)
2. Jibu mswali yote kulingana na maelekezo ya kila swali
3. Majibu yote yaandikwe kwa kalamu ya wino mweusi au buluu
4. Simu hazirhusiwi kwenye chumba cha mtihani
5. Kumbuka kuandika jina lako katika nafasi uliyopewa

MATUMIZI YA MTAHINI TU
Namba ya Alama Saini ya mtahini Sani ya mhakiki
swali
1.
2.
3.
4.
5.
6.
Total
1. Chagua jibusahihi kishaandika herufiyake kwenye nafasi ulizopewa
i) Mwenendo au utendaji unaoridhisha na kukubalika katika jamii
hujulikanakama
(a) Utendajikazi (b) maadili (c) utii (d) nidhamu ( )
ii) Vifuatavyo ni vyanzo vya historia ya Tanzania isipokuwa
(a) Kusomavitabu (b) kusikilizamasimulizi(c) akiolojia (d) saikolojia ( )
iii) Tanganyika ilipata uhuru mwaka gani ?
(a) 9/12/1961 (b) 26/4/1964 (c) 17/3/2021 (d) 24/7/2020. ( )
iv) Nkuba ni msukuma kutoka bariadi .ipi ni njia inayotumiwa na wanawake
wenyeji wa mkoa huo katika kusalimiana/
( )
(a) Kushikanamikono (b) kupigamagoti (c) kusimama (d) kukumbatiana.
v) Mwalimu wetu alitufundisha faida za kusaidiana katikajamii .Ni faida ipi
hakuitaja kati yahizi zifuatazo?
(a) huimalishaupendo (b) huimalishaushirikiano
(c)kupatamsadaukipatatatizo (d) hukuzauaduinaunafiki. ( )
2. Oanisha maswali katika kipengele A na kipengele B kasha uandike majibu sahihi
katika nafasi ulizopewa.

SEHEMU A MAJUBU SEHEMU B


(i) Jumla ya matukio yaliyotokea Tanzania tangu a) DoktaLous
mwanzo mpaka sasa Leakey
(ii) Mwana aikolojia aliyegundua fuvu la binadamu b) Historia ya
wa kale eneo la olduvai Gorge Tanzania
(iii) Mwaka ambao Tanzania iliundwa c) 26 April 1964
(iv) Hali yakufanya jambo kwa Pamoja d) Ushirikiano
e) Maadili
(v) Taasisi inayohusika na kuzuia na kupambana na f) TAKUKURU
adui Rushwa nchini Tanzania g) TANESCO

Contact: Mr.Hilary – 0627 752 023/0695 628 610


3. Jaza nafasi zilizo wazi kwa kuchagua jibu sahihi kwenye kisanduku

Kondoa irangi,bonde la olduvai,Laetoli Arusha,bonde la isimila,pembe za ndovu,


bagamoyo,engaruka.

(i) Bidhaa kubwa illiyochukuliwa na wageni kutoka nchini kwenda bara la


asia_____________________________
(ii) Eneo lenye urithi wa kihistoria kuhusu zana za mawe za
kale_________________________
(iii) Eneo lenye urithi wa kihistoria kuhusu zana za chuma
________________________
(iv) Eneo lenye urithi wa kihistoria kuhusu fuvu la binadamu wa kale
_____________________
(v) Eneo lenye urithi wa kihistoria kuhusu michoro ya kale ya
mapangoni______________________
4. Baini vitendo vya kimaadili na visivyo vya kimaadili kwa kuweka alama ya vema( )mahali
panapohusika .kipengele (i) umepewa kama mfano.
TABIA KITENDO KITENDO KISICHO
CHA CHA KIMAADILI
KIMAADILI
(i) Kuosha vyombo baada ya kula
(ii) Kuhudhuria na kutoa mchango msibani
(iii) Kutoroka nyumbani
(iv) Kuwasaidia wasioji weza
(v) Kusema uongo
(vi) Kuheshimu watu waliokuzidi umri

5. Soma kwa makini picha zifuatazo kasha jibu maswali yanayofuata

A. B. C.

(i) Taja tabia isiyo ya kimaadili inayooneshwa katikapicha


A_____________________________
(ii) Taja tabia ya kimaadili inayoonekana katika picha
B__________________________
(iii) Taja tabia ya kimaadili inayoonekana katika picha
C______________________________
(iv) Je ungefanyaje ikiwa mtu mwenye umri mkubwa kama mzee ataingia kwenye
daladala na kukuta umekaa?___________________________
(v) Kitu gani cha kwanza huwa unafanya mara tu unapo amka asubuhi nyumbani
kabla ya kujiandaa kwenda shuleni?________________

6. Soma hadithiifuatayokishajibumaswaliyanayofuata.
Tanzania nimuungano wan chi mbiliambazoni Tanganyika na Zanzibar.
Nchihizimbiliziliunganamnamotarehe 26 april 1964.
WaasisiwamuunganowetuniHayatiMwalimu Julius Kambarage Nyerere
ambayealikuwaRaiswa kwanza wailiyokuwaJamhuriya Tanganyika baadae Tanzania.
Na Sheikh Abeid Amani KarumealiyekuwaRaisiwa kwanza wa Zanzibar. Waziri
mkuuwa kwanza wa Tanzania alikuwa Rashid mfaumeKawawa.
Muunganoumetupamanufaamengiikiwemoamani,ushirikiano,naupendokwawatuwapa
ndezotembili.

MASWALI
(i) Tanzania nimuungano wan chingapi ? __________________________
(ii) Raisiwa kwanza wa Zanzibar alikuwaanaitwanani
?________________________
(iii) Raisiwa kwanza wa Tanzania
alikuwaanaitwanani?_____________________________
(iv) Nani alikuwaraiswa kwanza
waaliyokuwajamhuriyaTanganyika?_______________________
(v) Tajamanufaayamuunganowa Tanganyika na Zanzibar
(a) _____________________________________________________
(b) ________________________________________________________

Contact: Mr.Hilary – 0627 752 023/0695 628 610

You might also like