You are on page 1of 5

3/14/24, 11:22 AM URAIA STANDARD SIX EXAMS SERIES

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOGIA

MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA DARASA LA SITA

MUDA:1:30
JINA____________________________SHULE___________________
MAELEZO
1. Jaza taarifa zako muhimu katika karatasi ya kujibia uliyopewa
2. Jibu maswali yote kulingana na maelekezo ya kila sehemu
3. Zingatia unadhifu wa kazi yako
4. Katika swali la 1-40 andika herufi ya jibu sahihi
5. Kwa swali la 41-45 andika majibu katika nafasi iliyoachwa wazi

Chagua jibu sahihi katika swali la 1-40 kisha andika jibu katika nafasi uliopewa
1. Ipi kati ya zifuatazo ni sababu za ongezeko la matendo ya ukiukwaji wa haki za binadamu? (a)
Kulipa kodi stahiki (b) Watoto kutopelekwa shule za bweni (c) Watu kujichukulia sheria mkononi (d)
Upendo kwa watu wenye mahitaji maalumu

2. Yafuatayo ni madhara ya kutokuwa muwazi: (a) Kusifiwa na kuharibu (b) Kuleta migongano (c)
Uzembe na uhalifu (d) Mshikamano na uvivu

3. Ipi kati ya tabia zilizoorodheshwa inaonesha uvunjifu wa sheria za shule? (a) Kuwahi sana shuleni (b)
Kusoma kwa bidi (c) Utoro na kupigana (d) Kujisomea nyumbani baada ya masomo

4. Kanuni zinazowekwa shuleni na nyumbani husaidia nini? (a) Kufuata utaratibu na kudhibiti
nidhamu (b) Ukiukaji wa haki za mtoto (c) Ubabe wa wazazi au walezi (d) Kuleta fujo
5. Ari ya kufanya kazi inaitwa? (a) Hamu (b) Bidii (c) Morali (d) Mori

6. Fedha au mavuno yatokanayo na kazi unayofanya huitwa (a) Mali (b) Mshahara (c) Kipato (d) Malipo

7. Tathmini shuleni inapaswa kuwa; (a) Kazi za darasani tu (b) Kazi za darasani na nje ya darasa (c) Kazi za
viwanjani (d) Katika mitihani tu

8. Kuangalia kitu kwa undani kisha kukadiria thamani yake au ubora wake huitwa (a) Kuchunguza (b)
Mpangokazi (c) Tathmini (d) Morali
9. Hali inayopunguza ukamilifu wa kitu inaitwa? (a) Shida (b) Kudorora (c) Kupooza (d) Kipato

10. Hali isiyo na jibu la haraka huitwa: (a) Taaluma (b) Fursa (c) Utata (d) Changamoto

11. Ni mataifa yapi kati ya yafuatayo yalianzisha umoja wa nchi zisizofungamana na upande wowote? (a)
Ulaya Mashariki. (b) Nchi zinazoendelea (c) Ulaya Magharibi. (d) Amerika ya Kusini (e) Amerika ya
Kaskazini

12. Tanzania inapata faida gani kwa kuongeza biashara yake ya kimataifa?(a) Kuongeza majengo (b)
Kupunguza wajasiriamali wa ndani (c)Kuongeza deni (d) Kupunguza mikataba ya kibiashara (e)
Kuongeza fedha za kigeni

https://learninghubtz.co.tz/primary-exams-series-std6.php?sub=dXJhaWE%3D 1/4
3/14/24, 11:22 AM URAIA STANDARD SIX EXAMS SERIES

13. Upi si umuhimu wa kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na mataifa mengine? (a) Kupata utaalamu na
teknolojia (b) Kudumisha utamaduni wa Mtanzania (c) Kukuza migogoro kati ya nchi na nchi (d) Kupata
pesa za kigeni
14. Tanzania imefanya nini katika kujenga jamii inayoheshimu utamaduni wake? (a) Kuwakinga raia wake
na utandawazi (b) Kufundisha lugha za asili (c) Kuwa na vyombo vya kuendeleza utamaduni (d)Kuzuia
tamaduni zote za kigeni

15. Moja ya mambo yafuatayo si kweli kuhusu mambo ambayo mgonjwa wa ukimwi anapaswa
kutendewa: (a) kustaafishwa kazini (b) kula pamoja (c) kucheza naye (d) kujadiliana naye kuhusu
maendeleo yake (e) kupewa tiba kwa magonjwa nyemelezi

16. Mambo ambayo kila mwanadamu anastahili kupata bila kujali kabila, utaifa au jinsia huitwa: (a) Utawala
bora. (b) Haki za binadamu. (c) Utawala wa sheria. (d) Demokrasia. (e) Usawa wa kijinsia

17. Moja ya matukio yanayokiuka Haki za Binadamu nchini Tanzania ni..............(a) Mauaji ya vikongwe na
maalbino (b)Ukataji na upandaji mid (c) kuwafungulia mashtaka wahalifu (d) kufukuzwa kazi viongozi
wasio waadilifu(e) Serikali kusimamia ukusanyaji kodi

18. Kuzingatia sheria, haki za bianadamu, ukweli na uwazi, na uhuru wa vyombo vya habari ni misingi
ya (a)Urasimu (b) Utawala wa sheria (c) Ujamaa wa kiafrika (d)Demokrasia ya Uwakilishi (e)
utawala bora

19. Haki za binadamu zinapaswa kutolewa kwa watu wote bila kujali .(a)vyama vya siasa. (b) katiba ya nchi.
(c)haki za makundi maalumu. (d) umri wa mtu. (e) rangi, dini, jinsi na kabila.

0. Mambo yote ambayo watu wote wanastahili bila ya kujali kabila, utaifa au jinsia ya huitwa(a) utawala
bora (b) haki za binadamu (c) utawala wa sheria (d) demokrasia (e) usawa wa kijinsia
Chombo cha juu katika maamuzi kwenye serikali ya lupp ni (a) Serikali ya lupp (b) Kamati ya
20.
ulinzi na usalama(c) Mkutano mkuu wa lupp (d) Afisa Mtendaji wa lupp(e) Kamati ya Maendeleo ya
kilili
21. Lipi kati ya majukumu yafuatayo si jukumu la mwanafunzi awapo shuleni?(a) Kupika chakula cha
wanafunzi wenzake (b) Kufanya usafi darasani (c) Kuhudhuria paredi (d) Kufanya bidii masomoni

22. Tunapojifunza na wenzetu tunapata faida zifuatazo isipokuwa: (a) Kujenga kumbukumbu ya muda mrefu
(b) Kujenga tabia ya uvumilivu (c) Kupendelea wengine (d) Kujenga urafiki

23. Tunaweza kujifunza mambo katika mazingira yetu kwa njia ifuatazo isipokuwa (a) Kusoma magazeti
na vitabu (a) Kusikiliza redio na kuangalia runinga (c) Kupitia ndoto zetu (d) Mahubiri kanisani na
msikitini

24. Nani anaweza kutoa ushauri? (a)Mzazi to (b) Mwalimu pekee (c) Mtu yeyote anayeamini anaweza
kukusaidia (d)Rafiki yako

25. Njia ya kwanza ya kupata ushauri ni? (a) Kupayuka (b) Kuwa na utayari (c) Kushirikisha (d)
Kuomba msaada

26. Jambo linalo mkabili mtu na linahitaji ufumbuzi linaitwa? (a) Shida (b) Tatizo (c) Changamoto (d)
Suluhu

27. Zifuatazo ni mbinu za kukabiliana na watu wanafiki isipokuwa (a) Kuwatangaza wanafiki hadharani (b)
Masimulizi ya hadithi (c) Kutumia vyombo vya habari (d) Kuwashauri na kujenga urafiki nao

28. Kitendo cha mtu kufanya jambo kwa kinyume anachosema kinaitwa? (a) Uzaleendo (b) Unafiki (c)
Ukatili (d) Uwongo

29. Mjowapo ya faida ya kujiamini ni? (a) Kujipenda (b) Kushirikiana na wenzake (c) Kukosa
ustaharabu (d) Kuongeza bidii na kutafuta msaada
https://learninghubtz.co.tz/primary-exams-series-std6.php?sub=dXJhaWE%3D 2/4
3/14/24. 11:22 MI URAL& STANDARD SIX EXAMS SEREI3
31. Msulatmo unaotoka ndani yalw na nguvu ya pekee katika lailanildsha mambo huitwa? (a)
Uvutrulivu (b) Nidhamu (c) Kujiamini (d) Uadilifu
32. Ni chombo gani chenye Jukumu la kullnda nchi yetu na mipaka yaks? (a) Jeshi la Polisi Tanzania.
(b) Jeshi la Magereza la Tanzania. (c) Jeshi la Kujenga Taifa. (d) Jesht la Wananchi la
'Panzani. (e) Jest)] la Mgambo
33. Molawapo ya kazi za mgambo nl(a) kukamata wahalifu na kuwapeleka kwenye kayo cha polisi
(b) kuadhibu wanaovunja sheria mijini (c) lumina ajali za moto (d) kukusanya kodi ya
maendeleo mijini (e) lcuzun na kupambana na rushwa
34. Ngao ya taifa inawabdlisha: (a] umoja, uhuru, uwezo na mamlaka ya taifa (b) uhuru, umoja na
rasilimali za taifa (c) uwezo, uhuru, uoto wa asill na mamlaka ya talfa (d) uhuru, umoja na
mamlaka ya taifa (e) uhuru na umoja
35. Kiongozi mbam wa shule ni (a) mwalimu mlwu rasaidizi (b) mwallmu wa taaluma (c) kiranja mlmu
(d) rnwalimu mkuu (e) mwallmu wa nldhamu
36. Kaull mbhi ya Tanzania iliyopo kwenye nembo ya talfa ni: (a] uhuru na maendeleo(b) uhuru na kazi
(c) uhuru na umoja (d) uhuru na amain (e) umoja na amani
37. Malukumu malum ya kiongozi wa familia Di yapf? (a) kuwapatla wanafarnitia rnahttall ya msingi
(b) kupeleka watoto shule (c) kuwasaidia ndugu, jamaa na marafild (d) kufanya !cut kwa bidli
(e) kurelcebisin tabia za wanafamilia
38. Uhuru, haki na udugu ni misingi ya nini? (a) Demokrasia (b) Azirnio la Arusha (c) Katiba ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania (d) Utawala wa sheria (e) Mfumo wa siasa ya vyama vingi nchini
39. Baba, mama na watoto kwa pamoja buunda: (a) ulcoo. (b) familia papa (c) jamii (d) familia (e)
lumuiYa
40. Ukoo ni muunwo wa: (a) familia zinazokaa karthu (b) familia nyingi zenye asili moja (c) familia
nyingi zilizo rafilri (d) baba, mama na watoto. (e) familia zilizoungana kufanya kazi pamoja.

Chunguza Picha hit inayoonyesha moja wap-o ya rasilixnali 72 Tanzania kisha film Maswali

41. TaJa shughuli kuu Inayofanylka katfica eneo hili


42. TaJa faida mbffi zinazotokana na shughull inayofanylka hapo Jun

httpsAlearnirchublz.co.tztprImary-etairreserloseldephp7oub=d;ChaWE%3D 3/4
3/14/24, 11:22 AM URAIA STANDARD SIX EXAMS SERIES

43. Taja mbuga mbili kuu za wanyama Tanzania


44. Tunawezaje kutunza rasilimali kama hii Napo juu?
45. Taja hasara mbili za utalii kwa Taifa

https://learninghubtz.co.tz/primary-exams-series-std6.php?sub=dXJhaWE%3D 4/4

You might also like