Professional Documents
Culture Documents
Kiswahili F2 MS
Kiswahili F2 MS
MWONGOZO
MTIHANI WA UFUNGUZI – MUHULA WA PILI 2023
SEHEMU A
UFAHAMU
Majibu
a) Pendekeza kichwa mwafaka kwa taarifa uliyosoma. (al 1)
Ukimwi
kuwaua
d) Eleza madhara yoyote matatu ya ukimwi kulingana na taarifa. (al 3)
- Kuwaua mamilioni ya watu
-Hosipitali na zahanati kushindwa kukidhi mahitaji ya ugonjwa huu.
-Kuangazima vijana
3x1
(i) Janga
Tukio baya linalosababisha maafa ,taabu,na mateso.
(ii) Takribani
karibu
SEHEMU YA B: MATUMIZI YA LUGHA (AL 40)
(ii) /i/ ni irabu ya mbele na midomo imetandazwa ilhali /u/ ni irabu ya nyuma midomo
imeviringwa (al 2)
a-nafsi/
ngeli li-
wakati
ye-
kirejeshi
pig-mzizi
a-kiishio
(c) Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya mstari.
Wanafunzi walitembea taratibu bali wazazi wao walitembea upesi.
S-S1+U+S2 S2-KN+KT
S1-KN+KT KN-N+V
KN-N N-wazazi
N-Wanafunzi V- wao
KT-T+E KT-T+E
T-walitembea T-walitembea
E-taratibu E-upesi (al 2)
3.(g) Mkato/kipumuo hutumiwa msomaji anapohitaji kutua. Kwa kutunga sentensi mbili tofauti.
Onyesha matumizi mengine mawili ya mkato.
(alama 2)
i)Kutenganisha maneno kwenye
orodha ii)kuandika anwani
iii)kuonyesha mwanzo au mwisho wa usemi halisi
iv)Baada ya neno ndio,la,asante
v)Baada ya kutaja jina la mtu anayepewa habari .
(h) Andika sentensi ifuatayo upya kwa kutumia 'o' rejeshi tamati.
Darasa ambalo hunadhifishwa vyema huwa na hewa safi. (alama 2)
(i) Laini ni kwa ngumu, kashifu ni kwa sifu na kusanya ni kwa tawanya (alama 2)
Kemboi alitaka kujua kwa nini matwana hayakupita hapo siku hizo.
Matumizi ya o-ote
Mwanafunzi yeyote
atatuzwa.
(L)Andika sentensi ifuatayo upya katika wakati ujao hali timilifu
Mwalimu huwasomesha watoto wote. (alama 2)
(m) Rafiki yako ana mazoea ya kukataa kusikiliza na kufuata mawaidha au ushauri mzuri wa
wazazi au wakubwa wake. Andika methali unayoweza kutumia ili kumwonya dhidi ya tabia
hiyo. (alama 1)
a. i) Hurafa (1x1=1)
ii)
Wahusika ni wanyama na au ndege.
Wanyama na ndege hupewa sifa za binadamu
Ni kazi ya ubunifu.
Huwa na ucheshi mwingi
Huwa na sifa zinazohimizwa na zinazoshutumiwa.
Ujanja au uongo hujitokeza katika hurafa za kijanja.
Ushindi hujitokeza katika hurafa za kijanja. (3x1=3)
iii)
Kutahadharisha watu dhidi ya kuwa wa danganyifu/kudanganyika kwa urahisi.
Kuonyesha jinsi tabia ya udanganyifu inavyoweza kujitokeza na kuathiri watu.
Hutoa mafunzo na kuonya kwa njia ya kuchekesha na isiyoumiza.
Hurafa za kijanja hufunza jinsi ya kupampana na hali ngumu.
kuburudisha
(3x1=3)