Professional Documents
Culture Documents
Kiswahili f2 2022 Ms
Kiswahili f2 2022 Ms
1. INSHA
Mgaagaa na upwa hali wali mkavu
Mwanafunzi aandike kisa kinachotoa maana kuwa anayefanya juhudi za kazi katika kutafuta mali
hakosi kufanikiwa.
(alama 2)
4. Amekuja kumsalima nyanya yake
(alama 2)
5. Tu-li-wa-pik-ish-a
Tu- nafsi ya kwanza
li- wakati uliopita
wa- kitendwa
pik-mzizi
ish- kauli ya mnyambuliko
a- kiishio
(alama 3)
6. i) Mama alimlisha mtoto.
ii) Chumba kilifagiliwa vizuri na Julia.
(alama 2)
7. i) Sentensi ambatano
(alama 2)
8. “Acha tabia ya ulevi, ” Kasisi alimshauri Meja.
(alama 2)
9. i)Marashi- YA-YA
ii) Chai- I-I
(alama 2)
10. ndwele ni kwa ugonjwa/maradhi
(alama 1)
11. Mtoto aliharibu kanda yangu.
S KN + KT
KN N
N Mtoto
KT T+N+V
T aliharibu
N kanda
V yangu
b) i)Huigizwa na watoto
ii)Kila jamii ina michezo mahususi inayooana na shughuli za jamii hiyo.
iii) Maudhui ya michezo ya watoto hufungamana na shughuli za kitamaduni za jamii zao.
iv) Huhusisha pia nyimbo za watoto
v) Huwa na miondoko mingi kama vile mwajificho.
(zozote 3x1=3)
c) i)Wawe-nyimbo za kilimo
ii) Kimai- nyimbo za uvuvi au shughuli za majini.
(zozote 2x1=2)
d) i)Kutumbuiza na kuongoa mtoto
ii) Kumsifu mtoto ambaye ni mtulivu.
iii)Huwasiri mfumo wa kiuchumi wa jamii husika.
iv)Huwasiri mahusiano katika jamii.
v) Hutakasa hisia za mwimbaji.
vi) Humwelimisha mtoto
vii)Huwasiri mtazamo wa jamii kuhusu jinsia na matarajio ya jamii kwa jinsia fulani.
Viii) Huwaonya watoto dhidi ya tabia hasi.
(zozote 2x1=2)