You are on page 1of 2

HISTORIA FUPI YA MAREHEMU ALLY BETRAM MWAGENI

KUZALIWA

Marehemu Ally Betram Mwageni Alizaliwa Mnamo Tarehe 5/12/1968 Katika Kijiji Cha
Igoma Wilaya Ya Njombe Mkoa Wa Iringa

HUDUMA YA KIROHO

Alibatizwa katika kanisa la KKKT Njombe na kuwa muumini wa kanisa la KKKT

ELIMU

Marehemu Alisoma Shule Ya Msingi Igoma Njombe Na Kuthitimu Elimu Yake Ya Msingi
Mwaka……………………………..

Baada Ya Hapo Marehemu Aliendelea Na Elimu Ya Sekondari Uwemba Sekondari Na


Kuhitimu Mwaka……………………. Baada Ya Hapo Marehemu Aliendelea Na Elimu Ya
Chuo Kikuu Chuo Cha Ualimu Mkwawa Na Kuhitimu Mwaka………………………

KAZI

Marehemu Aliajiriwa Katika Shule Ya Sekondari Lupembe Mwaka …………………………. Na


Baadae Kuajiriwa Katika Shule Ya Sekondari Meta………………………… Hadi Umauti Wake
Kufika.

NDOA

Kipindi Cha Uhai Wake Marehemu Alioa Mnamo Mwaka 1994 Na Kubahatika Kupata
Watoto Saba (7) Wakiume Watatu (3) Na Wakike (4) Na Mjukuu Mmoja (1)

MAISHA YAKE KWA UJUMLA KATIKA JAMII

Marehemu Alikua Ni Mpenda Watu Na Alikua Ni Mshauri Kimawazo Na Alikua Ni Mpenda


Kujishughulisha Na Shughuli Za Kijamii Na Likua Ni Mfugaji Mzuri Tu.
CHANZO CHA KIFO

Marehemu Alikua Anasumbuliwa Na Ugonjwa Wa Presha Na Kisukari Tangu Mwaka


2006 Mpaka Mwaka 2023 Umauti Ulipomfika Mnamo Saa Tano (5) Usiku Siku Ya
Jumatano Tarehe 12/04/2023 Akiwa Njiani Kupelekwa Hospitali Ya Mkoa Wa Mbeya
Kwaajili Ya Kupatiwa Matibabu.

SHUKURANI

Familia Ya Ally Betram Mwageni Inapenda Kutoa Shukurani Za Dhati Kwa Wafuatao

 Wauguzi Na Madaktari
 Ndugu Jamaa Na Marafiki
 Serikali Za Mtaa Na Wachungaji

Tunasema Hatuna Cha Kuwalipa Mungu Awaongezee Pale Mlipotoa

“Bwana Alitoa Na Bwana Ametwaa Jina Lakae Lihimidiwe”

You might also like