You are on page 1of 2

MKATABA WA KUKODISHA GARI

Mkataba huu ambao umeandaliwa kwa ajili ya kukodisha Gari umefanyika leo tarehe 24

Mwezi NOVEMBA Mwaka 2023.

KATI YA

……………………………………………………………..Mkataba wa S.L.P ………………katika Gari hii


huu atajulikana kuwa ndiye ANAYEKODI Mkataba.
kwa upande mmoja wa

NA
Ndugu ………………………………………. wa S.L. P……………………. LIWALE, ambaye
katika Mkataba huu atajulikana kama MMILIKI halali wa Gari kwa upande wa pili wa
mkataba huu.
NA
KWA KUWA MMILIKI WA GARI AMBAYE NI NDUGU …………………., mmiliki halali wa
Gari na ambalo limesajiliwa kwa ajili ya matumizi binafsi,Gari hili linatambuliwa kwa
utambulisho ufuatao:
S/No UTAMBULISHO
1 Namba ya usajili
2 Namba ya Injini
3 Chasses
4 Aina ya Gari
5 Model

6 Rangi ya Mtambo NA WHITE


KWA KUWA ANAYEKODI Gari ameonesha dhamira ya kukodi kwa ajili ya kufanyia kazi
ambayo Mteja amepanga kufanya yaani kubeba madaktari wa Macho,vifaa vyao na
pengine mgonjwa wa macho mmoja au wawili ambapo kazi inayotarajiwa kufanyika
imo ndani ya Mkoa wa LINDI ,Wilaya ya LIWALE.
SASA IKUBALIKE KAMA IFUATAVYO: -
1. Kwamba, anayekodi Gari atamlipa Ndugu ……………………. jumla ya malipo halali
kiasi cha Tshs ……………./- ambapo haya ni malipo ya siku NANE(08) za
makubaliano ya Mkataba huu yaani kuanzia tarehe ………………. hadi tarehe
……………. ambapo kiasi cha Tshs………………../- kitalipwa ndani ya siku TATU za
kazi na malipo ya ………………… haya yatafanyika siku ya mwisho ya mkataba huu
yaani tarehe …………………..
Kwamba, kwa kipindi chote cha Mkataba ambacho Gari litakapokuwa mikononi

mwa ALIYEKODI kwa ajili ya kazi zake: atazingatia mambo yafuatayo:-

2. Gari lazima iwe na mafuta ya kutosha muda wote wa kazi.


3. Kumlipa Dereva kwa kiwango cha Tshs. 40,000/=(elfu hamsini tu) kwa siku na
Tshs.90,000/- malipo ya Gari kwa siku.
4. Gharama za ulinzi wa Gari pia gharama za kuegesha ni jukumu la MMILIKI.
5. Kwamba Dereva atajaza Logbook ya vituo vyote ambavyo gari yake itatumika, (
KILA SIKU KWA TAREHE toka Siku ya kwanza) Gari italipwa kwa siku
itakayofanya kazi kama itakavyoonekana kwenye LOGBOOK.
6. Kwamba, Gari litafanya kazi kwa muda wa masaa kumi na mbili (12) wakati wa
kwa siku na si zaidi ya muda huo.
7. Kwamba, hakuna kazi nyingine ya ziada ambayo Gari litafanya tofauti na
makubaliano ya Mkataba huu.
8. Kwamba endapo Gari litaharibika likiwa kazini ni sharti MMILIKI wa Gari
ajulishwe na arekebishe gari kwa gharama zake;Hivyo yampasa MMLIKI
kumpatia gari dereva mwaminifu na mwenye kuchukua tahadhari juu ya
usalama wa chombo cha usafiri.
9. Kwamba, endapo itatokea tatizo katika kutafsiri Mkataba huu, sheria za nchi
zitatumika.
KWA USHUHUDA wa pande zote mbili wa makubaliano haya ambayo yatatekelezwa
kwa kuzingatia sheria za nchi kuanzia leo kama tarehe inavyoonesha hapo juu ya
kuanza kutumika kwa Mkataba huu.
Mkataba huu umesainiwa kwa makubaliano ya pande zote mbili za Mkataba huu na
kuwekwa muhuri na kutolewa hapa leo hii tarehe 08 mwezi FEBRUARI 2023.
KWA UPANDE WA MMILIKI
• Jina kamili:

• Cheo: MMILIKI WA GARI


• Sahihi…………………………………………..…….….…

KWA UPANDE WA ANAYEKODI:


• Jina kamili:

• Cheo: MKURUGENZI MTENDAJI


• Sahihi:

You might also like