You are on page 1of 1

MKATABA WA BIASHARA

Mimi ……………………………………. nakubali kuingia katika mkataba wa


bishara ya daladala, gari aina ya Noah, yenye usajiri namba T 389 CTL mali ya
Bw. Nuru Nyazirari Kitara kuanzia leo tarahe 5/11/2014 Marangu Moshi
Kilimanjaro.

Mkataba huu ni wa miezi sita, baada ya miezi sita, tutaingia mkataba mpya
kulingana na hali ya biashara. Mkataba huu utaanza leo tarehe 5/11/2014
mpaka 5/6/2014 kwa awamu ya kwanza.

Kila wiki ninakubali kuwakilisha kiasi cha pesa cha shilingi 180,000/=TSH
kwa mmiliki. Kwa kipindi hiki chote cha miezi sita, gharama za service,
matengenezo na dharura zozote zitakuwa juu yangu isipokuwa gharama za
insurance.

Sahihi

Msimamizi Mmiliki

…………………………. ……………………………..

FILBERTH KIFAI NYANGE NURU N. KITARA

You might also like