You are on page 1of 1

UMOJA GROUP SPORTS CLUB

FOMU YA KUOMBEA MKOPO

IJAZWE NA MWOMBAJI

JINA…………………………..

TAREHE………………………

ANUANI/ NAMBA YA SIMU………………………………………

KIASI CHA MKOPO UNACHOOMBA…………………………….

SABABU YA MKOPO……………………………………………………………………………………………………………

UMESHAWAHI KUPATA MKOPO WA CHAMA KABLA?

NDIO/HAPANA……………………………..

SAHIHI YAKO ……………………….

IJAZWE NA WADHAMINI WATATU:

1. MDHAMINI: JINA…………………………………………………………..THAMANI YA UDHAMINI………………………………………

SAHIHI YA MDHAMINI………………………………………………….TAREHE………………………..

2. MDHAMINI: JINA…………………………………………………………..THAMANI YA UDHAMINI………………………………………

SAHIHI YA MDHAMINI…………………………………………………..TAREHE………………………..

3. MDHAMINI: JINA…………………………………………………………..THAMANI YA UDHAMINI………………………………………

SAHIHI YA MDHAMINI…………………………………………………...TAREHE………………………..

IJAZWE NA MWOMBAJI WAKATI AKIPOKEA FEDHA:

MIMI……………………………………………………., LEO TAREHE…………………..NIMEPOKEA SH.


……………………

NA NIMEKUBALI KULIPA JUMLA YA SH…………………………………………………………..KWA KUZINGATIA


MASHARTI YA MKOPO.

SAHIHI YA MWOMBAJI………………………………..

IJAZWE NA UONGOZI:

KIASI KILICHOIDHINISHWA……………………………

RIBA YA ASILIMIA 20…………………………………..

JUMLA YA MAREJESHO ____________________

MWENYEKITI……………………………

MASHARTI YA MKOPO:

1. Riba ya mkopo ni 20%


2. Mkopo unaanza kurudishwa siku sitini baada ya kukopa. Deni lote lirudishwe baada ya
hapo kila mwezi hadi miezi sita kutoka tarehe ya kuchukua mkopo.
3. Penalt ya 25% itatozwa katika salio la mkopo iwapo mdaiwa atachelewesha marejesho
katika kipindi cha miezi sita.
4. Wadhamini watadaiwa baki ya deni pamoja na riba iwapo mdaiwa atashindwa kulipa
katika kipindi cha miezi sita.
5. Mkopaji akifariki katika kipindi halali cha kulipa deni, deni limefutika.

You might also like