You are on page 1of 1

CHAMA CHA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO CHA RITA

RITA SAVING AND CREDIT LTD


P.O.BOX 9183, Dar Es Salaam +255784216490, REG. No.DSR: 1250
Email: ritasaccos@rita.go.tz Website: www.rita.go.tz
FOMU YA MAOMBI YA MKOPO
(Dharura, Mkopo wa Maendeleo) (JAZA
NAKALA MOJA TU.)
(1) MAELEZO BINAFSI
Jina kamili…………………………………………………………... Namba ya uanachama ………...…
Tarehe ya kujiunga chama … …………………………… Check namba ……..……………..
Tarehe ya kuajiriwa ……………..Idara/Wizara …………………. Vote…………………………………
Kazi ………………. Simu ……………….. E-mail……………….…………………………………
Tarehe ya kustaafu………../…………/………….

(2) MAOMBI YA MKOPO


AINA YA MKOPO…………………………….…………………….
Ninaomba mkopo wa Tsh……...……………. Kwa maneno ……………….….…..................................
Nitakaoulipa kwa muda wa miezi…………… Kwa maneno ……………...…………….………………...
Ambazo zitalipwa Tsh. ………………….…... Kwa kila mwezi

(3) SABABU YA MAOMBI YA MKOPO


Eleza kwa kifupi madhumuni hasa ya mkopo huu ………………………………………………………...
NB: Ambatananisha fomu hii pamoja na salary slip ya mshahara wako wa karibuni

(4) WADHAMINI
(a) Jina la mdhamini wa Kwanza ………………………...….… Kazi ………………………….……………..
Check namba ………………………. Idara/Wizara ……………….……Vote………………..
Ninamdhamini mkopaji kiasi cha TSH……………., hivyo nitawajibika kuulipa mkopo huu
kupitia mshahara wangu au kwa njia ya dhamana nyingine endapo mkopaji atashindwa au
atakataa kuulipa mkopo. Dhamana yangu ni Mshahara wangu.
Saini ……………………………… Tarehe …………………
(b) Jina la mdhamini wa Pili……… ……………… Kazi ……………………………..………….
Check namba …………….. ………. Idara/Wizara …………………Vote………………….....
Ninamdhamini mkopaji kiasi cha TSH …………., hivyo nitawajibika kuulipa mkopo huu
endapo mkopaji atashindwa au atakataa kuulipa mkopo. Dhamana yangu ni Mshahara wangu
Saini ………………………Tarehe …………………..…

KWA MATUMIZI YA OFISI TU


Katika kikao cha Tarehe ……………………………………… Kamati ya Mkopo imeidhinisha mkopo wa
Tsh ……………….……. Utakaolipwa kwa kipindi cha miezi ………. na riba Tsh ……………….………..

(WALIOPITISHA MKOPO)
1. Jina ……….…………………………… Saini ……………………….. M/kiti Tarehe ………….………..
2. Jina ……….…………………………… Saini ……………………….. Katibu Tarehe ………….………
3. Jina ……….…………………………… Saini ……………………….. Mjumbe Tarehe ………….………

Fomu hii ya mkopo ni Tsh 2,000/= tu ilipiwe kwenye akaunti ya RITA Saccos kwenye tawi la CRDB,

akaunti no. 015020520010.

You might also like