You are on page 1of 1

FOMU YA MKOPO

Jina la mkopaji…………………………………………………………………………………
Kazi yangu …......……………………………..…………… ninaishi ……………………….
Kituo cha kazi ……………………………………. Namba ya simu ………………………..
Mimi ……………………………………………………………………………………….…
Nikiwa na akili zangu timamu nimepokea fedha kiasi cha Tshs. ……………………….. kwa
maneno ………………………………………………………………………………………...
Ambazo tumekubaliana kulipa (siku, wiki, mwezi,) kiasi Tshs. …………………………….
Kwa siku/wiki/mwezi ………………………………………………
Nakubali kuwa: nitalipa kwa uaminifu bila kukosa (kwa siku) wala kuchelewesha (kwa
mwezi ) na kufuata kanuni na taratibu za ofisi.
Saini ya mkopaji ………………………………….
Pia naweka …………………………………………………………………… kama dhamana
ya mkopo na endapo sitatimiza masharti hapo juu dhamana hiyo/ hizo ziuzwe kulipa gharama
ya mkopo.
Saini ………………………………………………………………………
NB: fedha hii haina matatizo (haiuzwi, haifiwi, haisafiri, nk) ukichelewesha faini.
MDHAMINI NO.1 (MWANAFAMILIA, MKE/MUME/WATOTO NK.)
Mimi ………………………………………………………………………….. nimekubali
kuwa mdhamini wa ndugu ……………………………………………………………………
saini ………………………………. Namba ya simu ………………………………………
MDHAMINI NO.2
Mimi ……………………………………………………………………………… nimekubali
kuwa mdhaminiwa ndugu ……………………………………………………………………..
saini …………………………………… Namba ya simu …………………………………
Endapo atashidwa kulipa hiyo fedha, mimi nitalipa kwa mujibu wa taratibu za ofisi.
Sahihi ………………………………….. Namba ya simu …………………………………..
Tarehe ya kuanza mkopo ……………………………………….
Tarehe ya kumaliza mkopo ……………………………………
Jina la mpokeaji ……………………………….…………………….. sahihi ………………

You might also like