You are on page 1of 2

MKATABA WA KUPANGISHA CHUMBA CHA BIASHARA.

Mimi ……………………………………………………………………… nimempangishia ndugu

………………………………………………………………… chumba cha Biashara kilichopo Nyaishozi mtaa wa Nyabitoma


mkoani Kagera kwa muda wa Miezi …………….

Kwa thamani ya Tsh ……………………… kwa kila mwezi. Hivyo atalipia Tsh …………………… ambayo ni kodi ya
Miezi …………………….. Ambayo itaanzia Tarehe …………………………… hadi Tarehe …………………………………..

MASHARTI KWA MKODISHAJI

1. Umeme ni wakuchangia, iwapo utajitokeza usumbufu kwa mchangiaji basi atakatwa kwenye
chumba husika na gharama zitamuhusu mwenye nyumba.
2. Usafi wa chumba ndani na nje ni muhimu kila siku.
3. Mwisho wa tarehe ya mkataba ndio mwisho wa kumiliki chumba, ukitaka kuendelea utasaini
mkataba mwingine.
4. Uharibifu wa aina yeyote ile basi mpangaji atagharamia ukarabati wote.
5. Kupanda kwa bei ya kupangisha kutaendana na hali ya Uchumi na mmiliki wa nyumba atatoa
taarifa mapema yaani miezi mitatu kabla ya kodi kupanda.

Mmiliki ………………………………………………………… Sahihi…………………. Tarehe …………………………

Mpangaji ………………………………………………………… Sahihi…………………. Tarehe ……………………..

Mkataba umesainiwa leo tarehe ……………………………………….


MKATABA WA KUPANGISHA CHUMBA/FREMU

KATI YA

JACKSON LIMBI

(MPANGISHAJI)

NA

MAEZZA FINANCIALS LTD


(MPANGAJI)

UMETAYARISHWA NA:

ERICK CHRISTOPHER(WAKILI)
SOSTA’ADVOCATES

MKAMBA HOUSE-UHINDINI
S.L.P 17099,

DODOMA.

Phone;O684549556/O756293627

You might also like