You are on page 1of 1

MKATABA WA PANGO LA NYUMBA/CHUMBA

Makubaliano haya ni kati ya bw/bi…………………………………………………………………


(mpangaji)
Na
Bw/bi………………………………………………………………………………………………..
(mwenye nyumba)
Kwa hiari bila ushawishi wowote………………..………….…..ameridhia kupanga katika nyumba
namba………….. iliyoko………………………………….ikiwa katika hali aliyoikuta.
Gharama ya kodi ya pango ni Tsh…………………………………… kwa mwezi/mwaka ambazo
zinalipwa kwa pamoja/awamu kuanzia leo tarehe……………………………

MASHARTI YA UPANGAJI
i. Muda wa upangaji ni mwaka/miezi………...……. tu kuanzia tarehe………………….
Hadi…………………………..
ii. Mpangaji anatakiwa kulipia kodi ya pango/chumba kuanzia miezi mitatu (3) na
kuendelea
iii. Mpangaji haruhusiwi kupangisha chumba/vyumba kwa mtu mwingine.
iv. Mpangaji atatakiwa kugharamia Ankara ya maji, umeme na usafi bila kusababisha
usumbufu kwa mwenye nyumba kwa muda wote wa upangaji wake.
v. Mpangaji anatakiwa kutunza mahusiano mema na uongozi wa mtaa na majirani zake
kwa kuzingatia masharti na sheria za upangaji.
vi. Mpangaji anatakiwa kulipa kodi ya pango siku moja kabla ya muda wa kodi aliokwisha
kulipia ili kuendelea na mkataba mwingine.
vii. Mkataba huu unaweza kuvunywa kwa notisi endapo kipengele chochote kitakiukwa.

Bw/bi……………………………………… Tarehe…………………(sahii)………………...
(Mpangaji)
Bw/bi……………………………………… ……………………… (sahii)
(Mwenye nyumba)
Bw/bi……………………………………… (Cheo) ………………………

You might also like