You are on page 1of 1

PICHA

PICHA

MKATABA WA KUPANGA CHUMBA


1. Mimi ......................................... nimekubali kwa hiari yangu mwenyewe kupanga chumba
................ kwa Bwana W. Nyambe kwa muda .....................
2. Mkataba huu utaanza kutumika tarehe ................... hadi tarehe..................kila mwezi ni shillingi
70,000/= kwa makubaliano ya malipo kamili ya Tsh.................................... ( Kwa tarakimu)
3. Nimekubali kuwa nitalipa pesa kabla sijaingia katika chumba hivyo na pia nitafuata masharti
yaliyowekwa na mwenye nyumba kama ilivyoandikwa kwenye mkataba huu.

MASHARTI KWA MPANGAJI


4. Iwapo mpangaji atakuw mkorofi kwa wapaji wenzake au kwa mwenye nyumba, hatakubaliwa tena
kuendelea kuishi hapo, maombi ya kuendelea kuishi hayatakubaliwa.
5. Mwenye nyumba anayk haki ya kumtoa mapangaji iwapo atakuwa mpangaji mgomvi, mlevi wa
kupindukia, fujo , kufofanya usafi au uharibifu wa chumba
6. Mpangaji atajilipia umema na maki kwa kupitia TANESCO na DAWASCO au kupitia kwa
mwnye nyumba.
7. Mpangaji hatarudishwa pesa ya pango iwapo ataamua kukatisha mkataba
8. Mpangaji anatakiwa kutoa taarifa kwa mwenye nyumba miezi miwili( 2) kabla ya kuhama
9. Mpangaji atatakiwa kuleta malipo haraka iwapo ataamua kuendelea na mkataba.
MUNGU AKUBARIKI AKUBALIKI UISHI KWS AMANI.
Sahihi ya mpangaji............................
Simu............................................... ...
Tarehe.................................................

Sahihi ya mwenye nyumba...................


Tarehe.............. ........... ........................

You might also like