You are on page 1of 1

MKATABA WA UPANGISHAJI FREMU (CHUMBA) CHA BIASHARA

1. Mimi RAYMOND RICHARD MUSINGI


Nampangisha Ndugu ………………………………………………………………………..
Mkataba utaanza tarehe……………………………… na kuisha tarehe …………………………….
Kwa malipo ya Tsh ……………………………. Kwa mwezi.
2. MASHARTI YA MKATABA
1. Mpangishaji ana haki ya kutumia chumba kwa biashara na kutumia eneo la mbele ya chumba pia
mpangaji ana wajibu wa kuhakikisha chumba na eneo lote linalomzunguka linakuwa safi mda
wote.
2. Mpangaji anakubaliana na mpangaji kuwa
a. Atalipa kodi ya chumba iliyotajwa hapo juu kwa wakati pia atawajibika kuchangia gharama
nyinginezo kama umeme n.k.
b. Kuzingatia usafi wa chumba na eneo lote pamoja na usafi wa choo.
c. Anaruhusiwa kufanya matengenezo yanapohitajika kwa kuwasiliana na mwenye nyumba.
d. Kutopangisha au kumpa mtu mwingine sehemu ya chumba au eneo la mbele ya chumba bila
idhini ya mpangishaji.
e. Mpangaji atawajibika kutengeneza chumba kama ataharibu kutokana na matumizi
yasiyofaa.
3. Kwa kuthibisha makubaliano ya mkataba huu wahusikawa pande zote kwa hiari yao
wameafikiana na kuweka sahihi zao mbele ya mashahidi katika sehemu “4” ya mkataba huu.

4. Jina la mwenye fremu ……………………………………….


Sahihi ……………………………………….
Shahidi wa mwenye fremu …………………………………………
Sahihi ………………………………………….
Jina la Mpangaji …………………………………………….
Sahihi ………………………………………….
Shahidi wa mpangaji ………………………………………..
Sahihi ………………………………………..

You might also like