You are on page 1of 3

MKATABA WA KUPANGISHA NYUMBA YA KUISHI

KATI YA

ATANASI ALEX KIBONA

(MWENYE NYUMBA)

NA

SHIJA SAMSON LUFUNGULO

(MPANGAJI)

KATIKA NYUMBA NAMBA………ILIYOPO KIJIJI CHA ………..., KATA YA

KONGOLO, HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA.


KWAKUA MWENYE NYUMBA ni mmiliki halali wa nyumba ilioko wilayani Mbarali
mkoani Mbeya na ambayo ina jumla ya vyumba vitatu (03) vyakulala, sebule na sehemu yakulia
chakula.
NAKWAKUA MWENYE NYUMBA amekubali kwa hiari yake mwenyewe kumpangisha
MPANGAJI nyumba hiyo iliyo tajwa juu;
NAKWAKUA MPANGAJI amekubali kwa hiari yake kupanga nyumba hiyo iliyo tajwa, kwa
kipindi cha ………………………… kuanzia tarehe …………………….
mpaka……………………………. kwaajili ya malazi;

HIVYO BASI MKATABA HUU UNASHUDHUDIA KAMA IFUATAVYO


1. Kwakufuatana na yaliyomo ndani ya mkataba huu MWENYE NYUMBA anampangisha
MPANGAJI nyumba iliyo tajwa hapo juu kwa kipindii cha ……………………. kuanzia
tarehe ……………………. Mpaka tarehe……………….
2. Malipo ya kodi ya pango(nyumba) kodi ya pango kwaajili ya upangaji wa nyumba hiyo
itakua shilingi za kitanzania………………………………. (……...) na italipwa katika
mkupuo mmoja ambapo jumla yake ni shilingi za kitanzania
………………………………. (………………)
kupitia…………………………................................................….
3. Gharama za kodi zinaweza kubadilika muda wowote kwa kupewa taarifa na Mpangishaji
4. Kodi iliyokwishalipwa hairudishwi endapo utavunja Mkataba mwenyewe Mpangaji.
5. Mpangaji haruhusiwi kupangisha chumba alichokipanga au kumwachia mtu mwingine
wakati wa mkataba wake bila ruhusa ya mwenye nyumba.
6. Mpangaji atatakiwa kutunza mazingira ya chumba na vitu vyote kwa wakati mmoja
(usafi).
7. Ifikapo mwisho wa mkataba mpangaji atakabidhi chumba husika kwenye nyumba kikiwa
katika hali ya usafi kama ulivyokabidhiwa wakati wa kuingia
8. Kama utaendelea na mkataba mpya utamjulisha mwenye nyumba na kama hauendelei pia
utamjulisha mwenye nyumba.
9. Kwamba mpangishaji na mpangaji wakiwa na akili timamu wanakiri kwamba wamesoma
na kuuelewa mkataba huu na wamesain mkataba huu pasipo kushurutishwa na mtu
yeyote na wanakubali kufugwa na makubaliano haya.
KWA USHUHUDA wa mkataba huu, pande zote zinatia saini zao kama inavyoonekana chini.

Imetiwa saini na ATANASI ALEX KIBONA} ……………………


Leo tarege……….Mwezi……….,Mwaka……….. MPANGISHAJI
MAWASILIANO…………………………………….

MBELE YANGU:
JINA………………………….
SAINI………………………....
ANUAN……………………….
CHEO……………………....
MAWASILIANO………………………

Imetiwa saini na SHIJA SAMSONI LUFUNGULO} …………………….


Leo tarehe……….Mwezi……….Mwaka…………. MPANGAJI
MAWASILIANO………………………………………………..

MBELE YANGU:
JINA…………………………….
SAINI…………………………...
ANUANI………………………..
CHEO…………………………..
MAWASILIANO……………………..

IKUMBUKWE KWAMBA: Mkataba huu ni harari na una nguvu zote za kisheria:

You might also like