Professional Documents
Culture Documents
KATI YA
TAARIFA ZA PIKIPIKI
TAARIFA ZA PIKIPIKI
Namba ya usajili:
mtengenezaji:
Muundo:
Namba ya chesesi.
Namba ya injini.
Rangi.
Mwajiri anamuajiri mwajiriwa na mwajiriwa anakubali kuajiriwa kama mtoa dawa kwa kipindi
cha miezi mitano kuanzia tarehe ……………201….mpaka……………………201...
Mwajiriwa ataajiriwa kama mtoa dawa kwa mujibu wa masharti na makubaliano ya kufanya kazi
kama yalivyobainishwa kwenye mchanganuo wa kazi.
Mwajiriwa atatakiwa kumkabidhi muajiri wake tsh………………tu, kila jumapili, pesa yote
inayobaki ni mwajiriwa.
Notisi au taarifa ua ya kuacha au kumuachisha kazi kwa itolewe kimaandishi wiki moja kabla,
upande utaovunja mkataba bila kufuata utaratibu huu utapaswa kuulipa upande mwingine malipo
ya wiki moja.
Endapo kutatokea mgogoro wowote kuhusiana na Mkataba huu au uvunjaji wa mkataba huu,
mwajiri na mwajiriwa watatumia juhudi zao zote kutatua mgogoro huo kwa amani na utulivu,
wakishindwa basi wataenda kwa wanasheria wasuluhishi katika ofisi ya Mwakabungu law
chambers kabla ya kwenda katika mahakama za kazi.
9.0 KUKABIDHI
Mwajiriwa atakabidhi mara moja bila kuchelewa piki piki na vifaavyake vyote alivyopewa na
mwajiri kwa matumizi wakati wa ajira yake ikiwa ni pamoja na nyaraka na kumbukumbu zote.
Mwajiriwa atatakiwa kutii kanuni na taratibu zote atakazopewa na mwajiri kama zitakavyokuwa
zinatolewa na mwajiri mara kwa mara.
Imeshuhudiwa na Pande zote mbili kama walivyotia sahihi katika tarehe husika hapa chini.
IMESHUHUDIWA NA.