You are on page 1of 1

MKATABA WA MAKABIDHIANO YA PIKIPIKI

Mimi......................................... nimemkabidhi pikipiki yangu bw.........................................


Aina ya.............................., yenye namba za usajili................................... leo
tarehe.........../........../................... kwa makubaliano yafuatayo;

1. Bw................................ anatakiwa kuwasilisha kiasi chs Tsh....................Kwa siku


ambacho anatakiwa kuwasilisha kwa wiki Tsh........................na mkataba utaisha
tarehe.....................
2. Bw................................ atakusika na matengenezo yote ya pikipiki kwa muda wote wa
mkataba huu na kuleta pesa kamili kama mkataba unavyosema
3. Endapo atamaliza malipo haya kwa muda tuliokubaliana bila matatizo atakabidhiwa kadi
ya pikipiki kuwa nali yake halali kuanzia hapo.
4. Anatakiwa kutoa taarifa mapema kama itatokea dharula yeyote na kukubaliana kwa
pamoja juu ya malipo
5. Endapo atashindwa kutimiza masharti ya mkataba huu atakuwa amevunja mkatba
mwenyewe na mitakuwa huru kuchukua pikipiki yangu
6. Endapo mimi mmiliki wa pikipiki nitavunja mkataba huu nitatakiwa kurudisha pesa zote
za matengenezo aliyotumia kutengeneza wakati anaendesha.

Note; Nimemkabidhi pikipiki Bw....................... ikiwa mpya kabisa, ikiwa katika hali nzuri
amabayo haina tatizo lolote la kiufundi. Kwa kusaini mkataba huu amekubaliana na masharti ya
mkataba huu.

SAHIHI YA MWENYE PIKIPIKI.............................. SIMU.................................


JINA LA SHAHIDI WA MMILIKI............................. SAHIHI..............................
JINA LA MDHAMINI WA MKABIDHIWA............................... SAHIHI.................................

MKATABA HUU UMESHUHUDIWA NA OFISI YA SERIKALI YA MTAA WA MBUGANI


..............................................
AFISA MTENDAJI/MWENYEKITI/MJUMBE

You might also like