You are on page 1of 2

 

MKATABA WA KUKABIDHIANA PIKIPIKI KWA AJILI YA


KUFANYIA BIASHARA
Mimi…………………………………………….ambaye ni mkazi
wa……………………………… nimekabidhiwa pikipiki aina ya
…………………….yenye namba ya usajili……………… ambayo ni mali ya
ndugu……………………………………….mkazi wa
Nimekabidhiwa tarehe…………………………………….ikiwa nzima haina
tatizo lolote. Nitaitumia kwa siku nzima,na nahaidi kuleta kiasi cha
 Tsh…………...kila…………… mpaka nitakapoirudisha kwa mwenye pikipiki.

Vitu vya kanuni za kuzingatia:


1.Kumiliki leseni yangu binasi siku zote za kazi.
!."makini katika uendeshaji wangu.
#.Kutogawa pikipiki kwa mtu yeyote bila taaria kwa boss.
$.Kuonana na boss kila………..…………saa………..ya wiki,kukabidhi
mahesabu na ili boss aone pikipiki
%.&er'ice ndogo pamoja na kumwaga oil ni juu yangu kila………………….ya
wiki,isipokuwa ser'ice kubwa itakayoanyika kila baada ya
miezi………………….
(.Kuitunza pikipiki katika hali ya usa),*akuna kutoboa e+haust wala
kulaza pikipiki kwa walinzi.
.Kusign orm ya mahesabu kila mwisho wa mwezi,kutopitiliza siku ya
kuleta mahesabu ya wiki.
-.Nitakaporudisha pikipiki kwa boss,nitarudisha na 'iaa 'yote
nili'yokabidhiwa,ikiwa ni pamoja na helmet na pikipiki ikiwa sa)

KUT!IN"ATIA KANUNI !ILI!TAJWA JUU#MKATABA


UTASITISHWA$
Mwenye pikipiki…………………………….……………………Makazi….
……………………………… Namba ya simu…………………….
…….......sahihi………………………………..
&hahidi wa mwenye pikipiki…………………………………………
Makazi………………………… Namba ya simu…………………………………….
……sahihi…………………………..
Mkabidhiwa pikipiki………………………….…………………
Makazi……………………………….. Namba ya
simu…………………………………………sahihi……………………………………
 

&hahidi wa mkabidhiwa pikipiki……………………….……………


Makazi………………………. Namba ya
simu………………………………………..sahihi………………………………
 ina la mjumbe………………………………………………………….sahihi na
mhuri…………………………….

NB%BSS ATAKUWA ANAT&MB&L&A FAMILIA YAN"U NA


KUIPA !AWADI KILA BAADA YA MI&!I ' YA BIASHARA$
(((((((RAFIKI NA MSAIDI!I KWA WAP&NDA
KUFANIKIWA(((((((

You might also like