You are on page 1of 2

MKATABA WA KUKABIDHIANA PIKIPIKI KWA AJILI YA KUFANYIA BIASHARA

Mimi…………………………………………….ambaye ni mkazi wa……………………………… nimekabidhiwa pikipiki aina


ya …………………….yenye namba ya usajili……………… ambayo ni mali ya
ndugu……………………………………….mkazi wa Nimekabidhiwa tarehe…………………………………….ikiwa nzima
haina tatizo lolote. Nitaitumia kwa siku nzima,na nahaidi kuleta kiasi cha Tsh…………...kila…………… mpaka
nitakapoirudisha kwa mwenye pikipiki.

Vitu vya kanuni za kuzingatia:

1.Kumiliki leseni binafsi siku zote za kazi

2.kuwa makini katika uendeshaji wangu.

3.Kutogawa pikipiki kwa mtu yeyote bila taarifa kwa boss.

4.Kuonana na boss kila baada ya siku tatu,kukabidhi mahesabu na ili boss aone pikipiki

5.Marekebisho yote pamoja na kumwaga oil ni juu yangu kila inapohitajika

6.Kuitunza pikipiki katika hali ya usafi.

7.kutopitiliza siku ya kuleta mahesabu ya wiki.

8.Nitatakiwa kulipa elfu kumi(10,000) kwa muda Wa miezi tisa kuanzia.................... Mpaka
tarehe....................

9.Endapo dereva hata peleka pesa kwa mmiliki kwa muda Wa siku kumi mfululizo mikataba huu itakuwa
umevunjika. Na mmiliki anachukua pikipiki yake.

10.Nitakaporudisha pikipiki kwa boss,nitarudisha navifaa vyote niliv0yokabidhiwa,ikiwa ni pamoja na


helmet na pikipiki ikiwa safi)

KUTOZINGATIA KANUNI ZILIZOTAJWA JUU KATIKA MASHARTI YA MKATABA,UTASITISHWA HUU


UTASITISHWA.

Mwenye pikipiki…………………………….……………………Makazi….………………………………

Namba ya simu…………………….…….......sahihi………………………………..

Shahidi wa mwenye pikipiki…………………………………………Makazi…………………………

Namba ya simu…………………………………….……sahihi…………………………..
Nimekubali masharti yote tajwa hapo juu, Mimi Mkabidhiwa pikipiki………………………….…………………
Makazi………………………………..

Namba ya simu…………………………………………sahihi……………………………………

Nakubali kumdhamini makabidhiwa pikipiki tajwa. Mimi Shahidi wa mkabidhiwa(dereva)


pikipiki…………………………………………Makazi…………………………

Namba ya simu…………………………………….……sahihi…………………………..

Makabidhiano haya yamefanyikana kudhibitishwa mbele ya Mwwnyekiti Wa mtaa Wa...........................

Jina............................,........................ Cheo....................................

Sahihi................................ Namba za simu..............................

Muhuri

You might also like