You are on page 1of 2

HATI MAALUM YA MAUZO SHAMBA, KIWANJA NA NYUMBA.

Mimi …………….................................................................... kwa ridhaa yangu mwenyewe nikiwa na


akili timamau bila kushawishiwa kwa namna yoote nimeamua kuuza shamba ,kiwanja, nyumba, eneo
langu kwa ndugu……………………………………….……………….………………………….....
kwa Gharama ya shilingi za kitanzania : …………………………………………………………. Bado
shilingi ………………………………………… ambayo atamalizia tarehe………………………..
eneo lina urefu wa upana kwa kaskazini mita ……………………………….. kwa upande wa kusini
mita ……………………… kwa upande wa mashariki mita ………………………………….. kwa
upande wa magharibi mita …………………

Mazao yaliyopo shambani ama kwenye eneo husika. ……………………………………………..........

1. …………………………………………… 2. ………………………………….

3. …………………………………………… 4. ……………………………………

MASHARTI NI KAMA IFUATAVYO:

1. Si ruhusa kwa myenye eneo kuliuza kabla ya mkataba haujaisha kwa pesa ambazo
zilitagulizwa awali.
2. Kwa mnunuzi hakuna ruhusa ya kufanya chochote endapo mkataba haujakamilika mmoja baina
yenu azingatie hayo.
3. Ni kosa kwa pande zote mbili kubadilisha mipaka.
4. Ni marufuku kwa yoyote baina yenu kufanya tofauti na mkataba wenu
5. N.B. mtaa wetu wa kichangani tayari ushapimwa unapokuwa unataka kujenga heshimu
barabara zote zilizokaribu yakoili usije ukapata hasara hapo baadae lakini pia toa ushirikiano na
jirani yako.

Jina la muuzaji …................................................................................... Simu No. ……………………

Jina la mnunuzi ………………………………………………………………... Simu No. ……………

Sahihi ya muuzaji ………………………………. Sahihi ya mnunuzi ………………………………..

Mashahidi wa muuzaji
1. Jina ……………………………………… Sahihi ……………… Simu No.
…………………….
2. Jina ……………………………………… Sahihi ……………… Simu No.
……………………

Mashahidi wa mnunuzi
1. Jina ………………………………………Sahihi…………..…… Simu No.
……………………
2. Jina …………………………………….... Sahihi ………………. Simu No.
……………………
Mwenyekiti shina N0. …………………………

Jina ……………………………………. Sahihi ………………… Simu No. ………………………

You might also like