You are on page 1of 2

MCHIKICHINI MARKET CO-OPERATIVE JOINT ENTERPRISES

MCHIMACO (LTD) P.O BOX 16340 MOBILE:


0655819297/075735434363
SOKO LA MCHIKICHINI MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM
REG. NO: 5568

Kumb No: MCHIMACO/SOK-MCH/2023/………………. Tarehe …………………

KWA,
MENEJA WA BANK YA CRDB,
TAWI LA LUMUMBA,
DAR ES SALAAM.

YAH: OMBI LA KUBADILISHA WATIA SAINI KATIKA ACCOUNT (A/C) YETU YA


MCHIKICHINI MARKET CO-OPETATIVE JOINT ENTERPRISES LTD (MCHIMACO
LTD) YENYE NO:- 0150372439800

Tafadhari husika na somo tajwa hapo juu,

Uongozi wa chama cha MCHIMACO tunaomba kubadilisha watia Saini katika akaunti ( account )
yetu yenye No o150372439800 hii ni kutokana na mfumo wa uchaguzi baada ya miaka sita. Hivyo
baada ya uchaguzi hulio fanyika tarehe 26/02/2022 tumepata bodi mpya kama ifuatavyo.

WAFUATAO NI SAFU YA BODI MPYA KAMA INAVYO ONYESHA HAPA CHINI


S/N JINA CHEO SAINI NO:- YA SIMU
1. GEOFREY M. MILONGE M/KITI 0655819297
2. RAMADHANI I. AMIRI MAKAM 0757382481
M/KITI
3. SHABANI M. SHABANI KATIBU 0735434363
4. MWANAHAWA S. JULU M/HAZINA 0652273372
5. RAMADHANI O. BAKARI MJUMBE 0654666656
6. ALLY S. SIMBA MJUMBE 0784308867
7. SAIDI SADI SALUMU MJUMBE 0715900002

WAFUATAO NI SAFU YA BODI YAZAMANI KAMA INAVYO ONYESHA HAPA CHINI


S/N JINA CHEO SAINI NO:- YA SIMU
1. JUMANNE K. JUMA M/KITI 0755401070
2. SAIDI KALAM MAKAM 0715274301
M/KITI
3. JOHN A. MTALEMWA KATIBU 0718997145
4. ANGELA B. MAMAKULA M/HAZINA 0679192244
5. SHABANI KABOGOTA MJUMBE 0713740674
6. SELEMANI SINANI MJUMBE 0718010728

Hivyo kutokana na sababu tajwa hapo juu Bodi ya MCHIMACO imeridhia mabadiliko hayo na
imewateuwa watia Saini wapya ambao ni kama ifuatavyo

WAFUATAO NI WATIA SAINI WAPYA


S/N JINA CHEO SAINI
1. GEOFREY M. MILONGE M/KITI
2. SHABANI M. SHABANI KATIBU
3. MWANAHAWA S. JULU M/HAZINA
4. RAMADHANI O. BAKARI MJUMBE
WAFUATAO NI WATIA SAINI WAZAMANI
S/N JINA CHEO SAINI
1. JUMANNE KONGOGO JUMA M/KITI
2. JOHN ANDREW MTALEMWA KATIBU
3. ANGELA BESTON MAMAKULA M/HAZINA

Tunatanguliza shukurani za dhati kwako pia tunatumaini ombi letu litasikiizwa na kufanyiwa kazi
“Pamoja na salamu za ushilika kwa pamoja tujenge uchumi”

Wako katika kazi

Ahsante

……………………………………… ………………………………
M/KITI KATIBU

Nakala kwa mtendaji kata


Nakala kwa Mtendaji wa Mtaa
Nakala kwa Serikali ya Mtaa Ilala Kota

You might also like