You are on page 1of 3

MAOMBI YA MAKUBALIANO YA MKOPO

Makubaliano yamefanyika kati ya ndugu Mary Damian wa S.L.P 38424 Dar es salaam
(mkopeshaji) na ndugu……………………………………………………….. wa S.L.P…………….. simu
namba …………………………….. (mkopaji) tarehe ……………………………. Kiasi cha pesa
kilichokopeshwa
( mkopo pamoja na riba) ni sh …………………….. kwa muda wa mwezi ………………. Namba ya
simu ya mtu wa karibu ………………………………….eneo unaloishi ……………………………. Mtu wa
karibu ni nani kwako …………………………………………………. eneo analoishi
………………………………………….. mtu wa karibu wa mkopeshaji Venensia Msogoti simu
namba .............................................................

TAREHE YA KURUDISHA MKOPO


Mkopo utarudishwa kila mwezi kwa kipindi cha mwezi/miezi ………………………. Kuanzia
mwezi wa kwanza toka tarehe ya kutolewa kwa mkopo.

Makubaliano haya yanathibitishwa kwa dhamana ya kadi ya gari/ hati ya nyumba /hati ya
kiwanja/ vyeti vya shule, kuzaliwa na kadi ya bank/ shamba lililopo ……………………… lenye
namba ya usajili…………………………………………………….

MASHARTI YA MKOPO
Bila kuathili kifungu chochote hapo juu, masharti mengine ya mkopo ni kama ifuatavyo;

1. Mkopaji akishidwa kurudisha mkopo mkopeshaji atakuwa na haki ya kuchukua mali


zake alizoweka na ambazo hakuziweka zenye uwezo ya kufidia pesa atauza na kurudisha
pesa yake.
2. Mkopaji akichelewesha mkopo atalipa riba inayolingana na riba ya mwezi mzima.
3.Kwa kukubali kumdhamini mkopaji, mdhamini anakubali kwamba iwapo mkopaji
atashidwa kulipa mkopo kwa wakati, yeye atalipa au mali zake zitachukuliwa na kuuzwa
kufidia deni husika.
4. Mkopeshaji anayo haki ya kukataa kutoa mkopo wakati wowote iwapo ataona inafaa na
bila kulazimishwa kutoa sababu ya kufanya hivyo.
5. Kwa mda wa kurejesha mkopo ni mwezi/miezi ………………. Na marejesho yatafanyika kila
mwezi kama yanavyoonyeshwa kwenye mkataba huu.
6. Iwapo mkopaji atavunja kipengere chochote cha mkataba huu ikiwa ni pamoja na
kushindwa kulejesha pesa zote au sehemu yake kwa wakati uliopangwa , mkopaji anayo
haki kudai kulipwa fedha zote zilizo kwenye mkataba na riba ya mda wote.
7. Mkopeshaji anayohaki ya kubadili masharti wakati wowote atakapoona inafaa,
mabadiliko hayo yatakuwa sehemu ya mkataba huu, na yatakuwa na nguvu sawaa na yale
yaliyokuwepo wakati unasaini mkataba huu.

KUKIRI KWA MKOPAJI


Mimi …………………………………………………………….. ( mkopaji ) nakiri kuwa nimeusoma
mkataba huu na kuuelewa na vipengere vyake vyote na bila kushawishiwa na mtu nakubali
kuvifuata na kuvitii kama vilivyo.
Sahihi ya kukiri kwa mkopaji…………………………..
MAKUBALIANO HAYA YAMESAINIWA KWA PAMOJA KATI YA MKOPESHAJI NA MKOPAJI
MBELE YA MASHAHIDI

UTHIBITISHO
MKOPESHAJ MKOPAJI
JINA………………………………………………
JINA……………………………………………….
SAHIHI……………………………………
SAHIHI……………………………………………
TAREHE………………………………………..
TAREHE………………………………………….
SHAHIDI……………………………………….
SHAHIDI………………………………………..
SAHIHI………………………………………….
SAHIHI………………………………………….
TAREHE………………………………………..
TAREHE………………………………………..

Uthibitisho wa Hakimu/Mwanasheria/ Kamishina wa viapo


Makubaliano haya yamefanyika mbele yangu leo tarehe …………………………. Na mwezi
……………
Mwaka…………………
Jina la mwana Sheria /Hakimu/Kamishina wa viapo……………………………………………………….
Sahihi na muhuri……………………………………… tarehe

You might also like