1. Usifanye matengenezo bila ruhusa ya mwenye nyumba.
2. Usafi wa ndani na eneo linalozunguka nyumba ni muhimu kwa mpagaji. 3. Mpangaji anatakiwa kulipa mkataba unaofuata siku saba kabla mkataba wa sasa kuisha. 4. Huruhusiwi kubadilishana na mtu Nyumba/ Chumba bila idhini ya mwenye nyumba.
MAKUBALIANO HAYA YAMEFANYIKA NA PANDE ZOTE MBILI NA KUTILIANA SAHIHI KAMA
IFUATAYO:-
JNA KAMILI LAMWENYE NYUMBA/CHUMBA SAINI TAREHE
………………………………………………………………….. …. ……………. …………………….
JINA KAMILI LA MPANGAJI
…………………………………………………………………. ………………. ……………………….
NAMBA YA SIMU YA MWENYE NYUMBA/CHUMBA………………………………………………………………
NAMBAYA SIMU YA MPANGAJI……………………………………………………………………………………………..