You are on page 1of 4

MKATABA WA KUTENGENEZA MILANGO,MEZA ZA WALIMU NA VITI

Mkataba huu umefanyika hapa KIFAGURO leo tarehe...……Mwezi…………….. 2023

KATI YA

HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA wa Sanduku la Posta 10, MADABA (ambaye katika


mkataba huu atajulikana kama “Mwajiri”) neno ambalo litajumuisha warithi au wawakilishi wake kwa
upande mmoja.

NA

… . wa Sanduku la Posta mkazi wa kijiji cha kata ya


Halmashauri ya wilaya ya ambaye katika mkataba huu atajulikana kama “ mzabuni) neno
ambalo litajumuisha warithi au wawakilishi wake kwa upande wa pili.

IELEWEKE KWAMBA Mwajiri ni mmilki wa Shule ya KIFAGURO Shule hiyo kwa sasa ipo katika
hatua ya

PIA IELEWEKE KWAMBA ili kukamilisha ujenzi wa MADARASA MAWILI NA MATUNDU


SITA YA VYOO VYA WANAFUNZI Mwajiri ana nia ya kuingia mkataba na kamati kwa lengo la
kutengeneza milango,meza za wlimu 2 na viti2.

PIA IELEWEKE KWAMBA Fundi kwa hiyari yake amekubali kufanya kazi hiyo ya kutengeneza
milango na frem zake,meza2 na viti2 vya mwalimu.

HIVYO BASI pande zote katika Mkataba huu kama ifuatavyo

1.Kutengeneza frem 8 za milango @75000=600,000/=


2.Kutengeneza top za milango 8@187500 =1,500,000/=
3.Kutengeneza meza 2 @50000 ==100,000/=
4.Kutengeneza viti 2@40000====80,000/=

1|Page
JUMLA KUU TSH.2,280,000/=
Muda wa malipo: Pande zote zinakubaliana kuwa gharama za malipo zitafanyika mara baada ya Fundi kuleta
vifaa hivyo na kukaguliwa na kamati ya mapokeziuni kuleta vifaa

1. Kodi . malipo yote yatakuwa hayana kodi yeyote,hivyo mzabuni anatakiwa kuwa na bei isiyo na
makato.

2.

3. Muda wa Mkataba: Mkataba huu ni wa Siku/Miezi…………kuanzia tarehe ……. Mwezi


…………….. 2023 hadi ……… mwezi ………..…… 20….. Muda wa mkataba huu unawezwa
kuongenzwa kwa makubaliano ya pande zote mbili kama kutakuwa na haja na sababu ya msingi
ya kufanya hivyo.

4.

5.

6.

7.

8.

9.

10.

11.

12.

13.

14. Umuhimu wa muda wa mkataba: Ieleweke kwamba kwa upande wa Mwajiri muda wa
mkataba ni jambo la muhimu (time is of essence). Hivyo, endapo mzabuni atashindwa
kuendelea na kazi kwa siku mbili (2) mfululizo au atakuwa anafanya kazi kwa kusuasua atakuwa
amekiuka masharti ya mkataba huu na Mwajiri anaweza kuvunja mkataba kadri atakavyoona
inafaa. Uvunjani wa mkataba kwa mujibu wa kifungu hiki unahitaji notisi ya siku tatu (3).

15.

16. Marekebisho ya mkataba: Kifungu chochote cha mkataba huu kinaweza kufutwa au kufanyiwa
marekebisho kwa makubaliano ya pande zote mbili kama kutakuwa na haja na umuhimu kufanya

2|Page
hivyo. Marekebisho yatakayofanywa lazima yawe kwa maandishi na yasainiwe na pande zote
mbili katika mkataba huu.

17.

18.

19.

20. Kuvunja mkataba: Bila ya kuathiri masharti mengine yanayohusu utoaji wa notisi wa kusitisha
mkataba, upande wowote katika mkataba huu utakuwa na haki ya kuvunja mkataba kwa kutoa
notisi ya siku kumi na nne (14) ya kusudio la kutaka kuvunja mkataba endapo ataona kuna haja
na sababu ya kusitisha mkataba.

21.

22. Sababu za kuvunja mkataba: Kwenda kinyume na masharti ya mkataba huu ni sababu tosha
itakayomfanya Mwajiri au mwenye gari kusitisha mkataba.

23.

24. Malipo baada ya kusitisha mkataba: Endapo Mwajiri ndiye anayesitisha mkataba, basi
Mwajiri atawajibika kumlipa mzabuni kiasi cha fedha kulingana na kazi ambayo
ameifanya.Ikitokea mzabuni ndiye anayetaka kusitisha mkataba, hatolipwa fedha yoyote na
Mwajiri .

25.

26. Utatuzi wa migogoro: Endapo kutatokea mgogoro unaotokana na ama tafsiri au utekelezaji wa
mkataba huu, mgogoro huo kwanza utatatuliwa kwa njia ya majadiliano na maridhiano. Utatuzi
huo unatakiwa ufanyike ndani ya siku mbili (2) kuanzia tarehe ya kutokea kwa mgogoro husika.
Ikitokea ndani ya siku mbili muhafaka haujapatikana, basi upande wowote unaweza kupeleka
mgogoro huo mahakamani.

27.

28. MAKUBALIANO HAYA yameshuhudiwa na pande zote mbili na kutiwa saini hapa
KIFAGURO tarehe, mwezi mwaka kama inavyoonekana hapa chini;

29.
30.
31.
32.
33. Umesainiwa hapa Madaba kwa niaba
34. ya Halmashauri ya (W) ya Madaba leo …………………

3|Page
35. tarehe..…., mwezi ………...., 2023 Muhuri
36. Mbele ya;
37.
38. Saini: ...……..…………….……………… Saini: ……………..….…….
………………….
39.
40. Jina: ………..…………………………….. Jina:
41.

42. UMESANIWA hapa Madaba na………….


43. ………………………………..….……...…. …………………..
44. Ambaye ninamfahamu/ametambulishwa Saini
45. Kwangu na…………………………………
46. Leo tarehe ……mwezi ….……….., 2023
47.
48. Mbele yangu;
49.
50. Saini: ………………………………..…...….
51.
52. Jina: ………………………….………………
53.
54. Wadhifa: …………………….……….………
55.
56.
57.
58.
59.
60.
61.
62.
63. Umeandaliwa na;
64. Kitengo cha Sheria,
65. Halmashauri ya Wilaya ya Madaba,
66. S.L.P. 10
67. Madaba
68.

4|Page

You might also like