You are on page 1of 1

MKATABA WA KUKOPESHANA

Mkataba huu unasainiwa leo tarehe 2/2/2023

KATI YA

TRIPLE A FINANCE (SARA MKONO)- mwenye anuani ya posta 65000 Dar Es Salaam,namba ya simu ya
mkononi ya ofisi 0719356640 , namba ya account ya bank 20902501082 , ambaye katika mkataba huu
anajulikana kama Mkopeshaji.

NA

Victoria kiwanuka mwenye anuani ya posta.................mkazi wa ......kigamboni .ambaye katika mkataba


huu anatambulika kama Mkopeshwaji.

KWAMBA kwa kuwa mkopeshaji ni kampuni iliyosajiliwa kisheria na moja kati ya shughuli zake ni
kukopesha.

NA KWAMBA kwa kuwa mkopeshwaji anahitaji huduma ya kukopeshwa toka kwa mkopeshaji.

MASHARTI YA MKOPO

1. Mkopo ni wa kiasi cha 3,000,000/=

2. Mkopo huu ni wa muda wa MIEZI 3 kuanzia 2/11/2023 hadi tarehe 2/2/2023

3. Mkopo huu ni wa riba ya 15% kwa Miezi 3

5. Mkopeshwaji ameacha kopi ya kitambulisho cha NIDA na amemtambulisha mdhamini mmoja

6. Mkopeshwaji anaruhusiwa kumaliza mkopo wake kabla ya muda wa mkopo kuisha

Saini ya Mkopeshaji......................................... Saini ya


Mkopeshwaji.....vkiwanuka.........................................

Jina la Mdhamini....leah evance .......................... Saini ya Mdhamini na namba ya


simu........................................

Jina la mtu wa karibu ya mkopeshwaji ...................................................

Namba za simu za mtu wa karibu .......................... Mahusiano:......................................

You might also like