You are on page 1of 3

5/23/2018 MkatabaWaUpangajiBiasharav.1.2(1)-slidepdf.

com

MKATABA WA UPANGISHAJI

MAKUBALIANO HAYA YAMEFANYIKA siku ya tarehe ya mwezi wa


mwaka 20.....

BAINA YA

Ndugu RN ST Z NGO   wa sanduku la barua 4 0 3 4 MWA N Z A ,

Email. komangohill@gmail.om.ambaye ndani ya mkataba huu atakua anatajwa kama


MPANGISHAJI

NA
Ndugu ...................................................................  wa sanduku la barua ................,
Email..........................................................ambaye ndani ya mkataba huu atakua anatajwa kama
MPANGAJI

KWA KUWA!
a) MPANGISHAJI  ndiye, na ataendelea kuwa mmiliki halali wa chumba cha biashara
kilichopo............, chumba ambacho ndani ya mkataba huu kinatajwa kama chumba cha biashara
b) Na kwamba MPANGISHAJI  ana hiari, kwa kuzingatia kufuatwa kwa masharti
yanayoainishwa kwenye mkataba huu, ya kumpangisha MPANGAJI chumba cha biashara kwa
ajili ya kufanyia biashara 
c) na kuwa MPANGAJI, kwa hiari yake, yuko tayari kupanga chumba hicho kinacho
pangishwa kwa kufuata, na bila ku!unja masharti yanayoainishwa katika mkataba huu

WAHUSIKA WA MKATABA HUU WANAKUBALIANA YAFUATAYO!


a. KWAMBA" kwa malipo ya KO#I inayoainishwa katika mkataba huu, na kulingana na masharti
ya upangaji kama yana!yainishwa katika mkataba huu, MPANGISHAJI anaipangisha chumba cha
biashara kwa MPANGAJI
b. NA KWAMBA MPANGAJI atalipa "hilingi .............
#"hilingi ...............................................................................) kwa mkupuo kwa
MPANGISHAJI , malipo ambayo ni KO#I ya mwaka mmoja.$ingine!yo ametanguliza kiasi
cha "hillingi....................... na atamalizia tarehe .............................kiasi cha
"hillingi.....................................
c. NA KWAMBA mkataba huu umeanza kutumika "iku ya tarehe ....mwezi wa ...,
 mwaka ........ ambapo MPANGAJI atarushusiwa kutumia chumba cha biashara 

http://slidepdf.com/reader/full/mkataba-wa-upangaji-biashara-v12-1 1/3
5/23/2018 MkatabaWaUpangajiBiasharav.1.2(1)-slidepdf.com

KWA MASHA%TI YAFUATAYO!


a Endapo
#i) katika kipindi cha upangaji kodi haitokua imelipwa kwa muda wa siku ishirini na moja na % au
#ii) MPANGAJI, bila sababu ya msingi, akashindwa kuzingatia masharti muhimu ya upangishaji, katika
mkataba hu&'(
takua ni halali kwa mpangishaji, kutwaa chumba cha biashara 

b)
& *aarifa #N+*E)
-katabaa inayohusiana
huu unaweza upangaji
ukarefushwa katikana
kulingana mkataba huu itakua
makubaliano ni kwa njia
ya wahusika woteyawawili.
maandishi
atika kipindi
chote cha kupitia upya na kurefushwa kwake, kiasi cha kodi kitajadiliwa upya kulingana na mazingira ya
kibiashara kwa wakati huo
'& MPANGAJI anaweza aka!unja mkataba kabla ya kumalizika kwa kipindi chake, baada ya kutoa taarifa kwa
MPANGISHAJI. lakini kwa hali yoyota, u!unjaji wa mkataba ndani ya kifungu hiki hautoruhusu kurudishwa
kwa KO#I itakayokua imeshalipwa

KWA MASHA%TI HAYO" MPANGAJI ANAKUBALI YAFUATAYO!


'. ulipa +/ kwa kwa kiasi kinachotajwa katika mkataba huu
2. ulipa harama za usafi, maji na umeme kwa mamlaka husika, kupitia M(P)*a +,- /+0+$1 na kutoa
taarifa kwa komangohill@gmail.om
1. wa wakati wote, kuweka chumba cha biashara katika hali bora, na usafi kwa matumizi ya biashara

. uruhusu
unaohusiana wa chumba au
MPANGISHAJI
na ubora chamtu yeyote kwa niaba yake, kuingia na kufanya matengenezo au ukaguzi
biashara
3. utofanya upanuzi, kubomoa, kupigilia misumali halibifu, kupaka gundi ukutani na milangoni , au
kubadilisha sehemu yoyote ya chumba cha biashara bila ridhaa ya MPANGISHAJI2
4. utompangisha mtu yoyote, ufanya biashara inyemela kupangisha mara ya pili bila ridhaa ya
MPANGISHAJI2
5. kutotumia chumba cha biashara kwa hali yoyote ambayo itasababisha kero au usumbufu kwa majirani au
wafanyabiashara wengine
6. utumia chumba cha biashara kwa madhumuni ya biashara tu na si !ingine!yo
7. wamba MPANGAJI ataishi akifuata "heria na taratibu za NYUMBA HI, na asiwe kinyume na
SHE%IA 3A N4HI
'0. wamba MPANGAJI atawajibika kwa uharibifu wa makusudi au uzembe, katika chumba hiki
''. 8akati mkataba utakapofikia ukingoni, na kabla ya kurefushwa kwake, MPANGAJI atakabidhi chumba cha
biashara kikiwa katika hali nzuri ya kuishi akiambatanisha INSPE4TION NOTE OF THE %OOM
IN5ETO%Y kwa komangohill9gmail.com.

NA MPANGISHAJI ANAKUBALI YAFUATAYO!


'. uhakikisha kwamba -:;N;< hatopata usumbufu wowote, na kwamba baada ya -:;N;<
kulipa +/ na kutimiza masharti yote ya =:;N;N, -:;N">;< atakua huru kutumia chumba
cha biashara kwa ajili ya madhumuni yanayoainishwa katika mkataba huu bila ya !ikwazo !yo!yote
amba!yo ni kinyume na mkataba
2. ukifanyia matengenezo chumba cha biashara, na kuhakikisha kwamba wakati wote kiko katika
hali nzuri kwa ajili ya biashara, pale ambapo hali itakayopelekea kuhitajika kwa matengenezo
haitokuwa ni kwa ajili ya matendo ya MPANGAJI, kwa makusudi au uzembe, yatakayosababisha
uharibifu
1. ulipa malipo yote katika mamlaka husika, malipo ambayo -:;N;< hajatajwa kuhusika nayo
katika mkataba huu.

  Jina......................................................................... *ahihi...............................
 
Jina ?...................................................................... *ahihi.................................
2

http://slidepdf.com/reader/full/mkataba-wa-upangaji-biashara-v12-1 2/3
5/23/2018 MkatabaWaUpangajiBiasharav.1.2(1)-slidepdf.com

-@EAE B; -;">;>/, MPANGAJI  amemlipa MPANGISHAJI  kiasi cha "hilingi za itanzania


kama KO#I kwa kipindi cha mwaka mmoja
N; N;">=>=/8; kwamba wahusika katika mkataba huu wameingia mkataba huu siku hii ya kama
ina!yo onekana hapo chiniC

Mka6aa7a UMESAINIWA na 


?????????............................... 
ambaye Ninamfahamu katika siku hii ya
tarehe mwezi wa 20 '2

MPANGHISHAJI 

MBELE YANGU

"ahihiC

<ina

;nuaniiC

Mka6aa7a UMESAINIWA na 


??????????........................... 
ambaye ninamfahamu katika siku hii ya
tarehe mwezi wa 20'2

MPANGAJI 

MBELE YANGU

"ahihiC

<ina

;nuaniiC

&'( -asharti -uhimu ya upangishaji ni yale yanayo husiana na utunzaji wa chumba cha biashara, na malipo ya kodi.
1

http://slidepdf.com/reader/full/mkataba-wa-upangaji-biashara-v12-1 3/3

You might also like