You are on page 1of 2

RF1

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA


Simu: +255-22-2700493…6 S.L.P. 2624 au 32019
+255-22-2700499 DAR-ES-SALAAM
+255-22-2772423
Nukushi: +255-22-2775966
Barua pepe: esnecta@necta.go.tz

FOMU YA RUFAA YA MATOKEO YA MTIHANI

MAELEKEZO MUHIMU

1. Hakikisha unajaza taarifa sahihi katika fomu hii. Unapaswa kuandika anwani yako
kamili ambayo itatumika katika mawasiliano ya kukupatia matokeo ya usahihishaji
upya wa skripti yako/zako.

2. Gharama ya kusahihishiwa upya ni shilingi 20,000/= kwa somo moja. Malipo kwa ajili
ya kusahihishiwa rufaa yafanyike kwa kutumia namba maalum (Control Number)
inayotolewa na mfumo wa malipo ya serikali kwa kieletroniki (GePG) kupitia tovuti ya
NECTA: www.necta.go.tz. Malipo yote yafanyike kupitia benki za NMB, CRDB na
NBC au kwa kutumia mitandao ya kifedha ya T-Pesa (TTCL), M-Pesa (Vodacom),
Tigo Pesa (Tigo), Ezy Pesa (Zantel), na Airtel Money (Airtel)

3. Endapo utajaza taarifa zisizo sahihi ambazo zitasababisha kusahihisha skripti nyingine
tofauti na matarajio yako, fedha uliyolipa HAITARUDISHWA na itakupasa kulipa tena
gharama za usahihishaji wa rufaa yako.

4. Unapaswa kurudisha fomu ya rufaa (RF2) pamoja na risiti ya malipo kwa Katibu
Mtendaji, Baraza la Mitihani Tanzania, S.L.P 2624 Dar es Salaam, kabla ya kipindi
cha rufaa kumalizika (ndani ya mwezi mmoja tangu tarehe matokeo yalipotangazwa).

5. Unatakiwa kutoa nakala ya fomu (RF2) na risiti ya malipo na kubaki navyo kama
kumbukumbu yako.
RF2

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA


FOMU YA KUOMBA KUSAHIHISHIWA UPYA

1.0 TAARIFA ZA MTAHINIWA


1. Jina la Mtahiniwa .............................................................................................
(Andika kama ilivyo katika matokeo yako)
2. Namba ya Mtahiniwa .......................................................................................
Mwaka uliofanya mtihani .................................................................................
Jina la Kituo/Shule/Chuo .................................................................................
3. Anuani Kamili ..................................................................................................
Namba ya Simu ................................................ E-maili ..................................
4. Kiasi cha pesa kilicholipwa ..............................................................................
5. Control/ Bill Number .........................................................................................

2.0 AINA YA MTIHANI (Weka alama ya )

CSEE ACSEE GATCE GATCE GATSCCE DSEE

DTEE

S/N NAMBA YA SOMO JINA LA SOMO

Sahihi ya Mtahiniwa ................................................... Tarehe ....................................

3.0 AFISA MTOA HUDUMA


1. JINA LA ALIYETOA HUDUMA KWA MTEJA ...................................................

2. SAHIHI YA ALIYETOA HUDUMA KWA MTEJA ...............................................

3. TAREHE ............................................................................................................

You might also like