You are on page 1of 1

FOMU YA MAOMBI YA ‘LEAVING CERTIFICATES’ ZILIZOONDOLEWA

KWENYE MFUMO WA PREMS

SEHEMU A: IJAZWE NA MKUU WA SHULE

(i) Jaza taarifa sahihi kwenye nafasi zilizo wazi:

Jina la Shule…………………………………………………………………………….
Namba ya Kituo (eg. S0101)…………………………………………………………..
Aina ya Mtihani (CSEE au ACSEE)…………………………………………………
Mwaka wa Mtihani …………………………………………………………………….
Halmashauri……………………………………………………………………………..
Mkoa…………………………………………………………………………………….
Simu:…………………………………………………………………………………………
E-mail:………………………………………………………………………………………
Contol number ……………………………………………………………………………
Sababu ya kutokupakua mapema……………………………………………………..
Jina la Mkuu wa Shule…………………………………………………………………
Saini ……………………………………….Tarehe……………………………………..

(ii) Baada ya kujaza fomu hii ambatisha na stakabadhi ya malipo (control


Number) iwasilishwe NECTA au itumwe kwa Katibu Mtendaji, Baraza la
Mitihani Tanzania, S.L. P. 2624 Dar Es Salaam.

(iii) Malipo ya kulipia leaving certificates baada ya kuondolewa kwenye mfumo


ni sh.100,000 kwa kituo/shule.

SEHEMU B: KWA MATUMIZI YA OFISI TU


1. Malipo yamefanyika …………………………(Ndiyo/Hapana).
2. “Control number” ya malipo……………………………………………………
3. Afisa aliyepokea maombi …………………Saini…………….Tarehe……….

You might also like