You are on page 1of 1

Bismillahir Rahmaanir Rahiim

CHUO CHA UALIMU KIGOGO


MAFUNZO YA UALIMU NA UONGOZI KWA SHULE ZA AWALI NA MSINGI
NAMBA YA USAJILI CU130 NA MTIHANI E0633

Na: Fomu
S. L. P 2055 DSM, Barua pepe: chuochaualimukigogo@gmail.com 2019/2020
Simu: 0659222592/0782173982
111 FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO Picha ya
A. MAELEZO BINAFSI Baba/
(i) Jina Kamili……………………………………………………………. Jinsia……… Picha ya
mwanachuo Mlezi wa
Tarehe ya kuzaliwa …………… kiume
Mahali unapoishi:
9 Mtaa/kijiji……………..... Wilaya …….……… Mkoa……………….
________
(ii) Taarifa za wazazi:
_ Jina la Baba / Mlezi…………………………………………Simu……………..………..Kazi………..……… Picha ya
Mahali anapoishi: Mtaa/kijiji……………..... Wilaya …….……… Mkoa…………….. mama/
Mlezi wa
Jina la Mama / Mlezi………………………………………Simu…………………..Kazi………………………
kike
Mahali anapoishi: Mtaa/kijiji……………..... Wilaya …….……… Mkoa……………..
(iii) Elimu ya Sekondari
Jina la shule………………..Mwaka uliomaliza………………………. Wilaya……………Mkoa………………….
(iv) Kiwango cha Elimu ya Dini (Je, umehifadhi Qur’an juzuu/sura ngapi?) ……………….
(v) Nafasi unayoomba ni Kutwa [ ] Bweni [ ]

B. MAELEZO YA KUJIUNGA
(i) Hiki ni Chuo cha Ualimu na Uongozi, Mwombaji anapaswa kuwa tayari kufuata kanuni na taratibu za Chuo.
(ii) Masomo yanayofundishwa ni yale yote yaliyoidhinishwa na Wizara kwa Ngazi ya Cheti (ualimu wa
shule za msingi na awali) ikiwemo Elimu ya Dini ya Kiislamu ambayo ni lazima kwa wote.
(iii) Mwombaji anapaswa kuwa na sifa zifuatazo.
a) Awe amemaliza Kidato cha nne
b) Awe amefanya somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kidato cha nne au amepitia madrasa
(iv) Chuo ni cha Bweni na Kutwa
(v) Fomu irudishwe ikiwa imejazwa kwa ukamilifu katika kituo ulichochukulia.
(vi) Chuo kitafunguliwa tarehe 31/03/2019 kwa bweni na tarehe 01/04/2019 kwa kutwa
(vii) Wakati wa kurudisha fomu lazima uambatanishe :-
(a) Cheti cha kuzaliwa (b) Cheti cha taaluma/ result slip
(viii) Hii fomu na maelekezo ya kujiunga na chuo inapatikana kwa Tshs 10,000/=
(ix) Ada ni Tshs 1,200,000/- kwa mwanachuo wa Bweni, na 600,000/- kwa mwanachuo wa Kutwa.
(x) Ada inalipwa Benki kwa Awamu nne (4) au 12 kwa watakaodhaminiwa na benki ya kiislamu Amana.
Akauti ya malipo
CHUO CHA UALIMU KIGOGO {004120564370001} AMANA BANK
C. Kwa matumizi ya Ofisi tu
Tarehe iliyorudishwa …………… Jina la aliyepokea …………… Cheo ……………… Sahihi …………
College Motto “Education with Guidance”
Wabillah Tawfiiq

You might also like