Professional Documents
Culture Documents
DODOSO
DODOSO
WARD
Mpendwa mshiriki,
Mimi ni Flavian J. Jovitha kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo – Dodoma, nasoma
kozi ya Utawala ngazi ya Shahada. Lengo la dodoso hili ni kupata taarifa kuhusu
“Changamoto zinazowakabili wananchi katika kushiriki kwenye mikutano ya adhara
kata ya Arri wilaya ya Babati”. Unaombwa kushiriki katika kutoa taarifa. Taarifa zote
zitakazo tolewa itakuwa ni siri kwa lengo la kujifunza tu na sio vinginevyo. Hivyo,
hauruhusiwi kuandika jina/majina yako.