Professional Documents
Culture Documents
SEHEMU YA KWANZA.
1.0. MADHUMUNI:
i. Kupendana na kusaidiana katika huduma za jamii yaani, raha na shida.
RAHA
Harusi
Uzazi
SHIDA
Misiba
ii. Kuwezeshana kifedha / kuinua kipato cha mwanachama kwa kutoa mikopo kutokana na
michango ya kila amwezi.
iii. Kuelimishana
v. Awe mtuanayependakushirikiananawenzakekwakilahali.
vii. Atimizematakwayakatibayakikundi.
viii. Awe
natabianzuriinayokubalikanawanachamawengineikiwanipamojanaheshimakwawenzienakwenye
mikutanoyachama.
@2023
2.2. Utaratibuwakujiungana Chama
i. Mwombajiatapaswa kuletamaombikatikakikundi.
ii. Mwombajiatajadiliwanawanachamawote.
iii. Ikiwamwombajiatakubaliwaatatakiwakufutatataratibuzote za chama
iv. Mwombajinilazima awe namdhaminiambaenimwanachamahai.
2.3. WajibuwaMwanachama
i. Kuwananakalayakatiba,Kusoma , kuielewa ,kuilindanakuiteteakatibayachama .
ii. Kutoamichangombalimbalikulingananautaratibuwachama.
iii. Kuilindanakuiteteakatibayachama
iv. Kuchangia au
kutoamawazo/maoniyanayopelekeakuinuakikundikatikavikaonamktanomkuuwamwaka.
v. Kuheshimiana,kushirikiananawanachamawenzakekatikashughulimbalimbali za chama.
2.5. UkomowaMwanachama
i. Kutokulipa au kununuahisakwamudawamiezimitatumfululizobilataarifayamsingi.
ii. Kwa hiariyamwanachamamwenyewenakwakutoataarifayamaandishimwezimmojakabla.
iii. Kufariki
iv. Akipataugonjwawaakili.
v. Kufukuzwakwakuvunjakanuni.
@2023
ii. Katibu
iii. Mhasibu /Mweka hazina
iv. Mweka hazinamsaidizi
MWENYEKITI
i. Kuitishanakuendeshavikaovyachamanavikaovyadharura
ii. Atakuwandiomsemajimkuuwachama
iii. Kusimamianakuongozashughulimbalimbali za chama
iv. Kusimamiahaki za kilamwanachama
v. Kusuluishamigogoroitakayojitokezakatikachama
vi. Kupitishamaswala yote yamatumiziyafedha za wanachama
KATIBU
i. Kuandaanakuitishavikaoakishirikiananamwenyekiti
ii. Kuandikanakutunzakumbukumbuzote za vikaonachama
iii. Kusomanakufafanuakatibanataarifazote za vikaokwawanachama
iv. Kutoataarifambalimbali za matukiokwawanachamamfano; misiba, magonjwanasherehe
Kutakuwanakukutanamaratatukwamwakakatikasikuyafamilia ,sikuyakufanyamatendoyahuruman
asikuyamkutanomkuuwamwakanakuvunja.
4.1. Kazi za MkutanoMkuu
i. Kujadilimaendeleoyachama.
@2023
ii. Kupatataarifayafedhanakujuamapatonamatumiziyafedha za chama.
iii. Kupashanahabarinakusaidianakimaendeleo.
iv. Kupangamikakatiyamwakampya
5.3. UtoajiwataarifaYaFedha
Taarifayafedhaitakuwainatolewakilabaadayamwezinamuwekahazina,
itatolewataarifayamapatonamatumizikwenyemkutanowawanachamawote.
5.4Michangoyakikundi
5.5. MIKOPO
i. Sifa za mkopaji awe nimwanachamahai, Ambapoataruhusiwakukopahadikiasi cha juu cha
millioniTano 5,000,000/= kutokananahisa za mtuhusikakwamwakanaitakuanimaratatuyahisa.
ii. Ribakwamkoponiasilimiatano
(10%) .ribaitalipwakwamudawotewamkoponamudawamarejeshousiozidimiezisaba.Hatahivyom
wanachamaanatakiwakupunguzadeni lake kilamwezikulingananarejesho lake
lotekatikakipindiicho cha mkopo.
iii. Endapomwanachamaatashindwakulipa au
kukusanyaribakwawakatiatakuwanatozoyafainiyaasilimiamiamoja(30%)
@2023
yaribahiyo ,nahelahiyoitakusanywakamamapatoyachama.
Pamojanakulipafainihiyomwanachamaanabakinawajibuwakuliparibastahikikwenyechama.
iv.Kiwango cha chini cha mkoponimilionimojana cha juunimilionitano
NI LAZIMA KILA MWANACHAMA KUKOPA ILI KUWEKA FAIDA AU KULIPA
SHILINGI LAKI MOJA KAMA RIBA YA MKOPO MDOGO.
v.Malipomiezi1mpakamiezi8 kwamkopokuanziatsh1,000,000-5,000,000/=
HakiyaMwanachamaAkifariki
Iwapomwanachamaatakuaamefarikihudumazifuatazozitatolewakatikafamilia
Wanachamawotewatapaswakuhudhuriamsibaninakusaidiakatikashughulimuhimuikiwaita
hitajika
@2023
STAHIKI ZA WAHUSIKA KIASI
MWANAKIKUNDI
MAELEZO YA HUDUMA
Msiba
Mwanachamaakifari Mwanachama Tshs. 400,000
kihakizakezotezitaru itatokakamarambirambi
dishwa Mume/Mtoto
(kamahanamkopo) Baba/Mama Tshs. 200,000/=
Kama mzazi/Mlezi
anadaiwahakinabusar Nduguwadamu
azitatumikakulipaden
i