You are on page 1of 1

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA

AINA ZA UANACHAMA NA WANAUFAIKA


AINA ZA MNUFAIKA / KIWANGO CHA
No.
UANACHAMA WANUFAIKA UCHANGIAJI

1. MTUMISHI WA Mtu yeyote aliyeajiriwa katika sekta Asilimia 6 ya mshahara kwa


TAASISI BINAFSI rasmi (umma na binafsi) ambaye mwezi.
AU SERIKALI anachangia kupitia mwajiri wake
aliyejisajili na NHIF. NHIF pia ina utaratibu wa
huduma za ziada au mpango
Atanufaika pamoja na mwenza maalum ili kujumuisha waajiri
wake na wategemezi halali. wenye uhitaji.

2. TOTO AFYA KADI Mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 Tsh. 50,400 kwa mwaka

3. MWANAFUNZI Mwanafunzi wa shule za awali/shule


za msingi/ shule za sekondari/ vyuo au Tsh. 50,400 kwa mwaka
taasisi za elimu ya juu

4. VIFURUSHI (NAJALI Mtu yeyote mwenye umri wa Kuanzia Tsh. 192,000 kwa
AFYA, WEKEZA AFYA NA miaka 18 na kuendelea mwaka kulingana na mahitaji.
TIMIZA AFYA) anayejiunga kwa hiari
Mwanachama anaweza
Anaweza kunufaika pamoja na kuchangia kwa kudunduliza
mwenza wake na watoto wasiozidi kupitia Benki washirika.
wanne.

5. UMOJA AFYA (MADEREVA, Mwanachama wa kikundi Kuanzia Tsh. 100,000 kwa mwaka.
MACHINGA, BODABODA, kilichosajiliwa na mamlaka za Serikali
WAVUVI, WAPAGAZI, chenye mlengo wa kiuchumi.
WAANDISHI WA HABARI, Anajisajili kupitia kikundi chake
MAMA LISHE) N.K. kilichosajiliwa na NHIF.

6. USHIRIKA AFYA Mkulima/Mfugaji ambaye ni Tsh. 76,800 kwa mwaka kwa kila
mwanachama wa chama cha Ushirika mnufaika.
cha Msingi kilichosajiliwa, mwenza
wake na watoto. Upo utaratibu wa Wanaushirika
kujiunga na kulipiwa michango
na Benki Washirika na
kurejesha msimu wa mavuno.

Viwango vya uchangiaji vinaweza kubadilika wakati wowote. Mfuko utahusika kutoa taarifa za
mabadiliko hayo.
Tafadhali wasiliana na NHIF huduma kwa wateja simu bila malipo 0800 110063 au tembelea

Uhakika wa Matibabu kwa Wote TOLEO LA MEI 2021

www.nhif.or.tz Piga 0800 110063 bure nhiftz NHIF ONLINE TV

You might also like