You are on page 1of 1

TANZANIA EDUCATION, HEALTH & ECONOMIC

ORGANIZATION (TEHE)
FIDIA

UELEWA WA BIMA YA NISHIKE MKONO


JANGA FAO
BIMA YA NISHIKE MKONO
ULEMAVU WA KUDUMU auKWA MWANACHAMA 5,000000
Bima hii hutoa pole kwa mwanachama akipatwa janga la
KIFO KWA MWENZA (MME/ MKE) 2,000,000
ugonjwa sugu, ajali au kifo.
KIFO KWA MTOTO (MWISHO WANNE) 2,000,000
Sifa ya mwanachama wa bima hii:-

 Awe na umri kati ya miaka 18-71


WAZAZI/WAKWE 500,000
 Alipe ada ya mwaka MAMBO YASIYO FIDIWA
 Asiwe na vjkundi zaidi ya vitatu
 Ajaze fomu ya kujiunga a) Kujiua
Sifa ya Mtegemezi wa mwanachama b) Kucheza michezo hatari
MALIPO KWA MWAKA: TSHS. 33,000/= TU.KWA MWAKA
 Mme/Mke (Mwenza)
 Mtoto chini ya miaka 21 Kampuni ya bima: SANLAM GENERAL INSURANCE CO LTD
 Watoto wasizsdi wanne
VIAMBATANISHO WAKATI WA MADAI
 Wazazi/wakwe chini ya miaka 91
KINGA YA FIDIA  Jaza fomu ya madai ya Sanlam
 Kitambulisho NIDA/Kura/Leseni ya udreva
 Ulemavu uliosababishwa Ajali/Ugonjwa
 Hati yakifo/Barua ya serikali ya mtaa/Kijiji
 Magonjwa sugu  Hati ya polisi kama ni ajali
Muda wa malipo
 Kifo
Ndani ya masaa 48 baada ya kutuma kikamilifu madai na vuambatanisho
vyake

You might also like