You are on page 1of 4

PAMOJA AFYA

PAMOJA AFYA BROCHURE/


KIPEPERUSHI CHA PAMOJA AFYA
WHY PAMOJA AFYA/ KWA NINI PAMOJA AFYA
• Affordable premiums – Malipo ya bima kwa bei • 24 hours hospital care – Huduma masaa 24 kwa
Nafuu wagonjwa
• Cover for old age upto 70 years – Unaweza • Discounted Gym Membership – Punguzo la ghara-
kupata bima ya mtu mzima mpaka miaka 70 ma katika nyumba za mazoezi
SECTION 1/ CHAGUO LA KWANZA

ELIGIBILITY: ADULT AGED BETWEEN 18 TO 70 YEARS/UMRI: MTU MZIMA KATI YA MIAKA 18 NA 70


PREMIUM SUMMARY/MPANGILIO WA BEI
ALMASI DHAHABU SHABA
Premium for inpatient and outpatient benefits only/Bei ya mafao ya kulazwa na kutwa tu.
348,200 310,200 210,300
Premium for inpatient, outpatient, dental & optical Benefits/Bei ya mafao ya kulazwa,kutwa, meno na macho.
500,000 400,000 261,000

BENEFITS SUMMARY/MPANGILIO WA MAFAO


BENEFITS/MAFAO ALMASI DHAHABU SHABA
INPATIENT BENEFITS/ MAFAO YA KULAZWA
Inpatient benefit limit/Kima cha mafao ya huduma ya kulazwa 2,000,000 1,200,000 700,000
Type of admission ward/Aina ya wodi ya kulazwa General General General
ward/wodi ward/wodi ward/wodi
ya kawaida ya kawaida ya kawaida
Accidental illness/Kulazwa kwa athari ya mfumo wa ajali Up to full inpatient limit/Kima sawa na
mafao ya huduma ya kulazwa
INPATIENT SUB – LIMITS / VIKOMO NDANI YA KIMA CHA MAFAO YA KULAZWA
Maternity sub-benefit limit/Kikomo cha mafao ya huduma ya uzazi 1,000,000 600,000 350,000
Chronic & pre -existing and HIV cover including provision of ARV’s Up to full inpatient limit /Kima sawa na
sub-benefit limit/Kikomo cha mafao ya huduma ya ugonjwa unao mafao ya huduma ya kulazwa
endelea, magonjwa yaliyokuwepo kabla ya mktaba wa bima,
magonjwa sugu na ukimwi
Congenital conditions sub-benefit limit/Kikomo cha huduma za Up to full inpatient limit /Kima sawa na
magonjwa ya kuzaliwa nayo mafao ya huduma ya kulazwa
OUTPATIENT BENFITS/MAFAO YA HUDUMA YA KUTWA
Outpatient benefit/Mafao ya huduma ya kutwa 500,000 400,000 300,000
DENTAL AND OPTICAL BENEFIT/MAFAO YA HUDUMA YA KUTWA YA MACHO NA MENO
Outpatient dental benefit/Mafao ya huduma ya kutwa ya meno 200,000 150,000 100,000
na kinywa
Outpatient optical benefit/Mafao ya huduma ya kutwa ya macho 200,000 150,000 100,000
Last expense benefit/Ubani wa mazishi 300,000 250,000 150,000

VIGEZO NA MASHARTI:

• Ugonjwa/magonjwa/maradhi/majeraha uliyokuwepo/yaliyokuwepo kabla ya kujiunga na na bima hii au


unaoendelea/yanayoendelea, sugu & Ukimwi – Yana mwaka 1 wakusubiri kabla yakupata huduma kupitia
mfumo huu wa bima.
• Magonjwa ya kuzaliwa nayo – Yana mwaka 1 wakusubiri kabla yakupata huduma kupitia mfumo huu
wa bima.
• Maradhi ya saratani – Yana miaka 2 ya kusubiri kabla yakupata huduma kupitia mfumo huu wa bima.
• Upandikizwaji wa ogani mfano: moyo, figo, Inni, TERMS AND CONDITIONS:
– haufanyiki kwa bima hii.
• Ubadilishaji wa goti la bandia – haufanyiki kwa • Pre-existing, congenital, chronic, and HIV/AIDS
bima hii. – 1 year waiting period before accessing
• Ubadilishaji wa mfupa wa nyonga – haufanyiki medical services through this policy.
kwa bima hii. • Congenital conditions – 1 year waiting period
• Magonjwa ya akili – yana mwaka 1 wakusubi- before accessing medical services through this
ri kabla yakupata huduma kupitia mfumo huu wa policy.
bima. • Cancer treatment – 2 year waiting period
• Kulazwa kwaajili ya upasuaji wa meno au ma- before accessing medical services through this
cho – Una mwaka 1 wakusubiri kabla yakupata policy.
huduma kupitia mfumo huu wa bima. • Organ Transplant – is not covered.
• Huduma ya magonjwa ya kulazwa kwa ajili • Knee replacement – is not covered.
ya upasuaji usiotokana na ajali ama Ugonjwa/ • Hip replacement – is not covered.
Magonjwa/maradhi/majeraha. • Psychiatric condition – 1 year waiting period
• Uliyokuwepo/yaliyokuwepo kabla ya kujiunga before accessing medical services through this
na bima hii au unaoendelea/ yanayoendelea, policy.
sugu & ukimwi – yana mwezi 1 ya kusubiri • Inpatient non accidental related to eye and den-
kabla yakupata. tal surgery – 1 year waiting period before
• Kulazwa kutokana na ajali iliyotokea ndani ya accessing medical services through this policy.
mkataba huu wa bima – hakuna kusubiri. • Inpatient illness (surgical non accidental which
• Huduma ya magonjwa ya Kutwa / kulazwa bila is neither a chronic or pre-existing issue nor acci-
upasuaji – zina mwezi 1 wakusubiri kabla yakupa- dental example Appendicitis) – 1 month waiting
ta huduma kupitia mfumo huu wa bima. period before accessing medical services through
• Matibabu yanayohusiana na ujauzito – Una this policy.
mwaka 1 wakusubiri kabla yakupata huduma • Inpatient illness (surgical accidental) – Immediately
kupitia mfumo huu wa bima. • General Inpatient illness/outpatient (non-surgical)
• Gharama za mazishi – hakuna kusubiri. – 1 month waiting period before accessing medi-
• MRI/CT scan inayotokana na ajali hakuna kus- cal services through this policy.
ubiri/ isiyotokana na ajali ni – Ina mwaka 1 • Maternity – 1year waiting period before access-
wakusubiri kabla yakupata huduma kupitia mfumo ing medical services through this policy.
huu wa bima na baada ya hapo, italipiwa tu • Last expense – no waiting period.
kwa magonjwa ya kulazwa. • MRI/CT scan no waiting for accidental inju-
• Hakutokua na urudishwaji wa gharama za mat- ries/illness but for non-accidental illness has 1 year
ibabu nje ya hospitali tajwa zilizoko kwenye waiting period before accessing medical services
orodha ya bima hii. through this policy, it is only covered for Inpatient
• Endapo mkataba utavunjika hakuna urudishwaji illness.
wa gharama za bima endapo mteja alishaanza • No reimbursement of expenses out of listed hos-
kupatiwa huduma za kimatibabu. pitals.
• Urudishwaji kwa kiwango kwa muda uliobakia • Upon the cancellation of contract, no refund
wa gharama za bima utafanyika endapo mteja of premium will be entitled if the client has al-
atakuwa hajatumia huduma hii. ready started to use the benefit.
• Hakuna kubadilishana uanachama wakati wa • Refund on prorated amount shall be done on when
mkataba wa bima. a member has been on cover but not claimed.
• Rufaa ya matibabu ni kwa hospitali za Serika- • No replacement of membership.
li zilizochaguliwa tu kama zilivyoorodheshwa • Referrals- the only referrals are to the Regional and
kwenye bima hii. National Hospitals.
• Sheria ya muda wa kusubiri itadumu kwa mwa- • All waiting period terms will be applicable only
ka wa kwanza tu isipokuwa kwa maradhi ya for the first year except cancer treatment that
saratani ambapo muda wake ni miaka 2 tu tangu will be applicable for 2 years from the beginning
kuanza kwa mkataba. of the cover.
• Umri wa mtu mzima ni miaka 18 – 70. • Adult age is 18 – 70 years.
• Vitambulisho vinavyotambulika ni kama (leseni • Required ID are passport, driving license, and
ya udereva, kitambulisho cha mpiga kura, pa- national ID, voter’s ID or birth certificate.
sipoti, Kitambulisho cha uraia au cheti cha kuzal- • Any direct or indirect consequences,loss or bodily
iwa. injury or sickness relating to a disease declared by
• Magonjwa yote yaliyoainishwa na shirika la afya the World Health Organization (WHO) as a pan-
duniani – World Health Organization (WHO) demic outbreak is not covered. Example Cholera,
hayatibika; mfano Homa ya Dengue, Kipindupin- Dengue Fever and Covid – 19.
du, Uviko-19.
OUR NETWORKS

JUBILEE HEALTH INSURANCE COMPANY OF Dodoma Branch


TANZANIA LIMITED Shop 1, Plot No. 14, Block 2, P.O. Box 11027,
Dodoma
Head Office Telephone: +255 26 2321066, F : +255 26
5th Floor, Amani place, Ohio Street 2320167
P.O. Box 20524, Dar es salaam, Tanzania Telephone: Email: jicdom@jubileetanzania.co.tz
0800780066 (Toll Free Number) Email: enquiry@
jubileetanzania.co.tz Mbeya Branch
Email: MedicalRetailUnderwriting@jubileetanzania.co.tz NBC (1997) Building, Ground Floor, Karume Avenue,
Mbeya
Quality Plaza Telephone: +255252803172
Ground Floor, East Wing, PSSSF Plaza, Nyerere Road Email: jicmby@jubileetanzania.co.tz
Telephone: +255222862124
Email: jicqc@jubileetanzania.co.tz Moshi Sales Point
1st Floor Kilimanjaro Commercial Complex, Aga khan
Tegeta Branch road
1st Floor Kibo Commercial Complex, Block E, old P.O. Box 465,
Bagamoyo Road Telephone: +255 222926303 Telephone: +255769377914
Email: jictgt@jubileetanzania.co.tz Email: enquiry@jubileetanzania.co.tz

Arusha Branch Iringa Sales Point


2nd Floor, NSSF Mafao House, Old Moshi Road Ground Floor Kalenga Hotel, Uhuru Road, Iringa
P.O. Box 1836, Arusha, Tanzania P.O. Box 445,Tanzania
Telephone: +255272520131 Telephone: +255685672610
Email: jicars@jubileetanzania.co.tz Email: enquiry@jubileetanzania.co.tz

Zanzibar Branch Kahama Sales Point


Ground Floor, ZSTC Investment Building, Malawi Road FINCA building, 1st Floor Room No
P.O. Box 2344, Zanzibar Isaka Road, Kahama
Telephone: +255242239243 Email: jickhm@jubileetanzania.co.tz
Email: jicznz@jubileetanzania.co.tz +255784 214 005
Mwanza Branch
Nyanza Co-operative Union Building, Kenyatta road
P.O. Box 10456, Mwanza, Tanzania
Telephone: +255282541655 / +255282500822
Email: jicmwz@jubileetanzania.co.tz

You might also like