You are on page 1of 22

MAGONJWA YA NGONO NA VIA

VYA UZAZI
• ni magonjwa yanayoambukizwa kwa njia
ya kujamiiana au kukutana kimwili bila ya
kinga na mtu mwenye vimelea vya
ugonjwa.
• Je magonjwa haya ni yapi?
• Magonjwa haya yamegawanyika katika
makundi makuu - 7
MAGONJWA YA NGONO....
• 1.Kutoa Usaha sehemu za siri kwa
– Me-------------------- UDS
– Ke---------------------VDS
• Vimelea vinavyo sababisha maradhi ni
• Kisonono
• Klamydia
• Trikomonas
• Kandida
MAGONJWA YA NGONO....
• Dalili,
• Maumivu wakati wa haja ndogo kwa me
na ke
• Kuwashwa
• Kutoa usaha
MAGONJWA YA NGONO....
• 2.Vidonda Sehemu za siri
• Vimelea vinavyo sababisha maradhi ni
-Kaswende
-klamydia- pangusa ,
-Malengelenge- virusi
-Bubo
MAGONJWA YA NGONO....
Dalili.
• Kuwashwa sehemu za siri
• Malengelenge
• Vidonda
MAGONJWA YA NGONO
3.Kuumwa Tumbo chini ya kitovu; kwa kina
Mama.
• Maradhi haya yanatokana na
• kutotibiwa vyema kwa maradhi ya
• utoaji usaha sehemu za siri kwa jinsia ya
kike,
MAGONJWA YA NGONO
• Maradhi kama kisonono,
• klamydia na vimelea vingine
• kwa sababu mbalimbali huingia ndani ya
via vya uzazi kama mirija ya uzazi
• ,kizazi na sehemu za mayai (ovaries)
MAGONJWA YA NGONO
Dalili,
• Kuwashwa
• Maumivu wakati wa haja ndogo
• Kutoa usaha
• Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
• homa
MAGONJWA YA NGONO
4. Maumivu na kuvimba pumbu
Vimelea vinavyosababisha
• Kisonono
• Klamydia
MAGONJWA YA NGONO
• Hali hii hutokana na kutotibiwa
• au matibabu yasiyo sahihi ya maradhi ya
kutoa usaha
MAGONJWA YA NGONO
• Dalili hii si lazima iwe imesababishwa na
maradhi ya ngono pekee
• kuna sababu lukuki za dalili hizi hivyo ni
vyema kufika vituo vya huduma
MAGONJWA YA NGONO
5.Kuvimba kinenani(inguinal bubo)

-Klamyidia
-klamydia- pangusa ,
-haemophylus ducrey
Dalili
• Uvimbe kinenani mfano wa jipu
• Maumivu
• homa
MAGONJWA YA NGONO
6.Mtoto mchanga kutoa usaha machoni
katika kipindi cha wiki moja tangia
kuzaliwa
• Kisonono
• Klamydia
MAGONJWA YA NGONO
7. Mengineyo
• Chawa wa kinena
• Upele, kibiriti upele
• Hiv
• Genital warts - uyoga
MAGONJWA YA NGONO
• Kwanini ni muhimu kuyafahamu
1. Mengi kati ya haya huenda muhusika
asiyafahamu kama anayo kwa
kutokuona dalili
2. Njia ya kuenea kwa maradhi haya
ndiyo njia ya kuenea kwa UKIMWI
3. Husababisha ugumba, mimba
kutunga nje ya mji wa uzazi,
MAGONJWA YA NGONO
4. Huleta kansa ya via vya uzazi
5 . Kujifungua watoto njiti
6 . Maambukizi kwa watoto tumboni na
wachanga
7 . Kujifungua watoto wenye ulemavu k.m
moyo,ubongo
8 . Kuziba kwa njia ya haja ndogo kwa
wanaume
9 . Kuleta upofu kwa watoto
MAGONJWA YA NGONO
• Sababu za kuenea, Tabia hatarishi
1. Kuwa na wapenzi wengi bila kutumia kinga
kwa ufasaha
2. Ulevi wa kupita kiasi kutokuwa na maamuzi
sahihi
3. Uchumi
4. Kazi ya mtu k.m udereva masafa
marefu,maofisa n.k
5. Kutokuwa na ufahamu wa magonjwa ya
ngono
6. Mila- kurithi wajane kutakasa
MAGONJWA YA NGONO
1. Sababu za kibailojia mabadiliko ya
maumbile –ujana
2. Siasa –vita na migogoro ukimbizi,ubakaji
3. Elimu kwa watoa huduma kama
hawakuelewa vyema wanaweza kueneza
maradhi k.m kutumia vyombo
visivyotakaswa vyema
4. Usafi wa mwili kwa ujumla
5. Kutokupata matibabu sahihi na kutowatibu
wenza
Uhusiano wa maradhi ya ngono na
Ukimwi
1. .yote yanaenea kwaq njia ya ngono
2. Maradhi ya ngono husababisha kuumiza
ngozi hivyo kuruhusu vvu kuingia kwa
urahisi
Uhusiano wa maradhi ya ngono na
Ukimwi
• Jinsi ya kujikinga
1. Kufuata ABC
• Acha kabisa
• Baki na mpenzi mmoja asiye na
maambukizo
• Tumia kondom kwa ufasaha kila
unapofanya tendo
• Punguza idadi ya wapenzi
Uhusiano…..
• Tumia njia ya kujipapasa
mwenyewe,punyeto, busu kavu
• Acha kufanya ngono kavu –mwandae
mpenzi wako kabla ya tendo
• Ulawiti au ufiraji na ufirwaji si salama
kama unatumia njia hiyo vaa kundom
na tumia vilainisho
• Ngono ya mdomo ifanyike iwapo
hakuna vidonda sehemu husika
MWISHO

Ahsanteni

You might also like