You are on page 1of 12

UALIMU

SAIKOLOJIA
MAKUZI YA KIHAIBA
Haiba- ni wasifu wa ndani na wa nje
unaomtambulisha mtu mmoja na wengine
.makuzi ya kihaiba ni mambo yote yanayo
mtambulisha mtu aonekane ni kiasi gani
anatofautiana na mtu mwingine
SIFA ZA HAIBA

HUBADILIKA HURITHISHWA

WASIFU
INAJIDHIHIRI WA
SHA KTK HAIBA
NJE/NDANI
MAZINGIRA

TABIA NA
MUONEKANO
INABORESHWA
Vigezo vya makuzi vya kihaina
Uwezo wa kutambua(kitaaluma)mfano:
kukumbuka na kujieleza.
Matamanio yake mfano: mambo anayoyapenda
na asiyo yapenda.
Tabia yake kwa ujumla mfano
Heshima ,aibu,adabu,ucheshi, kujiamini na
maringo.
Maumbile kimwili mfano
unene,wembamba,urefu ,ufupi, nywere,rangi na
macho.
Cont..
• Uwezo wa kutawala hasira na jazba.
Makuzi ya kijamii
Makuzi haya huhusika na jinsi mtoto
anavyojihusisha na jamii yake katika vipindi
mbalimbali vya maisha yake
Vigezo vya makuzi ya kijamii
Jinsi ya kuwasiliana na watu wengine.
Kujenga urafiki na watu wengine.
Hali ya mtu kuchagua na kuchaguliwa kuwa
kiongozi.
NB:Wazazi na jamii wanatakiwa kuwa mfano
mzuri wa kuigwa na watoto ili kujenga maadili
mazuri katika jamii.
Makuzi ya kitabia
• Makuzi haya yanatawaliwa na mwenendo wa
mtoto kwa vipindi tofauti katika makuzi ya
kimwili, makuzi ya kitabia yanaenda
sambamba na mazingira mtoto alipo lelewa.
Wajibu wa jamii na wazazi kitabia
 Kuwa mfano mzuri kitabia.
 Kukemea tabia mbaya.
 Kushauri watoto.
 Kuwajengea watoto msingi mzuri ya namna ya
kuwa na tabia nzuri
Hatua za ukuaji wa mtoto
• Ukuaji wa mtoto ni tendo linaloonesha
mabadiliko mbalimbali ya
kimwili,kitabia,kihaibana kiakili. Binadamu
hupitia hatua mbalambali tangu kutungwa
mimba na maendeleo yake mpaka kuzaliwa na
kuendelea kukua.
• Ukuajia wa mtoto hutegema mambo makuu
mawili:
Cont..

Kufanana na wazazi.
URITHI
Akili(nyingi au duni)
Magonjwa ya kurithi
mfano :pumu ,kifafa
UKUAJI WA
MTOTO

Lishe
MAZINGIRA Magonjwa
Ajali
Nk.
Kabla ya kuzaliwa mtoto
• Kipindi hiki kimegawanyika katika hatua tatu:
a. Kutungwa kwa mimba(utungisho)
b.Hatua ya embryo.
c. Hatua ya foetus

You might also like