You are on page 1of 24

6/11/2012

Mafunzo ya wasaidizi Ustawi Malengo


wa Jamii awamu kufikia mwisho wa mada hii kila mshiriki aweze ku:
ya pili : • Eleza maana ya unyanyasaji wa mtoto na kutojaliwa
kwa Tanzania.
Stadi za kushughulikia watoto waishio katika • Elezea madhara ya unyanyasaji kwa mtoto
mazingira hatarishi zaidi na familia katika • Tambua sababu zinazofanya mtoto, mzazi, na
mazingira maalumu. mazingira yao yanayomuweka mtoto katika hatari ya
unyanyasaji na kutojaliwa
• Tambua sababu zinazoweza kusaidia ulinzi wa watoto
Siku ya 4 dhidi ya unyanyasaji na kuendeleza uwezo wa mtoto,
Ulinzi wa mtoto, unyanyasaji wa mtoto, na upimaji familia kukabiliana na hali kulingana na mazingira.
wa hatari na uwezo wa kukabiliana na hali • Tengeneza shughuli zitakazo punguza hatari na
kulingana na mazingira endeleza sababu za ulinzi na zitakazo muwezesha
mtoto na familia kukabiliana na hali kulingana na
mazingira.

Nini Maana Ya Unyanyasaji Wa Unyanyasaji Wa Mtoto Na Haki Za


Mtoto? Mtoto Nchini Tanzania

• Unyanyasaji wa mtoto una maana ya uvunjaji wa


sheria kuhusu haki za mtoto kunakopelekea athari
za kimwili, kimaadili au kihisia ikiwemo vipigo,
Bangua Bongo
kutukanwa matusi, kubaguliwa, kutojaliwa
unyanyasaji wa kingono na utumikishwaji.
• Haki za mtoto zimelengwa moja kwa moja katika
sheria ya mtoto nchini Tanzania ya mwaka 2009
kama ifuatavyo :

1
6/11/2012

Haki Za Mtoto Haki Za Mtoto Zinaendelea…


Kwa :
• Mtoto chini ya miaka 18 atakuwa na haki ya: • Chakula Toka kwa wazazi wake:
• Kuishi huru dhidi ya ubaguzi wa aina yeyote • makazi • Kuishi
• Kuwa na jina, utaifa au kufahamu wazazi wake • mavazi • Utu
wa asili na ndugu wengine wa familia. • Huduma za afya • Heshima
• Kuishi na wazazi wake au walezi
walezi. ikiwemo Huduma za • Starehe
• Isipokuwa tu kama kuishi na wazazi au familia chanjo • Uhuru
• kutapelekea madhara kwa mtoto, kutamuweka immunizations • Afya
mtoto katika hatari ya unyanyasaji wa hatari au • Elimu na muongozo • Elimu
• -Hakutna manufaa bora kwa mtoto. • Uhuru • Makazi
• Haki ya kucheza

Wajibu Wa Wazazi: Wazazi Wana Wajibu Wa:

• Kumlinda mtoto dhidi ya:


• kutojaliwa • Kutoa malezi yenye muongozo mzuri,
• Kumbagua na ukandamizaji muendelezo wa msaada kwa mtoto
• Vurugu kuhakikisha uhai wa mtoto na maendeleo.
• Unyanyasaji
U ji • Uwe na uhakika kuwa kukosekana kwa muda
• Mazingira ya hatari kimwili, kimaadili na kwa mzazi, mtoto atakuwa chini ya uangalizi
yenye kukandamiza wa mtu mwenye uwezo.

2
6/11/2012

Haki Za Mtoto Za Ziada Nchini Haki Za Mtoto Za Ziada Nchini


Tanzania.
Tanzania.
• Huru dhidi ya mateso au adhabu zisizo za kawaida
– Urithi: Kufurahia miliki ya wazazi wake ikiwemo vitendo vyenye dhamira ya kudhalilisha au
– Kutoa mawazo yake. Mtu yeyote hapaswi kushusha utu wa mtoto.
kumnyima mtoto mwenye uwezo wa kutoa • Huru dhidi ya mila zinazodhalilisha utu au zenye
maoni haki ya kutoa maoni, kusikilizwa na madhara kimwili,, kiakili na kwa usalama wa mtoto.
kushiriki katika kufanya maamuzi yanayoathiri Adhabu ya ukiukwaji wa haki hizi:
usalama wake. • Mtu yeyote atakaye hukumiwa kwa kosa la
– Epuka shughuli zenye madhara. Mtu hapaswi ukiukwaji
ku muajiri au kumhusisha mtoto katika • wa sehemu ya sheria atawajibika kulipa faini
shughuli yeyote inayoweza kuwa na madhara isiyozidi
kwa afya ya mtoto, elimu, akili, mwili au • shilingi laki tano au kifungo kwa kipindi kisichozidi
maendeleo ya kimaadili. • miezi sita au vyote viwili.

Majukumu Ya Mtoto Wa Tanzania


• Mtoto atakuwa na jukumu pamoja na wajibu wa:
Muhtasari Kwa Ufupi: • Kufanyakazi kwa ajili ya umoja wa familia
• Kuheshimu wazazi wake, walezi, waangalizi na
Haki Za Mtoto wakubwa wakati wote na kuwasaidia wanapokuwa
na uhitaji
• Kuitumikia Jamii yyake na Taifa katika kutumia
uwezo wake wa kimwili na kiakili katika huduma
zake kulingana na umri na uwezo alionao.
Washiriki kutoa muhtasari ya mambo ya • Kuhifadhi na kuimarisha umoja wa kijamii na Taifa:
muhimu kuhusu haki za mtoto. na
• Kuhifadhi na kuimarisha mila na desturi nzuri za
jamii yake na Taifa kwa ujumla kwa kushirikiana na
wanajamii wengine au Taifa

3
6/11/2012

Maana ya mtoto anaehitaji ulinzi Maana Ya Mtoto Anayehitaji Ulinzi


Kwenye Sheria Ya Mtoto Ya Mwaka 2009
kwenye sheria ya mtoto ya mwaka
e) Yuko chini ya uangalizi wa mzazi au mlezi ambaye kwa
2009 sababu ya uhalifu au tabia za ulevi, hafai kuwa
mwangalizi wa mtoto.
f) Anazurura na hana mahali anapoweza kuita nyumbani
16(1) Kwa kusudi la kifungu hiki , mtoto anahitaji au makazi ya kuishi;
huduma na ulinzi ikiwa mtoto huyo g) Anaomba au kupokea misaada kuwe ama kusiwe na
a) Ni yatima au ametelekezwa na jamaa zake kujifanya kuimba, kucheza, kufanya maigizo, kutoa kitu
b) Hajaliwi au amefanyiwa vibaya na mtu chochote ili kiuzwe au vinginevyo, au anakutwa mtaani,
anayemhudumia au aliye chini ya uangalizi wake au katikaa mazingira au mahali kwa lengo la kuomba au
mlezi au wazazi; kupokea msaada.
c) Ana mzazi au mlezi ambaye hana malezi mazuri h) Anaambatana na mtu yeyote wakati mtu huyo
d) Anakosa mahitaji ya msingi kama chakula, mavazi, anapoomba au kupokea msaada, kuwe au kusiwe na
malazi,n.k. kujifanya kuimba, kucheza, kufamnya maigizo, kutoa
chochote ili kiuzwe au vinginevyo.

Inaendelea... Inaendelea...
m) Amekutwa akionyesha tabia ambazo zinaashiria
kumshuku kuwa ana au amekuwa akishawishi au
i) Yuko chini ya uangalizi wa mzazi anayekosa mahitaji akilazimisha kwa lengo la uvunjaji wa maadili.
muhimu kama vile chakula, mavazi, makazi. n) Yuko chini ya umri wa kuwajibishwa kisheria na
j) Anaeambatana na mhalifu au kahaba; anahusika katika kutenda uhalifu mbali na kosa
k) Anaishi katika nyumba au sehemu ya nyumba dogo la shauri la kihalifu.
inayotumiwa na kahaba kwa makusudi ya ukahaba o) Kwa namna moja au nyingine yuko katika hatari ya
au vinginevyo anaishi katika mazingira kimaadili au kimwili
yanayokadiriwa kusababisha, kuwezesha au p) Yuko chini ya uangalizi wa mtu mwenye ulemavu na
kuchangia ushawishi au ukahaba wa, au unaathiri ulemavu huo una mzuia mtu huyo kuweza
maadili ya mtoto. kumhudumia vizuri au uangalizi mzuri au
l) Je mtu huyo ana uhusiano na mtu aliyetendewa q) Katika mazingira mengineyo yeyote kama kamishna
uhalifu au jaribio chini ya kifungu kinachokataza wa ustawi atakavyobaini
usafirishaji wa binadamu

4
6/11/2012

Maneno yanayoashiria unyanyasaji


wa mtoto katika sheria ya mtoto
2009?

• Sheria ya mtoto ya Tanzania ina maneno Kutambua unyanyasaji wa mtoto au


kadhaa yanayoashiria kuwa mtoto k
kutojaliwa
l
ananyanyaswa
• Hii inahusisha “Unyanyasaji wa hatari”
“kutendewa vibaya” “mateso, au ukatili
mwingine, adhabu zisizo za ki utu au kufanyiwa
udhalilishaji”

Nini maana ya… Nini maana…

• Unyanyasaji: Kudhuru mwili, Hisia/madhara ya


kisaikolojia au vitendo vya kujamiiana na mtoto.
• Kutojaliwa: Uangalizi mdogo, usimamizi au msaada
• Unyanyasaji kwa mtoto
• Kutelekezwa: mtoto ambaye mzazi amemwacha
• Kutojaliwa
• Kutelekezwa moja kwa moja au kwa muda mrefu pasipo kufanya
taratibu zingine kwa ajili ya uangalizi wa mtoto
• Utumikishwaji: kulazimishwa kufanya kazi au
kutumia watoto kwa masuala ya ngono.

5
6/11/2012

Je Ni Dalili Zipi Zinazoashiria Dalili Za Unyanyaswaji Wa Mtoto Au


Kuwa Mtoto Ana Nyanyaswa? Kutojaliwa.
• Dalili zifuatazo zinaweza kuashiria kuwa kuna
• Ni zipi dalili za awali unazoweza kuziona kwa unyanyasaji au kutojaliwa kwa mtoto. Ikiwa utazion
mtoto au mzazi tabia ambazo zinaashiria hatari chunguza uwezekano kuwa mtoto ananyanyaswa au
kuwa kuna uwezekano mtoto ananyanyaswa au kutojaliwa.
kutojaliwa na uzizingatie?
Mtoto:
• Anaonyesha mabadiliko ya ghafla ya kitabia au
Bangua Bongo maendeleo ya shule
• Mtoto hajapatiwa msaada wa kimwili au matatizo ya
kiafya yaliyoelezwa bayana kwa wazazi
• Ana matatizo ya kujifunza (ni vigumu kuwa makini)
ambapo haiwezekani kuhusishwa mahususi na
sababu za kimwili au kisaikolojia

Inaendelea... Kutambua Unyanyasaji Wa Mtoto Au


Kutojaliwa
Mzazi:
• Anonyesha kuhusika kidogo sana na maswala ya mtoto
• Mara zote anakuwa makini kama vile anajiandaa • Hukana kuwepo kwa au humlaumu mtoto kwa matatizo ya
kwa kitu kibaya kutokea mtoto shuleni au nyumbani
• Anakosa uangalizi wa mtu mzima • Huwaomba waalimu au walezi wengine kutumia ukatili au
• Anahusika sana na kufuata amri zaidi adhabu kali za kimwili ili kumuadibisha mtoto iwapo
• Anaepuka kutoa majibu(huwa mtulivu), au kama atafanya kosa
hayupo • Kumuona mtoto kuwa mbaya sana, asiye na thamani na ni
• Hufika shuleni au kwenye shughulizinginezo mzigo
mapema, hukaa mpaka muda umepitiliza sana • Hutaka viwango vya kimwili au kitaaluma ambavyo mtoto
na hataki kurudi nyumbani’ hana uwezo wa kuvifikia
• Kimsingi humtegemea mtoto kwa huduma, kujaliwa na
utoshelevu wa mahitaji ya kihisia

6
6/11/2012

Kutambua unyanyasaji wa mtoto au Dalili Na Aina Za


kutojaliwa Unyanyasaji/Kutojaliwa
• Dalili za unyanyasaji
Mzazi na Mtoto: • Unyanyasaji wa kimwili
• Mara chache sana humgusa au hutazamana na • Kutojaliwa
mtoto • Uyanyasaji wa kingono
• Mara zote huona kuwa mahusiano yao ni mabaya • Unyanyasaji wa kihisia
• Husema kuwa hawapendani • Mara nyingi hutokea katika mchanganyiko wa zaidi ya
dalili moja kuliko dalili moja peke yake
• Mtoto aliyenyanyaswa kimwili, kwa mfano mara
nyingi anayanyasika kihisia na mtoto aliye
nyanyaswa kingono pia anaweza kutojaliwa

Zoezi: Kutambua Dalili Za Unyanyasaji Wa Mtoto Dalili Za Unyanyasaji Wa Kimwili


Au Kubaguliwa
• Mjigawe katika makundi manne,
Fikiria kuwa kuna uwezekano wa unyanyasaji
• Kila kundi lishughulikie aina mojawapo ya unyanyasaji
Kimwili
likizingatia:
kwa mtoto ikiwa:
• Unyanyaswaji wa kimwili
• Anavidonda visivyoelezeka vya moto, alama za
• Unyanyaswaji wa kingono
• Kutojaliwa kung’atwa, michubuko, mivunjiko ya mifupa na
• Unyanyaswaji wa kihisia macho meusi
• wana vikundi wajibu maswali yafuatayo kutegemeana na • Ana michubuko iliyofifia au alama nyinginezo
aina ya unyanyasaji wanaoushughulikia: zinazoonekana baada ya kutohudhuria shule.
• Ni dalili zipi zinazoashiria kuwa mtoto unayemshughulikia • Huonyesha kuwaogopa wazazi na kupinga au
ananyanyaswa? Taja dalili nyingi za aina ya unyanyasaji hulia wakati wa muda wa kurudi nyumbani
unaoshughulikia • Husinyaa anapokutana na watu wazima
• Tumia dakika 10 kukamilisha kazi • Hutoa taarifa za kujeruhiwa na mzazi au mtu
• Muwe tayari kutoa mrejesho katika kundi kubwa. mzima mlezi

7
6/11/2012

Dalili Za Unyanyasaji Wa Kimwili Unyanyasaji Wa Kingono


Fikiria kuwa kuna uwezekano wa unyanyasaji Fikiria kuwa kuna uwezekano wa unyanyasaji
Kimwili Kimwili kwa mtoto ikiwa:
kwa mtoto ikiwa:mzazi au mtu mzima mwingine • Anatembea au kukaa kwa shida
Mlezi: • Ghafla anakataa kubadili kwa ajili ya mazoezi au
• Hutoa mawazo yenye mgongano, kushiriki katika mazoezi ya mwili
yasiyoshawishi na yasiyo na maelezo • Anatoa taarifa za kupata ndoto au kukojoa
yanayoelezea sababu za majeraha ya mtoto kitandani
• Humwelezea mtoto kuwa “muovu”, au kwa njia • Kubadilika ghafla kwa hamu ya kula
nyinginezo zilizo hasi
• Hutumia adhabu za kikatili kwamwili wa mtoto
• Ana historia ya kufanyiwa unyanysaji akiwa
mtoto

Dalili za Unyanyasaji Wa Kingono... Dalili Za Unyanyasaji Wa Kingono...

Ufikirie kuwa kuna uwezekano wa unyanyasaji wa


• Huonyesha tabia zisizo za kawaida, mambo nyeti kingono ikiwa mzazi au mlezi mwengine ambaye ni
sana au ufahamu usio wa kawaida kuhusu mtu mzima.
masuala ya kujamiiana au tabia • Anamlinda mtoto isivyokawaida au anamdhibiti
• Kuwa mjamzito au kupata magonjwa ya ngono sana mtoto kutochangamana na watoto wenzie,
hususan kama ana umri chini ya miaka 14 haswa wa jinsi tofauti.
• Hukimbilia /hutorokea mbali • Ni msiri sana na anajitenga
• Taarifa za kunyanyaswa kijinsia hutolewa na mzazi • Ni mwenye wivu au anayetawala wanafamilia
au mtu mzima mwingine anayemlea wengine.

8
6/11/2012

Dalili Za Kutojaliwa Dalili Za Kutojaliwa...

Fikiria kuwa kuna uwezekano mtoto hajaliwi ikiwa:


• Hukosa vifaa/mahitaji muhimu vya shule Fikiria kuwa kuna uwezekano mtoto hajaliwi kiwa:
• Mara nyingi hukosa kuhudhuria masomo shuleni • Mara nyingi ni mchafu na anatoa harufu mbaya
• Huomba au huiba chakula au pesa • Hukosa nguo za kutosheleza kulingana na hali
• Hukosa huduma za kitabibu anazohitaji au huduma ya hewa
za meno, chanjo au huduma za macho (miwani) • Ni mlevi wa pombe au dawa za kulevya
• Hukosa huduma za afya anazohitaji au chanjo. • Hueleza kuwa hakuna mtu wa kumlea nyumbani

Inaendelea... Dalili Za Kunyanyaswa Kihisia


Kunyanyaswa Kihisia inamaana ya kuwa mtoto anatendewa
vibaya au anafanyiwa isivyo sawa:
Fikiriai kuwa kuna uwezekano wa kutojaliwa mtoto ikiwa Fikiria kuwa kuna uwezekano wa kunyanyaswa mtoto kihisia
Mzazi au mtu mzima mwingine mlezi: ikiwa:
• Huonyesha kuwa kinyume na mtoto • Anaonyesha tabia zisizo za kawaida - kama vile kusubiri
• Huonyesha
y kuhuzunika au kuwa na sonona kuamrishwa (Mlalamishi) au mtoto ana madai kupita
• Huonyesha tabia zisizo na uwiano au tabia za kiasi, mkimya sana/mnyonge au yupo yupo tu,
ajabu ajabu anakwepa shughuli, au mtoto anakuwa mkatili.
• Ni mlevi wa pombe kupindukia au anatumia dawa • Anakuwa na tabia au za kiutu uzima sana au za kitoto.
za kulevya Mtoto anakuwa na tabia ya mtu mzima isiyoendana na
umri wake(Mfano, Kuwalea watoto wengine) au tabia
isiyo ya kawaida kwa mtoto (Mfano, anajizungusha mara
kwa mara au ana gonga gonga kichwa)

9
6/11/2012

Dalili Za Unyanyaswaji Wa Dalili Za Uyanyaswaji Wa


Kihisia… Kihisia…
Fikiria kuwa kuna uwezekano wa kunyanyaswa mtoto
kihisia ikiwa mzazi au mtu mzima mwingine mlezi :
• Ana kawia katika ukuaji wa kimwili na kihisia • Mara zote hulaumu, hujishusha, au humshusha
• Ameshajaribu kujiua kiwango mtoto
• Hutoa taarifa za kukosa ukaribu na mzazi. • Hajihusishi chochote na mtoto na hukataa msaada
wowote wa kusaidia matatizo ya mtoto
• Huonyesha kumkataa mtoto

Jinsi Gani Unyanyasaji Madhara Ya Unyanyasaji Wa


Unavyomuathiri Mtoto Mtoto
• Kwanini ni muhimu kujifunza kuhusu
• Ni pamoja na athari zote za wakati huohuo na unyanyasaji wa mtoto/ kutojaliwa?
athari za unyanyasaji za muda mrefu. • Je unaamini nini kinaweza kuwa madhara ya
unyanyasaji wa mtoto?

Bungua bongo/ Majadiliano

10
6/11/2012

Jinsi Gani Unyanyasaji Au Madhara Ya Unyanyasaji Wa


Kutojaliwa Kunavyo Muathiri Mtoto Mtoto/Kutojaliwa
• Mara nyingi madhara hutokea kwa wakati mmoja katika
maeneo haya tofauti. Kusema kweli ni vigumu
• Matokeo ya unyanyasaji au kutojaliwa kuyatenganisha kabisa.
mtoto mara nyingi hujadiliwa kwa upande – Athari za kimwili, kama kuathirika kwa ukuaji wa ubongo
wa mtoto, yaweza kuwa na madhara ya kisaikolojia kama
wa madhara.
madhara Madhara ni kile kinachotokea vile
il kuwa
k na ufahamu
f h wa taratibu
t tib au matatizo
t ti ya kihisia
kihi i
kama matokeo ya unyanyaswaji/ – Matatizo ya kisaikolojia mara nyingi hujitokeza kama tabia
kutojaliwa. Hii huweza kuwa athari za: hatarishi, sonona, na shauku, kwa mfano, inaweza
• Kimwili kumfanya mtu kuwa mvuta sigara, mlevi wa pombe au
dawa za kulevya au kula sana
• Kisaikolojia
– Tabia hatarishi,matokeo yake huweza kupelekea madhara
• Kitabia ya muda mrefu ya kimwili, matatizo ya kiafya, kama
• Kijamii magonjwa ya ngono, saratani au kuwa na uzito mkubwa
kuliko kawaida.

Athari Za Afya Ya Mwili Athari Za Afya Ya Mwili...


• Madhara ya haraka zaidi yatokanayo na unyanyasaji • Kulingana na utafiti wa Kitaifa wa Marekani kuhusu hali
wa kimwili au kutojaliwa yanaweza kuwa madogo bora za watoto na vijana balehe (NSCAW), zaidi ya robo
kama vile (michubuko au kukatwakatwa) au madhara ya watoto waliokuwa katika malezi ya kambo kwa zaidi ya
makubwa kama ( kuvunjika kwa mifupa, kutokwa na miezi 12 walikuwa na matatizo ya afya yanayodumu kwa
muda mrefu au yanayojirudia rudia.
damu au hata kifo).
• Mtoto mwenye dalili za kutikiswa:
• Mara nyingine madhara ya kimwili huwa ni ya muda Utikiswaji wa watoto ni aina mojawapo ya unyanyasaji wa
mfupi hata hivyo maumivu watoto madhara yatokanayo na kutikiswa yanaweza
• Anayopata mtoto na mateso huweza kuwa ya muhimu yasigundulike kwa haraka na yanaweza yakawa kuvuja
sana. kwa damu kwenye jicho au ubongo, athari katika uti wa
• Madhara ya muda mrefu ya afya ya mwili mgongo au shingo, mivunjiko ya mbavu au mifupa ( Kituo
yatokanayo na unyanyasaji au kutengwa kwa mtoto cha Taifa cha matatizo ya mfumo wa fahamu na kiharusi,
ndio kwanza yanaanza kufanyiwa kazi ili yaweze 2007
kutambulika • (Utawala kwa watoto na familia, ofisi ya mipango, utafiti na upimaji [ACF/OPRE], 2004a) Matokeo mengine
ya tafiti ni kama ifuatavyo:

11
6/11/2012

Athari Za Afya Ya Mwili… Athari Za Kisaikolojia


• Matatizo ya ukuwaji wa ubongo: unyanyasaji wa mtoto na • Madhara ya haraka ya kihisia yatokanayo na
kutojaliwa mara nyingine husababisha kuto kuwa kabisa au
kunyanyaswa na kutojaliwa –kutengwa, hofu na
kutokuwa vizuri kwa sehemu za ubongo kunakopelekea
kushindwa kukua . Hali hii ina madhara ya muda mrefu kwa kukosa uwezo wa kumwamini mtu- yaweza
ufahamu, lugha na uwezo wa kitaaluma kutafsiriwa katika madhara ya muda mrefu ikiwemo
• Afya duni ya mwili: Tafiti nyingi zimeonyesha uhusiano wa kutojiamini, sonona na matatizo ya mahusiano.
aina mbalimbali wa kushindwa kufanya kazi vizuri nyumbani Watafiti wamegundua uhusiano kati ya unyanyasaji
(ikiwemo unynyaswaji wa watoto) na afya duni (Flaherty et al, na kutojaliwa na yafuatayo
2006; Felitti, 2002). Watu wazima walio wahi kunyanyaswa au • Matatizo wakati wa utoto:
kutojaliwa utotoni wako katika hatari zaidi ya kupata madhara
Sonona na kujikataa ni kati ya dalili(withdrawal)
ya kimwili kama vile mzio(allrgy) Magonjwa ya viungo, pumu,
homa ya mapafu, shinikizo la damu na vidonda vya tumbo. zinazojitokeza sana kati ya watoto wa miaka mi 3
(Springer, Sheridan, Kuo, & Carnes, 2007) waliopitia kutojaliwa1 kihisia, kimwili, au kimazingira
Sources: 1. De Bellis & Thomas, 2003. 2. Watts-English, Fortson, Gibler, Hooper, & De Bellis, 2006. 3. Chanzo:1 springer, sheridan, kuo,& carnes, 2007.
ACF/OPRE, 2004a. 4. Flaherty et al., 2006; Felitti, 2002. 5. 5(Springer, Sheridan, Kuo, & Carnes, 2007).
Child Welfare Information Gateway. (2008). Long‐term consequences of child abuse and neglect. Washington, DC: USDHHS

Athari Za Kisaikolojia... Athari Za Kisaikolojia...


• Afya duni ya akili na kihisia: • Matatizo ya Ufahamu: watoto walioletwa katika uangalizi ndani
Katika utafiti wa muda mrefu takriban 80 asilimia ya vijana ya vituo kwa sababu za kunyanyaswa au kutojaliwa walikuwa
waliowahi kunyanyaswa walifikia vigezo vya kutambulika na uwezo mdogo kiufahamu ukilinganisha na watu wengine
kuwa na angalau tatizo mojawapo la Afya ya akili katika umri katika vigezo vya kiufahamu, maendeleo ya lugha, na uwezo
wa miaka 21. wa kitaaluma.
Vijana hawa walikabiliwa na matatizo mengi, yakiwemo Utafiti wa mwaka 1999 wa LONGSCAN pia uligundua uhusiano
sonona, kuwa na shauku, matatizo ya ulaji chakula, na kati ya unyanyasaji uliowazi wa mtoto na maendeleo duni ya
kujaribu kujiua kitaaluma ikiwemo utendaji darasani kwa watoto walio katika
Matatizo mengine ya kisaikolojia na hali za kihisia umri wa kwenda shule
zinazohusiana na kunyanyaswa na kutojaliwa ni pamoja na • Matatizo ya kijamii: Watoto waliowahi kukataliwa au kutojaliwa
kuwa na wasiwasi, matatizo ya kutochangamana na wako katika hatari zaidi ya kuwa na tabia za kutochangamana
wengine, Upungufu wa umakini/ Kuchangamka kupita kiasi, na wengine kijamii wanapokuwa watu wazima. Kutojaliwa na
sonona, Hasira, Msongo wa baada ya mstuko wa maono, na wazazi pia kuna uhusiano na kuwa na hali ya kukereka na tabia
matatizo ya kutoweza kuwa na ukaribu. ya ugomvi
chanzo: 1, Silverman, Reinhertz, & Glaconia, 1996(Teicher, 2000; De Billis & Thomas, 2003; Chanzo: 1(Idara ya Afya na Huduma za watu ya Marekani , 2003). 2.Zolotor, Kotch, Dufort, Winsor, & Catellier,
Springer, Sheridan, Kuo, 7 Crnes, 2007 1999) 3.Schore, 2003)
(Silverman, Reinhertz, & Glaconia, 1996).

12
6/11/2012

Athari Za Kitabia Athari Za Kitabia...


• Hapo baadae katika maisha unyanyasaji watoto na kutojaliwa
hupelekea uwezekako zaidi wa yafuatayo:
• Matatizo wakati wa ujana Balehe: Tafiti zimeonyesha kuwa karibu
• Si wahanga wote wa unyanyasaji wa watoto au 25 asilimia ya watoto walionyanyaswa au kutojaliwa wana uwezekano wa
kutojaliwa watapata athari za kitabia. kuwa na matatizo ya tabia mbaya, mimba za ujanani, maendeleo ya chini
• Matatizo ya kitabia hutokea zaidi kati ya kundi hili hata kitaaluma, utumiaji wa madawa ya kulevya na matatizo ya afya ya akili
• Tafiti nyingine zilipendekeza kuwa watoto1 walionyanyaswa au kutojaliwa
katika umri mdogo. walo katika hatari zaidi ya kujiingiza katika ngono hatarishi wanapofikia
• Utafiti uliofanywa kwa watoto wa umri wa miaka 3 ujanabalehe, hivyo huongeza uwezekano wa kupata maambukizi ya
magonjwa ya ngono2
hadi 5 walio katika malezi ya kambo waligundua kuwa
• Tabia mbaya utotoni na uhalifu ukubwani: Kulingana na utafiti
watoto hao walikuwa na kiwango cha wastani cha uliofanywa na kituo cha kisheria cha kitaifa, Watoto walionyanyaswa au
matatizo ya kitabia kwa wastani zaidi ya mara mbili kutojaliwa walikuwa na uwezekano wa mara 11 zaidi wa kukamatwa kwa
tuhuma za matukio ya kiuhalifu wakiwa watoto, mara 2,7 zaidi uwezekano
ukilinganisha na watu wengine. wa kukamatwa kwa sababu ya kufanya vurugu na tabia za kihalifu wakiwa
watu wazima na mara 3.1 zaidi uwezekano wa kutiwa nguvuni kwa ajili ya
moja ya aina ya uhalifu (utotoni au ukubwani) 3

Athari Za Kitabia... Athari Za Kijamii


• Unywaji pombe na utumiaji madawa ya kulevya:Tafiti mara • Wakati unyanyasaji na kutojaliwa watoto karibu mara zote
zote zimekuwa zikionyesha kuongezeka kwa uwezekano wa hutokea ndani ya familia, madhara yake hayaishii hapo tu.
matumizi ya pombe, uvutaji sigara na madawa ya kulevya Jamii vilevile hulipa gharama kwa ajili ya unyanyaswaji na
katika maisha ya watoto walionyanyaswa au kutengwa kutojaliwa kwa watoto kwa misingi ya gharama za moja
Kulingana na ripoti ya kitengo cha Taifa cha kudhibiti Madawa kwa moja au gharama zisizo za moja kwa moja.
yya kulevya,
y karibu theluthi mbili yya tatu yya watu walio katika
• Gharama za moja kwa moja:Gharama za moja kwa moja
programu ya tiba ya watumiaji madawa walitoa taarifa za
kunyanyaswa wakati wa utoto.
zinajumuisha gharama za huduma za uchunguzi na
• Tabia ya matusi:Wazazi wenye tabia za matusi mara nyingi kushughulikia malalamiko kuhusu unyanyasaji na
walifanyiwa unyanyasaji wakati wakiwa watoto. Inakadiriwa kutojaliwa kwa mtoto
kuwa karibu moja ya tatu ya watoto walionyanyaswa au • Gharama za mfumo wa sheria, ikiwemo huduma za
kutojaliwa hatimae na wao pia wata watendea vivyo hivyo kimahakama, polisi na huduma za kijamii kushughulikia
watoto wao wenyewe masuala ya unyanyasaji wa mtoto.
Chanzo: 1.(Kelly, Thomberry, & Smith 1997, 2. (Johnson, Rew & Sternglanz, 2006) (ACF, 2004b), 3.
English, Widom, & Brandford, 2004) . 4.(Dube et al, 2001). 5. (Swan, 1998) 6. (prevent child Abuse New York,
2003).

13
6/11/2012

Athari Za Kijamii Mambo Yanayochangia Matokeo


Ya Athari
• Kupotea kwa raia wenye thamani wanaoweza
kuchangia katika jamii
• Gharama za kushughulikia matatizo ya mtoto
hadi utu uzima. Hii ni pamoja na gharama • Je hali ya unyanyasaji wa mtoto huwaathiri
zinazohusiana na uhalifu wa watoto na wa watoto wote kwa namna iliyo sawa?
watu wazima , matatizo ya afya ya akili, utumiaji • Ikiwa sivyo, unafikiri ni sababu gani zinazofanya
wa vilevi, na vurugu za majumbani. Kuongezeka kuwe na tofauti?
kwa gharama za huduma za afya.
• Kupotea kwa uzalishajimali kwa kukosa ajira na Majadiliano
kuajiri watu wachache

Tofauti Katika Mwitikio Wa Watoto Mambo Yanayochangia Athari Za


Kuhusu Unyanyasaji Unyanyasaji Na Kutojaliwa
Mtoto(Inaendelea)
• Madhara yanaweza kuwa madogo au mabaya;
yanayoweza kupotea baada ya muda mfupi au
• Tafiti pia zimeanza kutafuta sababu kwanini katika
yanayoweza kudumu kwa maisha yote hivyo
mazingira yanayofanana watoto wengine hupata
kumuathiri mtoto kimwili
kimwili, kisaikolojia,
kisaikolojia kitabia au kwa
athari
th i za muda d mrefu
f ya unyanyaswajiji na kkutojaliwa
t j li
mchanganyiko wa maeneo yote matatu.
wakati wengine hufikia utu uzima wakiwa na matatizo
• Madhara yanatofautiana kutegemeana na:
machache.
• mazingira ya unyanyasaji au kutojaliwa
• Uwezo wa kukabiliana na hali na hatimae kuendelea
• wasifu wa mtoto binafsi
kustawi, baada ya kupata uzoefu mbaya(hasi) Mara
• mazingira ya mtoto.
nyingine hujulikana kama “ukimya”.

14
6/11/2012

Mambo Yanayochangia Athari Za Mambo Yanayochangia Athari Za


Unyanyasaji Na Kutojaliwa Mtoto... Unyanyasaji Na Kutojaliwa Mtoto...
Si watoto wote walionyanyaswa na kutojaliwa watapata
athari za muda mrefu. Matokeo ya mtu mmojammoja
yanatofautiana sana na yanachangiwa na mchanganyiko • Watafiti pia wameanza kuchunguza sababu
wa sababu zikiwa ni pamoja na: zinazofanya watoto wengine wapate madhara ya
• Umri wa mtoto na hatua ya maendeleo ya makuzi muda mrefu ya unyanyaswaji na kutojaliwa wakati
wakati unyanyasaji na kutojaliwaa kumetokea. watoto wengine hawapati athari zozote pamoja na
• Aina ya unyanyasaji (kimwili, kutojaliwa, unyanyasaji kuwa wote wako katika mazingira yanayofanana.
wa kingono n.k.) • Uwezo wa kukabiliana na hali, na kustawi, kufuatia
• Amenyanyaswa mara ngapi, Muda na athari za kupitia hali mbaya mara nyingine hujulikana kama
manyanyaso “kukubaliana na hali kulingana na mazingira”
• Mahusiano baina ya mhanga na mnyanyasaji
Child Welfare Information Gateway. (2008). Long‐term consequences of child abuse and neglect. Washington, DC: USDHHS

Chanzo:(English et al, 2005, Chalk, Gibbons, & Scarupa, 2002)

Mambo Yanayochangia Athari Za Sababu Zinazofanya Mtoto Kuwa


Unyanyasaji Na Kutojaliwa Mtoto... Katika Hatari Ya Kunyanyaswa Au
• Sababu kadhaa za ulinzi na za kuendeleza zinaweza
kuchangia kuwa na uwezo wa kukabiliana na hali Kutojaliwa
kulingana namazingira kwa mtoto anaye pitia unyanyasaji
au kutojaliwa. Sababu hizi ni pamoja na:
• Sifa za mtu binafsi, msimamo wa kutegemea mazuri, • Tofauti katika athari za muda mrefu kwa mtoto mmoja
kujiamini, ufahamu,ubunifu, hali ya mtu, na uhuru,
mmoja aliyenyanyaswa /kutojaliwa zimepelekea
• Vilevile kukubalika kwake na wana rika na mwitikio chanya
wa mtu binafsi kwa waalimu, mnasihi, na mfano wa kuigwa. kufanyika utafiti unaoangalia sababu zinazomfanya
• Sababu nyinginezo ni pamoja na mazingira ya kijamii ya mtoto awe katika hatari na mambo yanayoweza
mtoto na uwezo wa familia katika kumpatia huduma za kumlinda au kumfanya awe na ukimya vitu
kijamii. vinavyomuepusha kunyanyaswa au kutengwa.
• Usalama wa jamii, ikiwemo uimara wa majirani na Sababu hizi ni pamoja na zile za mtoto, mzazi, au
upatikanaji wa shule salama pamoja na huduma za afya
mlezi na mazingira.
zakutosha, ni sababu zingine za ulinzi na maendeleo.
(Fraser & Terzian, 2005).

15
6/11/2012

Sababa Za Hatari Na Ulinzi

Sababu za Hatari na Ulinzi Kwa • Ni upi wito wa mpango wa wasaidizi ustawi?


U
Unyanyasaji
ji na Kutojaliwa
j li Mtoto
M

Sababu Za Hatari Na Ulinzi Sababu Za Hatari Na Ulinzi

• Ni muhimu haswa kuweka wito wetu katika matendo


wakati watoto wanaponyanyaswa au wanapokuwa
katika hatari ya kunyanyaswa.
• Watoto kwanza, kuwalinda watoto, kuimarisha • Tayari tumeshazingatia kuwa unyanyasaji wa watoto
familia. unaendelea na tunahitaji kuingilia kati.
• Waweke watoto kwanza kwa kuwalinda watoto • Ili kuwalinda watoto na kuimarisha familia ni muhimu
na kuimarisha familia. pia kuweza:
• Kutambua dalili kuwa mtoto yuko katika hatari ya
kunyanyaswa na
• kuzisaidia familia kutoa malezi mazuri kwa watoto
wao.

16
6/11/2012

Sababu Zinazomfanya Mtoto Awe


Sababu Za Hatari Na Ulinzi
Katika Hatari Ya Kunyanyaswa Na
Kutojaliwa.
• Hivyo tutatumia muda wetu uliobaki leo pamoja : • Tofauti iliyopo kwa madhara ya muda mrefu ya
• Kutambua njia mbalimbali ambazo watoto, unyanyasaji na kutojaliwa kwa mtoto mmoja mmoja
wazazi, na mazingira yao yanawaweka watoto kumepelekea kutafiti kuhusu mambo yanayomuweka
katika hatari y
ya kunyanyaswa
y y mtoto katika hatari
hatari, sababu za ulinzi na sababu
• kutambua njia zinazoonekana kusaidia kuwalinda zinazomfanya aweze kukabiliana na hali kulingana
watoto dhidi ya unyanyasaji na kuwezesha na mazingira ambazo zinamkinga dhidi ya
familia na mtoto kuhimili unyanyasaji na kutojaliwa.
• kutengeneza mipango ya kuingilia kati • Sababu hizi ni pamoja na:
kupunguza hatari na kuwezesha sababu za ulinzi • Sababu za mtoto mwenyewe(afya,tabia, hadhi ya
na kuhimili kwa mtoto na familia. mtu, Tabia na mtazamo wa Mzazi au mlezi.
• matukio na au mazingira ya kijamii

Zoezi Kuhusu Sababu Za Hatari


Zoezi Kuhusu Sababu Za Hatari

• Fanya kazi na wenzako wawili kufanya kundi


dogo la watu 3 • Je kila kundi lime tambua hatari gani zinazohusiana
• Jaribu kuorodhesha na mtoto?
• Hatari moja inayohusiana na mtoto • Baada ya kuorodhesha rejea maelezo
• Hatari moja inayohusiana na mzazi au mlezi yaliyoandaliwa(angalia mwongozo) kuongezea au
• Hatari moja inayohusiana na jamii kujadili

17
6/11/2012

Sababu Za Hatari Kwa Mtoto Zoezi La Sababu Za Hatari

• Kuzaliwa kabla ya siku zake au kasoro za kimaumbile


• Kupata sumu wakati angali tumboni kwa mama yake • Je kila kikundi kimetambua hatari gani
• Magonjwa sugu au ya hatari zinazohusiana na mzazi au mlezi?
• T bi ya mtu-Vigumu
Tabia t Vi kkuwa mpole
l au kkukasirika
k i ik • Baada ya kuorodhesha rejea maelezo
• Mtindio wa ubongo /Uwezo mdogo wa kiakili yanayofuata kuongezea au kujadili
• Mshtuko wa maono wakati wa utoto
• Tabia mbaya za kijamii katika makundi rika

Sabau Za Hatari Zitokanazo Na Sababu Za Hatari Zitokanazo Na


Mzazi/Familia Mlezi/Familia...

• ugomvi wa wazazi wa hali ya juu


• Ukaribu usio salama • Kutengana/Kuachana, hususan kuachana kwa
• Wazazi: Ukaribu na wazazi usio salama kugombana
• Ulezi pweke (na kukosa msaada) • Tatizo la kisaikolojia kwa wazazi
• Malezi ya kikatili na yasio sahihi • Matumizi ya madawa kwa wazazi
• Familia kutokuwa na mpangilio: ufuatiliaji mdogo wa • Kuugua kwa wazazi
malezi • Kufiwa na mzazi au mwana familia
• Kujitenga katika mambo ya kijamii, kukosa msaada • Kupelekwa kwenye malezi ya kambo
• Ugomvi wa majumbani

18
6/11/2012

Zoezi La Sababu Za Hatari Sababu Za Hatari


Kijamii/Kimazingira

• Umasikini
• Je kila kikundi kimetambua hatari gani • Kukosekana kwa huduma za kitibabu, Bima ya
zinazohusiana na jamii au mazingira? afya na huduma za jamii
• Baada ya kuorodhesha rejea maelezo • Mlezi kutokuwa na ajira
yanayofuata kuongezea au kujadili • Kutokuwa na makazi
• Malezi yasiyotosheleza kwa mtoto
• Ubaguzi unaotokana na madaraja au asili ya
mtu n.k.
• Shule duni

Sababu Za Hatari Sababu Za Ulinzi


Kijamii/Kimazingira
• Fikiria kuhusu uzoefu wako wakufanya kazi na watoto
• Kuhamahama mara kwa mara makazi na shule pamoja na familia, je umegundua sifa zozote
• Kuwa katika mazingira yenye sumu zinazoshabihiana kwa mtoto, mzazi au mazingira
• Majirani walio hatarishi ikiwa mtoto ana malezi mazuri? Bungua bongo
• Vurugu/magomvi katika jamii • Tunaziita sababu za ulinzi
• Kuwa katika mazingira yenye vurugu za vyombo • Tunaweza pia kuzigawa katika makundi:
vya habari • kwa mtoto
• Kwa Mzazi/mlezi
• Kwa Jamii/mazingira

19
6/11/2012

Zoezi Kuhusu Sababu Za Ulinzi


Zoezi La Sababu Za Ulinzi
• Fanya kazi na wenzako wawili kufanya kundi
dogo la watu 3 • Je kila kikundi kimetambua sababugani za ulinzi
• Jaribu kuorodhesha zinazohusiana na mtoto?
• Sababu moja ya ulinzi inayohusiana na mtoto • Baada ya kuorodhesha rejea maelezo
• sababu moja ya ulinzi inayohusiana na mzazi yanayofuata kuongezea au kujadili
au mlezi
• Sababu moja ya ulinzi inayohusiana na jamii

Sababu Za Ulinzi Kwa Mtoto


Zoezi La Sababu Za Ulinzi
• Afya bora
• Sababu za hali ya mtu binafsi: (easy temperament)
Kuwa chanya kujiweka kwenye nafasi; • Je kila kikundi kimetambua sababu gani za ulinzi
Anaechukuliana na hali vizuri, kujiamini kwa hali ya zinazohusiana na mzazi au mlezi?
j
juu, stadi
t di nzurii za kijamii,
kij ii uwezo wa ndani
d i wa • Baada ya kuorodhesha rejea maelezo
kujitawala, anaweza kuweka usawa kati ya kutafuta yanayofuata kuongezea au kujadili
msaada na kujitawala mwenyewe
• Ana akili juu ya wastani
• Historia ya maendeleo ya kutosha
• Shughuli/Masuala anayo yapendelea
• Mahusiano mazuri ya wanarika
Davies, D. (2004). Child Development: A Practitioner's Guide. New York: Guilford pp. 106‐108

20
6/11/2012

Sababu Ya Ulinzi Kwa


Walezi/Familia Zoezi La Sababu Za Ulinzi
• Ukaribu ulio salama: chanya na mahusiano mazuri
kati ya mzazi na mtoto
• Mzazi: Humsaidia mtoto wakati anapokuwa na msongo
• Muundo na sheria za nyumbani: jinsi wazazi
• Je kila kikundi kimetambua sababu gani za ulinzi
wanavyomfuatilia mtoto
zinazohusiana na mazingira au jamii?
• Msaada/ kujihusisha na wanandugu wengine, ikiwemo
• Baada ya kuorodhesha rejea maelezo yanayofuata
msaada wa malezi
kuongezea au kujadili
• Mahusiano mazuri kati ya wazazi
• Mtindo wa malezi thabiti ya wazazi na stadi nzuri za
kukabiliana na hali
• Matarajio ya familia kuhusu tabia za kijamii
• Wazazi kuwa na kiwango cha juu cha elimu

Sababu Za Ulinzi Kijamii Na Kutengeneza Mipango Ya Afua Kusaidia


Kwa Kutumia Sababu Za Hatari Na Ulinzi.
Kimazingira
• Mikakati ya kupunguza sababu za hatari na kuendeleza
• Rasilimali za kutosha kwa ajili ya mahitaji ya msingi sababu za ulinzi au uwezo wa kukabiliana na hali kulingana
• Hali ya kati au hali ya kiuchumi ya juu na mazingira, kumeonekana kuwa na ufanisi zaidi iwapo:
• p
Upatikanajij wa huduma za afyay na huduma za kijamii
j • Ina anza mapema na kuendelea kwa miaka mingi
• Mzazi kuwa na ajira yenye mwendelezo • inapojumuisha kazi nyingi na zinahusisha kukutana mara
• Kuwa na nyumba inayofaa kwa mara
• Kujihusisha kwa familia katika masuala ya kidini na • inashughulika moja kwa moja na mtoto na mzazi
• Inapo jumuisha karibu kila kitu: ikiwemo afya, elimu,
imani
mahitaji
• Shule nzuri
• halisi ya familia
• Watu wazima nje ya familia hutoa msaada kwa kuwa • inashughulika na Hatari halisi/ Mahusiano imara
mfano wa kuigwa/kufundisha watoto • Kuendelea kushughulikia na kusaidia

21
6/11/2012

Upimaji Ya Sababu Za Hatari Na Upimaji Ya Sababu Za Hatari Na


Ulinzi Ulinzi: Zoezi La Kundi Kubwa
Visababishi vya hatari Vizuizi vya hatari
Mtoto Ili kufanya mazoezi ya kutumia sababu za hatari na ulinzi
kuelewa mahitaji na uwezo wa mtoto na familia, tufikirie
kuhusu Mwakaila, familia yake na jamii kisha jinu maswali
yafuatayo:
• Ni hatari gani unazoweza kuzitambua kwa mtoto,
familia na mazingira?
Familia • Ni sababu gani za ulinzi unzoweza kuzitambua kwa
mtoto, familia na mazingira?
Tutarekodi majibu ya maswali yetu kwenye dodoso la
Kijamii/mazingira upimaji ya sababu za hatari na ulinzi.

Tumia Sababu Za Hatari Na Ulinzi Upimaji Ya Sababu Za Hatari Na


Kutengeneza Mpango Wa Afua. Ulinzi
• Unapofanya uchambuzi wa sababu za hatari na ulinzi ili
• Aina ya mipango ya kushughulikia unyanyasaji wa mtoto kutengeneza mpango:
na kutojaliwa:
• Tambua sababu za hatari ukianzia na sababu ya
• Mipango inayoweza kupunguza hatari hatari zaidi
• Mipango
p g inayoweza
y kuendeleza uwezo wa • Tambua sababu zozote za ulinzi zinazoweza
kukabiliana na hali kulingana na mazingira au kuimarishwa ili kupunguza hatari kwa kila sababu
sababu za ulinzi. ya hatari.
• Angalizo: mipango ya aina zote inahitajika • Tengeneza mpango wa utekelezaji kumlinda mtoto
kupangiliwa katika ngazi tatu tofauti. (i) mtoto (ii) kwa kushughulikia hatari mojamoja iliyotambuliwa.
mlezi na (iii) mazingira ya kijamii

22
6/11/2012

Mpango Wa Kushughulikia Sababu


Za Hatari Na Ulinzi: Zoezi La Kundi Kutengeneza Mpango Wa Afua
(Anza na hatari ya juu zaidi)
Kubwa Sababu ya Sababu ya Mpango wa afua
hatari ulinzi

mtoto
• Fikiria kuhusu sababu za hatari na ulinzi
ulizozitambua kwa Mwakaila,familia
, yake
y na
jamii.
• Tufanye kwa vitendo kwa kutengeneza mpango Mzazi/mlezi

wa afua kwa Mwakaila na tuweke


kumbukumbu kwenye dodoso linalofuata.
Jamii/mazingira

Zoezi La Vikundi Vidogo Zoezi La Vikundi Vidogo

• Gawa vikundi vinne • Mkiwa katika kikundi Muainishe sababu za ulinzi kwa
• Chagua mwakilishi mmoja katika kikundi atakaye toa mtoto, familia na jamii kisha muandike
• changanua sababu za ulinzi na hatari mkianza na zile
mrejesho wa mliyojifunza katika kundi kubwa
zenye hatari zaidi kisha muandae mpango wa
• Tambua mtoto na mwanafamilia ambayo y mmoja j wa
kushughulikia ili kupunguza sababu za hatari na
wanakikundi ana fanya kazi nao kisha mwanakikundi
kuendeleza sababu za ulinzi
aelezee hali halisi ya familia katika kundi kubwa.
• Weka kumbukumbu za taarifa kuhusu mpango wa
• Mkiwa katika vikundi muainishe sababu za hatari kwa kushughulikia kwenye dodoso mlilopewa.
mtoto, familia na jamii kisha mziandike. • Jadili kuhusu uzoefu na muainishe mambo mliyojifunza
kutokana na mchakato huu unaoweza kuutumia kwenye
utendaji wako wa kilasiku

23
6/11/2012

Mrejesho Toka Katika Vikundi

Muhtasari Na Mrejesho Wa Siku

24

You might also like