You are on page 1of 27

Appendix 2: Data collection tool (Swahili)

Nambari ya dodoso………..

Nambari ya kikundi…………

Jina la mdodosaji/mtafiti
Tarehe ya mahojiano

Mkoa

IRINGA

NJOMBE
Wilaya

Iringa DC

Mafinga TC

Makambako

Wanging'ombe
Kata

Kivavi

lyamkena

maguvani

kitisi

mji mwema

makambako

kalenga

ulanda

changarawe
kinyanambo

upendo

luduga

ilembula

Kijiji
Kaya hii ina watoto wangapi?
Mama ana watoto wangapi walio na umri chini ya miaka mitano?
Kata yenu ina kituo cha huduma za afya?

Ndiyo

Hapana
Umri wa mama katika miaka illiyokamilika

15-20

21 – 30

31 – 40

zaidi ya 40
Kabila la mzazi/mlezi mhojiwa ni lipi

mkinga

mhehe

mbena

mngoni

msangu

mengineyo
Hali ya ndoa ya mzazi/mlezi

Sijaoa/Sijaolewa

Nimeoa/Nimeolewa/Naishi na mwenza
Nimetengana

Mjane/mgane
Kiwango cha elimu cha mshiriki/mama

Sijasoma

Elimu ya msingi

Elimu ya sekondari

Elimu ya chuo
Je mama ameajiriwa au ana kazi inayo mpa mshahara kila mwisho wa mwezi

Ndiyo

Hapana
Je unafanya kazi gani inayokuingizia kipato? (Zungushia zote alizotaja)Kwa kipato tuna maana
unaweza kununua vitu vya nyumbani zaidi ya chakula mfano nguo, kulipia fees za shule n.k

Mtumishi wa serikali/sekta binafsi

Mkulima mkubwa (zaidi ya hekari 5)

Biashara ndogo (pato chini ya milioni moja kwa mwezi)

Mfanya biashara mkubwa (zaidi ya milioni 1 kwa mwezi)

Vibarua

Mkulima mdogo

Nyingine
Kiwango cha elimu cha mwenzi/baba

Hajasoma

Elimu ya msingi

Elimu ya sekondari

Elimu ya chuo (stashahada na kuendelea)


Kwa kukadiria kipato chako cha mwezi ni kiasi gani?
Je unatumia kilevi au pombe ya aina yoyote?
Ndiyo

Hapana
Je mnaishi/unaishi kwenye nyumba ya kupanga au nyumba yenu wenyewe?

Tunaishi kwenye nyumba yetu wenyewe

Tunaishi na wazazi /ndugu

Tumepangisha

Nyumba ya kazi

Hiyo nyumba ni

Ni nyumba ya tofali

Ya udongo/ tope
Je mnatumia choo cha aina gani?

Hatuna choo

Cha kufulashi

Cha shimo
Je mnatumia choo na familia nyingine?

Ndiyo

Hapana
Je maji mnayotumia mnachota wapi

Maji ya bomba

Kisimani/mtoni/chemchemi

Bomba la jamii

Zingine
Je nyumba unayo ishi ina umeme?

Ndiyo

Hapana
Je kwa kawaida mnakula milo mingapi?................... (pamoja na kifungua kinywa)
Je katika mwaka uliopita mlipata shida ya chakula kinachohitajika/kinachotosheleza matumizi ya
familia?

Ndiyo

Hapana
Mtoto ana umri gani kwa miezi (use ENA SMART)

Jinsia ya mtoto

Kiume

Kike

Wakati wa asubuhi mpaka mchana kwa muda mwingi mtoto anashinda wapi?

Nyumbani

Shuleni

Bibi/babu

Jirani

Mahali popote

Sehemu nyingine
Wakati wa kutwa (asubuhi mpaka mchana) mtoto anakuwa chini ya uangalizi wa nani?

Mama

Baba

Baba na mama

Mwalimu/mlezi shuleni

Bibi/babu

Msichana wa kazi

Hana uangalizi maalumu


Jirani

Nyingine
Je mtoto huyu anapata muda wa kulala wakati wa mchana?

Ndiyo

hapana

Sijui
Je, mtoto huyu ana tatizo lolote sugu la kiafya (ulemavu, tatizo la kuzaliwa, ugonjwa wa moyo,
kifua kikuu, UKIMWI)

Ndiyo

Hapana
Nani msimamizi mkuu wa shughuli kuu (hapo juu) ya kichumi inayoipatia familia kipato;

BABA

MAMA

BABA NA MAMA

BIBI/BABU

SIJUI

MWINGINE
Wakati wa ujauzito wa huyu mtoto je ulipata fursa ya kuhudhuria kliniki kupata hduma za afya
ya uzazi na mtoto// huduma za wajawazito?

ndiyo

hapana
Je mtoto huyu anayefanyiwa dodoso ulijifungulia wapi?

kituo cha afya

nyumbani

kwingine
Je mtoto huyu alikuwa na uzito gani wakati wa kuzaliwa?je baada ya kujifungua ulipata msaada
wowote wa kukusaidia katika unyonyeshaji?

hapana

ndiyo
Kabla ya kuruhusiwa kwenda nyumbani, je ulipewa ushauri juu ya unyonyeshaji wa mtoto
aliyezaliwa?

hapana

ndiyo
Mtoto huyu amehudhuriaje kliniki katika miezi mitatu ya hivi karibuni (april,May na June )

hajahudhuria hata mara moja

mara moja

mara mbili

kila mwezi
Ulimpeleka au umeshampeleka mtoto kwa huduma za chanjo baada ya kujifungua?

hapana

ndiyo
Je mtoto amepewa chanjo kulingana na umri wake kwa sasa? (interpret kutoka kwenye kadi ya
mama)

ndiyo

hapana
Wakati unahudhuria kliniki kwa ajili ya chanjo, ulipewa ushauri juu ya unyonyeshaji au ulishaji
wa mtoto?

hapana

ndiyo
Je ulianza kumyonyesha (jina…….) muda gani baada ya kuzaliwa/ kujifungua? (Hours)

ndani ya saa moja


saa 1 hadi masaa 12 baada ya kuzaliwa

saa 12 hadi masaa 24 baada ya kuzaliwa

baada ya masaa 24
Je mtoto alipewa kitu chochote kabla ya kuanza kunyonya maziwa ya mama

hapana

ndiyo
Je mtoto alipewa maziwa ya mwanzo?

hapana

ndiyo
Je mtoto (jina……………..) bado ananyonya?

hapana

ndiyo
Je mtoto alianza kupewa vitu vingine kama Maji ya kunywa ,Maziwa ya ngombe ,Uji mlaini,
Supu/mtori, Ugali mwepesi akiwa na umri gani?

chini ya miezi 6

baada ya miezi 6

taja umri wa mtoto alipopewa kitu kingine tofauti na maziwa ya mama

Naomba unitajie ni vyakula au vinywaji gani alipewa jana………………… tangu alipoamka


hadi alipoenda kulala ,Weka vema iwapo mtoto alikula vyakula vifatavyo katika masaa 24
kuanzia jana

Grains, Cereals, roots and tubers (mf. Mahindi, mchele, viazi, ndizi, magimbi, ndizi,
mihogo)

Legumes and nuts (maharagwe, karanga, kunde, njegele, mbaazi, njugu)

Dairy products (milk, yogurt, cheese) (maziwa fleshi, mtindi, jibini)

Flesh foods (nyama, samaki, dagaa, maini, moyo etc) organs)


Eggs (mayai)

Vitamin A-rich fruits and vegetables (Papai, embe, carrots, mboga za kijani, maboga, majani
ya maboga n. k

other fruits and vegetables (matango, machungwa, bamia,mchicha, mnafu, epo, matunda
pori, mboga za kienyeji)
Je mtoto anapewa chakula chake maalum au anakula chakula wanachokula watu wengine wa
familia (adults)?

anaandaliwa chakula chake maalum

anakula chakula cha familia


Je kwa kawaida huyu mtoto anapewa chakula mara ngapi kwa siku?pamoja na kifunga kinywa

Ukiangalia familia unaweza kuniambia ni vyakula/ vinywaji gani mlikula jana tangu muamke?
Tuchukue mfano wa mama mwenyewe Write in order from morning to evening

Grains, Cereals, roots and tubers (mf. Mahindi, mchele, viazi, ndizi, magimbi, ndizi,
mihogo)

Legumes and nuts (maharagwe, karanga, kunde, njegele, mbaazi, njugu)

Dairy products (milk, yogurt, cheese) (maziwa fleshi, mtindi, jibini)

Flesh foods (nyama, samaki, dagaa, maini, moyo etc) organs)

Vitamin A-rich fruits and vegetables (Papai, embe, carrots, mboga za kijani, maboga, majani
ya maboga n. k.

Other fruits and vegetables (matango, machungwa, bamia,mchicha, mnafu, epo, matunda
pori, mboga za kienyeji)

Je mwanao ameugua ndani ya kipindi cha miezi 3 iliyopita?

ndiyo

hapana
Je mwanao ameshawahi kuugua na kulazwa kwa kipindi cha mwaka huu mpaka sasa
ndiyo

hapana
Je mtoto ana ugonjwa/magonjwa yoyote ya kudumu mfano sickle cell ulemavu congenital
abnormalities, ugonjwa wa moyo, TB, HIV nk)

ndiyo

hapana
Katika wiki mbili hizi, Je mtoto aliugua mara ngapi? (andika namba) Je, mtoto ameshawahi
kupewa dawa za minyoo katika kipindi cha miezi sita iliyopita?

ndiyo

hapana
Je mtoto ameshawahi kupewa matone ya vitamin A katika kipindi cha miezi sita iliyopita?

ndiyo

hapana

Je kwa mila/jadi ya hapa mtoto anapewa nini pindi anapozaliwa?_


Kulingana na mila zenu je mtoto anapewa chakula/kinywaji gani siku anapotolewa nje au

kupewa jina?
Je kwa jadi/mila ya hapa mtoto anapewa nini zaidi ya maziwa ya mama katika miezi sita ya

kwanza?_

Je kwa mila za hapa nani anafanya maamuzi kuhusu ulishaji wa watoto?_


Je mtoto umemnyonyesha maziwa ya mama pekee kwa muda gani? (Yaani kabla ya kuanza

kumpa kitu kingine chochote)_


Kwa uelewa wako mtoto anatakiwa kunyonya au kupewa maziwa ya mama kwa muda gani?

Kwa hapa kijijini, je wamama walio wengi wanaanza kuwapa watoto vyakula vingine kama uji,

mtori, maziwa, ndizi za kuchoma n.k wakiwa na umri gani?


Ni chakula kipi wengi wanaanza kuwapa watoto wao wakiwa na chini ya miezi sita na kwanini?

Ni changamoto zipi zinaathiri unyonyeshaji wa maziwa pekee ya mama katika jamii hii?

Ushauri wa mama au mama mkwe unaathiri uamuzi wa mama katika kunyonyesha._

sikubali kabisa

sikubali

sina uhakika

nakubali

nakubali kabisa
Ushauri wa marafiki unaathiri uamuzi wa mama katika kunyonyesha

sikubali kabisa

sikubali

sina uhakika

nakubali

nakubali kabisa
Baba wa mtoto ana maamuzi makubwa katika unynyeshaji wa mtoto.

sikubali kabisa

sikubali

sina uhakika

nakubali

nakubali kabisa
Ziwa la mama litaharibika endapo atanyonyesha

sikubali kabisa

sikubali

sina uhakika
nakubali

nakubali kabisa
Unyonyeshaji unasababisha mama kupungua uzito

sikubali kabisa

sikubali

sina uhakika

nakubali

nakubali kabisa
Unyonyeshaji unaongeza upendo kati ya mama na mtoto

sikubali kabisa

sikubali

sina uhakika

nakubali

nakubali kabisa
Unyonyeshaji unapunguza ukaribu kati ya mama na baba

sikubali kabisa

sikubali

sina uhakika

nakubali

nakubali kabisa
Je unadhani kuna faida mtoto au mama anayopata kwa kumnyonyesha mtoto wake maziwa ya
mama pekee katika kipindi cha miezi sita ya mwanzo?

ndiyo

hapana
Mwanamke mjamzito haruhusiwa kunyonyesha mtoto?
sikubali kabisa

sikubali

sina uhakika

nakubali

nakubali kabisa
Uzito wa motto (……Kg) Urefu wa motto (……Cm) MUAC ……,
Miguu kuvimba na kujaa maji

ndiyo

hapana
Weight for age

normal

Moderate underweight

Severe underweight

Obese
Weight for height

normal

Moderate wasting

severe wasting
Height for age

normal

moderate stunting

severe stunting

Data collection tool (English version)


TITLE; QUESTIONAIRE ABOUT NUTRITIONAL STATUS AND FACTORS
AFFECTING THE NUTRITION OF CHILDREN UNDER THE AGE OF FIVE YEARS
OLD IN MAFINGA TOWN COUNCIL, JULY-AUGUST 2023
QUESTIONNAIRE NUMBER………………………………...............

INTERVIEWERS NAME……………………………

Date

REGION

IRINGA

NJOMBE
WARD

Iringa DC

Mafinga TC

Makambako

Wanging'ombe
DISTRICT

Kivavi

lyamkena

maguvani

kitisi

mji mwema

makambako

kalenga

ulanda

changarawe

kinyanambo
upendo

luduga

ilembula

Village

How many children does this household have?

How many children does the mother have under the age of five?
Does your ward have a health service center?

yes

no
Mother’s age in completed years

15-20

21 – 30

31 – 40

more 40
What’s the ethnicity of the respondent’s parent or guardian

kinga

hehe

bena

ngoni

sangu

others
Marital status of the parents/guardian
not married

married or living with a partner

separated

widow/widower
Education level of the participant

no formal education

primary education

secondary education

college education

Is the mother employed/does he have a job that pays her a salary at the end of the month?

yes

no

What kind of work do you do that earns you an income? (circle all the ones she mentions)

government or private sector employee

large scale farmer

small business( income less than one million per month)

large business ( more than one million per month)

laborers

peasant

others
Education level of the farther/spouse

no formal education

primary education
secondary education

college education

By estimating your income per month, how much is……..?

Do you use alcohol or any type of alcohol?

yes

no

Do you live in a rented house or your own house?

We live in our own house

we live with parents/relatives

we have rented

house in work place


That house is of which type

brick

soil

what kind of toilet do you use?

we don’t have a toilet

sink toilet

pit latrine

Do you share toilet with other families?

yes
no
Where do you get the water you use?

tap water

spring/well/river

community pipe

others

does the house you live in have electricity?

yes

no
How many meals do you usually eat…………?
Have you had any food problems in the past year?

yes

no
How old is the child in month?

use ENA SMART

Child gender

male

female
During the morning until the afternoon for a long time where does the child stay?

home

school

grand parents
neighbor

any place

another place
During the day the child is under whose care?

farther

mother and farther

teacher/guardian at school

grandmother/grandfather

house girl

has no attention

neighbor

others

Does this child get time to sleep during the day?

yes

no

I don’t know
Does this child have any chronic health problem (disability, congenital problem, heart disease,
tuberculosis, AIDS)?

yes

no
Who is in charge of the main (above) economic activity that provides the family with income;

Father
Mothers

Fathers and mothers

grandparents

I don’t know

others
During the pregnancy of this child you had the opportunity to attend the clinic to get maternal
and child health services/pregnancy services

yes

no

where did you give birth to this child?

health center

at home

elsewhere
What was the birth weight for your child?

After giving birth, did you get any help to help you with breastfeeding?

yes

no
Before being sent home, were you given advice on breastfeeding the newborn?

yes

no

How has the child attended the clinic in the last three months?
he has not attended even once

one time

twice

every month
Did you or have you sent the child to the vaccination service after delivery?

no

yes
Has the child been vaccinated according to his age at the moment? interpret from RCH card

yes

no
When you attended the clinic for vaccination, were you given advice on breastfeeding or feeding
the baby?

no

yes
How long after birth/delivery did you start breastfeeding (name….)?

within one hour

1 hour up to 12 hours after delivery

12 hours up to 24 hours after delivery

after 24 hours
Was the child given anything before starting to suck the mother's milk?
no

yes

Was the child given first milk??

no

yes
Is the child still sucking?

no

yes

At what age did the child start being given something else like porridge?

under six months

after six months

Name the age of the child at which was given something other than breast milk
Please mention what foods or drinks the child was given yesterday from when he woke up until
he went to sleep

Grains, Cereals, roots, and tubers (maize, rice, potatoes, bananas, yams, cassava)

Legumes and nuts (beans, groundnuts, peas)

Dairy products (milk, yogurt, cheese)

Flesh foods (meat, fish, liver, heart etc.) or

Eggs

Vitamin A-rich fruits and vegetables (Papaya, mango, carrots, vegetables, et c.)

. other fruits and vegetables (cucumbers, oranges, okra, apples)


Is the child given his special food or does he eat food that other family members eat?
he is being prepared his own food

he eats what the family eats

How often is he usually given food? Breakfast inclusively


How often is he usually given food Write in order from morning to evening

Grains, Cereals, roots, and tubers. (maize, rice, potatoes, banana, yams, cassava)

Legumes and nuts (beans, ground nuts, peas,)

Dairy products (milk, yogurt, cheese)

Flesh foods (meats, fish, liver,)

Vitamin A-rich fruits and vegetables (Papaya, mango, carrots, vegetables)

other fruits and vegetables (cucumbers, oranges, okra, apple,)


. Has your child been sick in the last 3 months?

yes

no
. Has your child been sick in the last 3 months?

yes

no
Does the child have any chronic disease such as sickle cell anemia, heart disease, TB, HIV?

yes

no

in these 2 weeks, how many times did the child get sick? In number of times
Has the child ever been given anti-worm medication in the past six months?

yes

no
Has the child ever been given vitamin A drops supplement in the past 6 months?
yes

no

According to the local tradition, what is given to a child when he/she is born? _
According to your traditions, what food/drink is given to the child on the day he/she is taken out

or given a name?
According to the local tradition, what is the child given besides mother's milk during the first six

months? _

According to local traditions, who makes decisions about feeding the child? _

How long have you exclusively breastfed the child_

According to your understanding, for how long should a child be breastfed?


Here in the village, most of the mothers start to give their children other foods such as porridge,

tori, milk, bananas, etc. at what age?


Which food do many starts giving their children when they are less than six months old and

why?

Which challenges affects exclusive breast feeding in this society?

The mother's or mother-in-law's advice affects the mother's decision to breastfeed.

I don’t agree at all

I don’t agree

I am not sure

I agree

I absolutely agree
The advice of friends affects the mother's decision to breastfeed?

I don’t agree at all

I don’t agree

am not sure
I agree

I absolutely agree
The child's father has major decisions in the child's breastfeeding?

I don’t agree at all

I don’t agree

am not sure

I agree

I absolutely agree
The mother's breast will be damaged if the mother breastfeeds?

I don’t agree at all

I don’t agree

am not sure

I agree

I absolutely agree
Breastfeeding causes the mother to lose weight

I don’t agree at all

I don’t agree

am not sure

I agree

I absolutely agree
Breastfeeding increases the love between mother and child?

I don’t agree at all

I don’t agree

am not sure

I agree
I absolutely agree
Breastfeeding reduces the closeness between mother and father?

I don’t agree at all

I agree

I am not sure

I agree

I absolutely agree
Do you think there is a benefit for a child or a mother to breastfeed her child only during the first
six months?

Yes

No
A pregnant woman should breastfeed a child?

I don’t agree at all

I don’t agree

I am not sure

I agree

I absolutely agree
CHILD'S WEIGHT …………. Kg
CHILD'S HEIGHT ……………Cm
MUAC…………….
Pitting edema

Yes

No
Weight for age

Normal

Moderate underweight
Severe underweight

Obese
Weight for height

Normal

Moderate wasting

Severe wasting

Height for age

Normal

Moderate stunting

Severe stunting

You might also like