You are on page 1of 19

KLINIKI YA WAJAWAZITO

DR.MHAGAMA D.C
KIVULE DISTRICT HOSPITAL RCH DEPARTMENT
UJAUZITO
Ujauzito ni kipindi cha uumbaji ambapo mwanadamu kwa
kiasi kikubwa kwa kushirikiana na Mwenyezi Mungu
wanakamilisha kazi ya uumbaji.

 Ni kipindi cha baraka na neema pamoja na utulivu


mkubwa.

 Ni katika kipindi hiki mwanamke anakosa kupata hedhi


yake ya kila mwezi.
 Hivyo basi ujauzito ni kipindi cha kumwandaa mwanamke
kuwa mama bora na mwanaume kuwa baba bora.
E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
VIPINDI VYA UJAUZITO
Ujauzito una vipindi vitatu

a) Miezi mitatu ya mwanzo (first trimester)

b) Miezi mitatu ya pili (second trimester)

c) Miezi mitatu ya mwisho (third trimester)

E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
MIEZI MITATU YA MWANZO
Katika kipindi hiki cha mwanzo cha ujauzito ni kipindi ambacho

a) Mtoto anatengenezwa tumboni

b) Mifumo mbalimbali ya mwili inatengenezwa.

c) Mama mjamzito anapitia kipindi cha kutapika kwa kipindi


fulani hali hii mwisho wa siku hali hiyo inakoma na
kupungua kwa kiasi fulani.

d) Maziwa kuanza kujaa

E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
MIEZI MITATU YA PILI
Katika kipindi hiki cha pili cha ujauzito ni wakati ambao sasa

a) Mtoto anakuwa anaongezeka katika mji wa mimba.

b) Mtoto anaanza sasa kucheza kwa kipindi fulani kinapofika

anaanza kucheza ishara ya uhai.

c) Hata na mama mjamzito anaanza kuonekana kwa nje

mabadiliko baadhi baadhi hivi yanaanza kuonekana kwa


E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
nje.
MIEZI MITATU YA MWISHO
Katika kipindi hiki cha ujauzito ni wakati ambapo:-

i. Mtoto anaanza kukomaa

ii. Bado mtoto anaendelea kucheza

iii. Mtoto anajiandaa kwa ajili ya kutoka

iv. Mtoto anashuka

E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
DALILI ZA HATARI KWA
MJAMZITO
 Maumivu makali ya kichwa
 Kizunguzungu
 Kupoteza fahamu
 Kuona giza/maluwe luwe
 Moyo kuenda mbio
 Kupata shida ya kupumua
 Mtoto kutocheza
 Maumivu makali ya tumbo
 Kutokwa na damu/maji maji ukeni
 Miguu/ mwili kuvimba
E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
UDHURIO LA KWANZA
KLINIKI
Katika udhurio la kwanza leo tunalolifanya katika kliniki yetu
hii tunafanya vipimo kwa baba na kwa mama. Ambapo:-

a. Mama mjamzito atafanya vipimo vyote vya maabara pamoja

na kipimo cha picha(radiological investigation)

b. Baba yeye atafanya vipimo vya maabara pekee tu.

E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
VIPIMO VYA MAABARA KWA MJAMZITO
o Kipimo cha mimba(UPT)
o Kipimo cha mkojo (URINALYSIS)
o Wingi wa damu (HB LEVEL)
o Kundi la damu la mjamzito (BLOOD GROUP)
o Malaria (MRDT)
o Kipimo cha sukari (RBG)
o Magonjwa ya zinaa (VDRL)
o Kipimo cha homa ya ini (HEPATITIS B)
o Virusi vya ukimwi (HIV TEST)

E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
KIPIMO CHA
PICHA(ULTRASOUND)
Kipimo hiki anapima mama mjamzito peke yake tu.

Ni katika kipimo hiki ndipo kinatupa


1) Umri sahihi wa ujauzito
2) Mategemeo ya kujifungua
3) Uthibitisho wa uwepo wa ujauzito

 Kipimo hiki hakina madhara yeyote ile kwa mama


mjamzito na hata kwa mtoto tumboni kwa mama sababu
hakitumii mionzi.
E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
MAGONJWA TUNAYOPAMBANA
NAYO
Katika kipindi chote cha ujauzito tunapambana na magonjwa
makubwa

a. Malaria

b. Upungufu wa damu.

c. Pamoja na changamoto mbalimbali zinazohatarisha afya ya


mama na mtoto.

E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
MALARIA KWA MJAMZITO
 Ugonjwa wa malaria kwa mjamzito ni moja ya
magonjwa yanayotishia hatari kubwa kwa mama
mjamzito.

 Ugonja huu unasambazwa na mbu jike aina ya


Anopheles

 Malari ipo katika makundi haya


1. Malaria ya kawaida (uncomplicated Malaria)
2. Malaria kali (severe Malaria)a
E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
MADHARA YA MALARIA
MADHARA YA MALARIA KWA MJAMZITO
i. Kupata upungufu wa damu
ii. Kupata malaria kali

MADHARA YA MALARIA KWA MTOTO TUMBONI


1. Mimba kutoka yenyewe
2. Mtoto kutokuwa vizuri tumboni
3. Mtoto kuwa na kilo ndogo
4. Mtoto kufia tumboni

E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
JINSI YA KUJIKINGA NA
MALARIA
1. Matumizi ya chandarua chenye dawa kila siku.

2. Matumizi ya dawa kinga za Malaria SP zinazotolewa kwa

wakati maalumu

3. Kuandaa mazingira yetu vizuri huko majumbani

4. Uwepo wa wavu za kuzuia mbu

5. Kuvaa nguo ndefu wakati wa usiku

6. Kutumia mafuta ya kupaka kuzuia mbu (mosquito repellant)

7. Kufanya matibabu mapema iwezekanavyo.


E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
UPUNGUFU WA DAMU
Tunapambana na mama mjamzito damu yake isipungue
11g/dl

TUNAPAMBANA VIPI DAMU ISIPUNGUWE

1. Kunywa dawa za kuongeza damu kila siku

2. Kuacha kula udongo

3. Kula vyakula vyenye utajiri wa wingi wa damu kila siku

4. Kufanya matibabu haraka iwezekanavyo


E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
VYAKULA VYENYE UTAJIRI WA
KUONGEZA DAMU

E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
MADHARA YA UPUNGUFU WA DAMU
MJAMZITO
 Kupata shida kwenye moyo

 Kuzaa kabla ya wakati

 Kupoteza maisha

E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
MADHARA YA UPUNGUFU WA DAMU KWA
MTOTO TUMBONI
1. Mtoto kufia tumboni

2. Mimba kutoka/kuharibika

3. Kuzaa mtoto asiyekomaa vizuri

4. Kuzaa mtoto mwenye kilo ndogo

E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com
Z A
L I
K I
ISI
UN
A K
K W
T E
A N
AS
E-mail:mhagamachristopher15@gmail.com

You might also like