You are on page 1of 12

CHUO KIKUU CHA DODOMA

CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHISsHULE KUU YA


TIBA NA MENO
HALI YA LISHE NA SABABU ZINAZOATHIRI LISHE KWA
WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO KATIKA
MKOA WA SHINYANGA, SEPTEMBER SEPTEMBA 2021
SEHEMU YA I. UTANGULIZI
1. Nambari ya dodoso………………………………………….
2. Nambari ya kikundi………………………………………….
3. Jina la mdodosaji/mtafiti…………………………………….
4. Tarehe ya mahojiano…………………………………………
5. Jina la Kata…………………………………………………..
6. Jina la kijiji/mtaa…………………………………………….

SEHEMU YA II. TAARIFA ZA KIJAMII NA DEMOGRAFIA ZA MZAZI/MLEZI

7. Jinsi
1. Me
2. Ke
8. Una umri gani? (miaka)……………..
9. Una uhusiano gani na mtoto?
1. Mama
2. Baba
3. Bibi/Babu
4. Mfanyakazi wa ndani
5. Ndugu……...Taja………………………………………….
10. Kabila la mzazi/mlezi ni lipi?..........................................................
11. Hali ya ndoa ya mzazi/mlezi
1. Sijao/sijaolewa
2. Nimeoa/Nimeolewa/Naishi na mwenza
3. Nimetengana
4. Mjane/mgane
12. Nani anayetafuta kipato cha kuhudumia familia hii?
1. Baba

1
2. Mama
3. Baba na mama
4. Babu/Bibi
5. Sijui
6. Mwingine (Taja) ……

2
13. Je anafanya/wanafanya shughuli gani ya kujipatia kipato? (weka vema panapofaa,
usimsomee muache ataje mwenyewe )
1. Kilimo
2. Mfugaji
3. Mwjiriwa
4. Mfanya biashara
5. Sijui
6. Nyingine taja ………………………………………..

14. Kiwango chako cha juu cha elimu ni kipi?


1. Sijasoma
2. Elimu ya msingi
3. Elimu ya sekondari
4. Elimu ya chuo
15. Familia hii ina watoto wangapi walio na umri chini ya miaka 5?

SEHEMU YA III. TAARIFA ZA KIDEMOGRAFIA ZA MTOTO:

16. Jinsi
1. Me
2. Ke
17. Tarehe ya kuzaliwa …......... (angalia kwenye kadi)
18. Uzito wa mtoto pindi alipozaliwa ulikuwa kiasi gani (Kg)…………………… (Angalia
kwenye kadi kama hana kadi na hajui ama hakumbuki andika sijui)

SEHEMU YA IV: ULISHAJI WA MTOTO


I: KWA MTOTO MWENYE UMRI CHINI YA MIAKA MIWILI (2)
19. Je ulimnyonyesha mtoto maziwa ya mwanzo?
1. Ndiyo
2. Hapana …………… Taja sababu
20. Baada ya kujifungua ulimlisha mtoto kitu chochote kabla ya kumnyonyesha?
1. Ndiyo ………………………………………………
2. Hapana (Nenda swali la 2422)

3
3. Sikumbuki (Nenda swali la 2422)
21. Kwanini ulimlisha mtoto kabla ya kumnyonyesha mara baada ya kujifungua?
1. Maziwa yalikuwa hayatoki
2. Mama alikuwa mgonjwa
3. Mtoto alikataa nyonyo

4. Maziwa yalikuwa yanauma


5. Mtoto alishindwa kunyonya
6. Kusafisha tumbo la mtoto
7. Nilikatazwa kumnyonyesha
8. Sababu nyinginezo…………taja………….

22. Je, mtoto huyu ananyonyeshwa maziwa ya mama?


1. Ndiyo
2. Hapana (nenda swali la 3929)
23. Huwa unamnyonyeshaje mtoto wako?
1. Kila anapohitaji kunyonya
2. Kwa ratiba maalumu
24. Je mtoto huyu ameshaanza kula vyakula tofauti na maziwa ya mama?
1. Ndiyo
2. Hapana
25. Mtoto alianza kula vyakula tofauti na maziwa ya mama katika umri gani? (taja)
(Miezi).............

4
26. Je kwa nini ulianza kumpa mtoto vyakula vingine?
1. Maziwa yalikuwa hayatoshi
2. Mtoto alikuwa analia sana
3. Sababu ya ajira/kazi
4. Sababu ya shule
5. Mtoto alikataa nyonyo
6. Nilikatazwa kumnyonyesha
7. Mtoto alikuwa mkubwa tayari
8. Nilibeba ujauzito mwingine
9. Sababu nyinginezo …………………………………………...
27. Mtoto aliachishwa kunyonya maziwa ya mama akiwa na umri gani?
28. Taja Sababu za mtoto kutonyonyeshwa/ kuachishwa maziwa ya mama
1. Mama alifariki
2. Maziwa yalikuwa hayatoshi
3. Mtoto alikuwa analia sana
4. Sababu ya ajira/kazi
5. Sababu ya shule
6. Mtoto alikataa nyonyo
7. Nilikatazwa kumnyonyesha
8. Mtoto alikuwa mkubwa tayari
9. Nilibeba ujauzito mwingine
10. Sababu nyinginezo …………………………………………...
29. Je unatumia chombo gani kumnywesha mtoto maziwa, chakula, maji nk?
1. Chupa yenye chuchu
2. Kikombe na kijiko
3. Njia nyingineyo ………………

5
II. KWA MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA 2- 5

30. Je, mtoto bado ananyonyeshwa maziwa ya mama?


1. Ndiyo
2. Hapana (nenda swali la 32)
31. Je mtoto ameanza kula vyakula?
1. Ndiyo
2. Hapana………......Taja sababu ………
32. Mtoto alianza kula vyakula katika umri gani?....... (miezi)
33. Mtoto aliachishwa kunyonya maziwa ya mama akiwa na umri gani?
1. Hakuwahi Kunyonya tangu azaliwe
2. Umri (miezi) ………………………………………..
34. Taja Sababu za mtoto kutonyonyeshwa/ kuachishwa maziwa ya mama
1. Mama alifariki
2. Maziwa yalikuwa hayatoshi
3. Mtoto alikuwa analia sana
4. Sababu ya ajira/kazi
5. Sababu ya shule
6. Mtoto alikataa nyonyo
7. Nilikatazwa kumnyonyesha
8. Mtoto alikuwa mkubwa tayari
9. Nilibeba ujauzito mwingine
10. Sababu nyinginezo …………………………………………...

35. Unatumia chombo gani kumnywesha mtoto maziwa, chakula, maji nk


1. Chupa yenye chuchu
2. Kikombe na kijiko
3. Njia Nyingineyo ……………………………
Sasa ningependa kukuuliza kuhusu kila kitu ambacho mtoto wako aliakula saa 24 zilizopita .
Tafadhali jumlisha chakula alichokula nje ya nyumba yako.

36. Weka vema iwapo mtoto alikula vyakula vifatavyo katika masaa 24 kuanzia jana
Aina ya chakula Weka vema kama
alikula
Nafaka: mahindi, mchele, viazi, ndizi, magimbi, ndizi, mihogo 1. Ndiyo

6
2. Hapana

Jamii ya kunde na karanga: kwa mfano, maharagwe, mbaazi, dengu, 1. Ndiyo


karanga, korosho, mbegu za maboga, soya au ufuta maharagwe, kunde, 2. Hapana
njegele, mbaazi, njugu
Maziwa fleshi, mtindi, jibini 1. Ndiyo
2. Hapana

Nyama ya ng`ombe, nguruwe, kondoo, mbuzi, kuku, njiwa, bata, ini, figo, 1. Ndiyo
moyo au kiungo chochote cha mnyama kinacholiwa, samaki au dagaa 2. Hapana

Mayai 1. Ndiyo
2. Hapana

Mboga za majani 1. Ndiyo


2. Hapana

Matunda: machungwa, nanasi, papai, embe n.k 1. Ndiyo


2. Hapana

37. Mtoto anakula Mara mara ngapi kwa siku………………


38. Unamlishaje mtoto huyu?
1. Anakula mwenyewe
2. Anakula pamoja na wanakaya

SEHEMU YA V: UHABA WA CHAKULA

39. Je, kwa muda wa wiki nne zilizopita, ulikuwa na hofu kuwa chakula hakitatosha ndani ya
kaya yako?
1. Ndiyo
2. Hapana
a) Hali hii ilijitokea mara ngapi?
I. Mara chache (mara 1 au 2 )
II. Mara nyingine ( mara 3-10)
III. Kila mara (> mara 10)

7
40. Je, kwa muda wa wiki nne zilizopita, wewe au kuna mtu yeyote wa kaya hii aliyeshindwa
kula vyakula anavyopendelea kwa sababu ya ukosefu wa upatikanaji wa vyakula hivyo?
1. Ndiyo
2. Hapana
a) Hali hii ilijitokea mara ngapi?
i. Mara chache (mara 1 au 2 )
ii. Mara nyingine ( mara 3-10)
iii. Kila mara (> mara 10)
41. Je, kwa muda wa wiki nne zilizopita, kuna mtu yeyote wa kaya hii aliyelazimika kula
baadhi ya vyakula tofauti na anavyopendelea kwa sababu ya ukosekanaji wake?
1. Ndiyo
2. Hapana
a) Hali hii ilijitokea mara ngapi?
I. Mara chache (mara 1 au 2 )
II. Mara nyingine ( mara 3-10)
III. Kila mara (> mara 10)
42. Je, kwa muda wa wiki nne zilizopita, kuna mtu yeyote wa kaya hii aliyelazimika kula
vyakula vingine asivyopendelea kwa sababu ya uhaba wa upatikanaji wa vyakula
anavyopendelea?
1. Ndiyo
2. Hapana
a) Hali hii ilijitokea mara ngapi?
I. Mara chache (mara 1 au 2 )
II. Mara nyingine ( mara 3-10)
III. Kila mara (> mara 10)
43. Je, kwa muda wa wiki nne zilizopita, kuna mtu yeyote wa kaya hii aliyelazimika kula
chakula kidogo sana kwa sababu ya ukosekanaji wa vyakula vya kutosha?
1. Ndiyo
2. Hapana
a) Hali hii ilijitokea mara ngapi?
I. Mara chache (mara 1 au 2 )
II. Mara nyingine ( mara 3-10)
III. Kila mara (> mara 10)
44. Je, kwa muda wa wiki nne zilizopita, kuna mtu yeyote wa kaya hii aliyelazimika kula
mulo mdogo kwa siku, kwa sababu ya ukosefu wa chakula cha kutosha?
1. Ndiyo

8
2. Hapana

a) Hali hii ilijitokea mara ngapi?


b) Mara chache (mara 1 au 2 )
c) Mara nyingine (mara 3-10)
d) Kila mara (> mara 10)
e) Je, kwa muda wa wiki nne zilizopita, kuna mtu yeyote wa kaya hii ambaye
hakuwahi kupata chakula kwa sababu ya ukosekanaji wake?
1. Ndoiyo
2. Hapana

a) Hali hii ilijitokea mara ngapi?


I. Mara chache (mara 1 au 2 )
II. Mara nyingine (mara 3-10)
III. Kila mara (> mara 10)
45. Je, kwa muda wa wiki nne zilizopita, wewe au kuna mtu yeyote wa kaya hii ambaye
alilala usingizi wakati wa usiku akiwa na hasira kwa sababu hakukuwa na chakuala cha kutosha?
1. Ndiyo
2. Hapana
a) Hali hii ilijitokea mara ngapi?
I. Mara chache (mara 1 au 2 )
II. Mara nyingine (mara 3-10)
III. Kila mara (> mara 10)

46. Je, kwa muda wa wiki nne zilizopita, wewe au kuna mtu yeyote wa kaya hii ambaye
usiku na mchana hakupata chakula chochote kwa sababu hakukuwa na chakula cha kutosha?
1. Ndiyo
2. Hapana
a) Hali hii ilijitokea mara ngapi?
I. Mara chache (mara 1 au 2 )
II. Mara nyingine (mara 3-10)
III. Kila mara (> mara 10)

SEHEMU YA VI:. MILA ZINAZOHUSIANA NA CHAKULA (kwa walezi/wazazi wote)

47. Je, kuna vyakula ambavyo mtoto chini ya miaka mitano huzuiliwa kula?
1. Ndiyo …… ..Taja…..……………………………………….
2. Hapana

9
3. Sijui
48. Je katika jamii yenu wazazi wanaruhusiwa kunyonyesha watoto maziwa ya mwanzo
pindi wanapojifungua?
1. Ndiyo
2. Hapana…Taja Sababu ……………………………………….
49. Je katika jamii yenu wanaume huwa wanayonya maziwa ya mama pindi mama
akijifungua
1. Ndiyo
2. Hapana
3. Sijui

SEHEMU VII: AFYA YA KINYWA NA MENO


50. Je, mtoto wako huwa anasafisha meno kwa mswaki na dawa ya meno mara ngapi kwa
siku?
1. Ndiyo
2. Hapana (nenda swali namba 52)

a) Mara ngapi
I. Mara moja
II. Mara mbili
III. Hasafishi
51. Je mtoto wako amewahi kupata tatizo la kinywa au meno?
1. Ndiyo
2. Hapana (nenda 56)
52. Kama ndiyo, ni tatizo gani alilopata?
1. Kuoza/Kutoboka jino
2. Fizi kutoa damu
3. Kidonda mdomoni
4. Mengine. Taja_____________
53. Ulaji wa mtoto ulikuwaje kipindi akiwa na tatizo hilo?
1. Kawaida
2. Ulipungua
3. Uliongezeka
4. Alikataa kula

10
54. Ulifanya nini baada ya kugundua kwamba mwanao ana tatizo la kinywa/meno?
1. Nilimpa dawa ya kutuliza maumivu
2. Nilimpeleka hospitali
3. Nilimpa dawa za kienyeji
4. Nilimwacha apone

SEHEMU YA VIII: UTUMIAJI WA HUDUMA ZA AFYA (Tumia kadi)


55. Mtoto huyu ulijifungulia hospitali?
1. Ndiyo (nenda 58)
2. Hapana (nenda swali la 57)
56. Je mara baada ya kujifungua ulimpeleka mtoto hospitali
1. Ndiyo
2. Hapana
57. Mtoto huyu amehudhuriaje kliniki katika miezi mitatu ya hivi karibuni?
1. Hajahudhuria hata mara moja
2. Mara moja
3. Mara mbili
4. Kila mwezi
58. Hali ya uzito wa mtoto katika miezi mitatu ya hivi karibuni ikoje? (Angalia kadi)
1. Unaongezeka kila mwezi
2. Hauongezeki kwa miezi yote mitatu
3. Unapungua kila mwezi
4. Unaongezeka na kupungua

59. Hali ya chanjo ya mtoto


UMRI CHANJO Status Andika chanjo
1.Complete aliyokosa/alizokosa
2.Incomplete
Kuzaliwa BCG + OPV
Majuma 6 OPV+DPT+PCV+ROTA
Majuma 10 OPV+DPT+PCV+ROTA
Majuma 14 OPV+IPV+PCV
Miezi 9 Surua 1
Miezi 18 Surua 2

11
≥ miezi 6 Vit. A supplementation
≥ miezi 12 Dawa za minyoo
SEHEMU YA IX: ANTHROPOMETRIC MEASUREMENTS (mdodosaji tu)

60. Birth date ………………………..


61. Sex ………………….
62. Weight of the child (kg) ………………..
63. Height of the child (Cm) ……………….
64. MUAC (Cm) ……………………………
65. Oedema
1. Yes
2. No

ASANTE KWA USHIRIKIANO

12

You might also like