Kisukari, Shinikizo La Damu, Unene, Magonjwa ya Moyo
STOP KULA VYAKULA VINAVYOSABABISHA MAGONJWA
Wagonjwa wa kisukari wa aina ya 1 na aina ya 2
i. Acha kutumia virutubisho vya lishe i.e supplements
ii. Acha tumia maziwa, jibini, maziwa, siagi na samli
na mtindi
iii. Acha kutumia vyakula vilivyokobolewa, sukari ya
viwandani, chumvi na mafuta ya viwandani
iv. Acha kutumia nyama aina zote za kopo
v. Acha kutumia soda, au juice, energy. pombe
vi. Acha kutumia chai, kahawa hasa wakati au kabla ya
Lunch
vii. Acha kutumia vyakula vya makopo, vya box
viii. Acha kutumia chumvi au kinachofanana nacho
ix. Acha kula chakula ambacho hukupika mwenyewe
x. Usile chakula baada ya saa 2 usiku
xi. Acha kula vyakula kila wakati
HATUA YA 1 Kama unatumia dawa za Kisukari & dawa za Pressure, zote ziache kutumia ndani ya masaa 48
Baada ya hapo, pima kiwango cha Sukari masaa 2
baada ya kula na pima pia kiwango cha Pressure
kama Kiwango cha Sukari, kitakuwa chini au sawa na
13.8 na kiwango cha pressure kitakuwa chini au sawa na 160/100, unaweza kuacha kabisa kula madawa endelea na lishe BREAKFAST TIME
1. Kunywa glasi 1 ya seleli juice fresh, isiyochanganywa na maji, au
kunywa glasi 1 ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na limao au kunywa kijiko 1 kikubwa cha mafuta ya Extra Vigin Olive Oil
2. Baada ya hapo hiyo asubuhi hadi kabla ya saa 6 mchana kula
matunda mchanganyiko aina 3 hadi 4 (matunda yote yanaruhusiwa), katakata kwenye sahani kiasi cha uzito wako____kgs x 10 = _____ gramu au zaidi, kula hadi ushibe.
Mfano, uzito wako ni kilo 70 kgs, utakula matunda kiasi cha 70 x
10 = 700 gramu kabla ya saa 6 mchana
NB: Matunda yoyote unaweza tumia, mfano maembe, ndizi, zabibu,
parachichi, noni (mulberry), machungwa, tikiti, papai, pormegranate, strawberry, blueberries, raspberries, matango, mananasi, stafeli, n.k kula matunda kama chakula, sio kama sehemu ya chakula LUNCH TIME Lunch kutakuwa na sahani mbili (2)
Sahani ya 1: itakuwa na mchanganyiko wa mboga mboga mbichi
za aina 3 hadi 4 mfano, spinach, kabichi, carrot, tomato, radish na cucumber n.k, ujazo wa sahani ni uzito wako ____kgs x 5 = _____gram, kachumbari au salad hizi kula nyingi hadi ushibe kabla ya kula chakula chako
Sahani ya 2: sahani hii itakuwa na vyakula unavyovipenda,
mfano ugali, wali, viazi kwa kiasi kidogo, mboga za majani ziwe nyingi sana. DINNER TIME Dinner kutakuwa na sahani mbili (2) au moja (1)
Sahani ya 1: itakuwa na mchanganyiko wa mboga mboga bichi
za aina 3 hadi 4 mf. carrot, tomato, radish na cucumber n.k, ujazo wa sahani ni uzito wako ____kgs x 5 = _____gram, kachumbari au salad hizi kula nyingi hadi ushibe
Sahani ya 2: sahani hii itakuwa na vyakula unavyovipenda,
mfano ugali, wali, viazi kwa kiasi kidogo mboga za majani ziwe nyingi sana. SNACKS AU VINYWAJI Aina zote za Nuts mfano karanga, korosho n.k unaweza kutumia lakini Uloweke katika maji masaa 2 hadi 3 kabla ya kula kiasi ni kg ___gram Sproud kg ___ gram kwa siku SUNSHINE TIME JUA (SUNSHINE) Hakikisha unaota jua angalau dakika 40 kila siku WARNING - ONYO 1. Hakikisha unapima sukari angalau mara 4 kwa siku kwa sababu lishe hii ina nguvu kubwa ya kushusha sukari, kwahiyo inaweza kukupunguzia utegemezi wa dawa ya insulin kwa 50% hadi 65%
2. Unashauriwa sana kuzingatia ukiwa unatumia lishe hii usimamishe
kabisa dawa au insulin unayo tumia kwa sababu inaweza kushusha sukari Zaidi, wasiliana na dakitari wako
3. Kwa hiyo inapendekezwa ukiwa unatumia hii lishe ufuatilie sana
vipimo kabla ya kula na baada ya kula. SHERIA ZA KUFUATA 1. Hakikisha unatumia kiasi kilichopendekezwa kutoka na umri, uzitoa na urefu 2. Wakati unakula, kula polepole, tumia angalau dakika 30, muhimu sana 3. Fuata ratiba ya kula, yaani kula katika muda uleule, usibadilishe badishe muda wa kula 4. Lazima ku stop kila aina ya virutubisho ya lishe ambazo ulikuwa unatumia awali, inaweza kuleta muingiliano 5. Hakikisha unaota jua kila siku angalau dakika 40 kwa siku ili kujenga mfumo wa kinga 6. Lazima usimamishe kunywa maziwa pamoja na bidha za maziwa ikiwa jibini, maziwa, siagi, na samli 7. Usile vyakula vilivyosafishwa ikiwa ni pamoja na sukari iliyosafishwa, chumvi na mafuta yaliyosafishwa 8. Usimie vyakula vya kila aina ya wanyama wakiwemo samaki na kuku 9. Pende kufanya mazoezi angalau nusu saa kwa siku 10.Kila asubuhi kitu cha kwanza tafuna majani 10 ya Tulsi (basili) na kipande kidogo cha tangawizi, tafuna taratibu mdomoni kama dakika 5 11.Asubuhi hakikisha unapata maji ya dafu au nazi baada ya hiyo Tulsi 12.Tambua kila siku sukari ya damu inategemea kwanza unakula nini, pili unakulaje yaani unakula haraka haraka au polepole, kila siku kula polepole, tafuna polepole na tatu kiasi gani cha chakula unakula, ukiwa unakula matunda tumia hata dakika 20