You are on page 1of 33

‫الم الر المر كهيعص المص طه طسم طس يس ص حم ن ق‬

Zichore aya hizo katika sahani nyeupe kwa kutumia bawa la njiwa mweupe, KISha tia maji ya
angani/kisimani ya sa kumi asubuhi, katika sahani baada ya kuchora, ukikosa yote tumia rose
water,,

KISha somea kombe hilo suratul fat'ha 111, KISha ongea shida zako KISha malizia KWA kusema
WABIHAKKI ALIF LAM MIIM,👆 taja hizo herufi zote hapo juu, KISha useme tena wabi sirri
ALIF LAM MIIM, WABI SIRRI ALIF LAM RAA,malizia herufi zote hizo hapo juu,

Sasa ikiwa ni KWA ajili ya kuondoa uchawi na maradhi ndani ya mwili utatia kivumbani KISha
utakunywa na kujipaka,,

Ikiwa ni kwa ajili ya kufungua rizik na kuondoa vifungo bac utatia muosha fedha pamoja na nyota
ya jaa,na chumvi mawe, utatumia kujiosha mwili kutwa mara mbili,

Pia unaweza chora herufi hizo katika chungu KWA ajili ya kutoa majini ndani ya mwili na
nyumba pia ila zoezi hili nitafunza siku nyengine,

👴🏼👴🏼👴🏼
Wabillahi taufik

Naam tusome tafasir kadhaa za ndoto,

*Kuota nyoka mwekundu anakufukuza* ni ishara ya uwadui wa kijin unakuandama, akikuuma


basi uwadui umekuingia,

*Kuota nyoka ya kijani* ishara ya baraka,

*Kuota nyoka mweusi* ishara ya uchawi akikuuma uchawi umekuingia

Kuota *kufukuzwa na hauna mbio* ishara ya kufungiwa kufungiwa nguvu zako, ima majin wako,

*kuota unakimbizwa kisha unapaa*, ishara ya majini wako hawana nguvu wanakimbia vita,

*Kuota unaanguka toka juu ya chochote*, ishara ya kusambaratika kiuchumi kufutwa kazi
biashara kufa,

*Kuota unachota maji kupeleka msikitin*, unatakiwa utoe sadak

*Kuota umeenda kaburin kulima au kujenga au kufanya kitu chochote tafauti na kuzika mti au
kuzika kitu,* ishara ya kuwaomba mait wako,
*kuota unataka kutwaa kitu kilicho ekwa juu*, ishara ya uganga ulio rithishwa,

Tutaendelea

*Kuota unakula wali na maharage au wali na mbona nyekundu*, ishara ya kuwa na utawala wa
bara na baharini unaitajika kuunganisha

*Kuota unasoma QURAN* tafasir inakuja kwa aya uliyo soma inamaanisha nini,

*Kuota umekaa mlangoni au umesimama* ishara ya kuwatolea sadaka maiti,

*Kuota unapigana na watu na kuwapiga,* ishara ya kuwa unazo nguvu za kupamban na uwadui
ila hauna kinga mwilini,mwisho utazidiwa tu

*Kuota kupotea NJIA* ishara ya kufungiwa maendeleo yako,

*Kuota Uko baharini unaogelea au umetulia unafurahiya*, ishara ya kuwa na majini wa baharini

*Kuota ndoto inayo jirudia rudia,,* hii ni ndoto ambayo hutakiwi kuipuuza hata kidogo na badala
yake FANYA juhudi kujuwa nini Maana yake

KWA wale wanao sumbuliwa na mgongo au kiuno,

Bac chukuwa maji ya mgomba kunywa kutwa mara mbili asubuhi na jioni,

Unatwaa mgomba unakamuwa maji yake KISha unatumia


Kwa matatizo ya nyonga, tumia tumia jiusi ya kitunguu maji na asali safi kunywa kutwa mara
mbili

Asalam alaykum warhamatullah wabarakatu naam leo ndugu zangu leo natoa faida kwa
wanawake wenye tatizo la bridi ya Ugonjwa aidha ya kurogwa ukigundua unatatizo hilo
chakufanya tafuta makomamanga saba, moja andika bismillahi na aya ya kwanza katika surat fajir,
la pili andika aya ya pili, la tatu andika aya ya tatu la nne andika aya ya nne latano andika aya ya
tano la sita andika aya ya sita la saba andika aya ya saba kisha twanga hizo komamanga utachuja
kisha kunywa hakika tatizo litaisha biidhin allah

Assalam aleykum , Niko na dadangu anaumwa sana sehemu za Siri haswa hapa mwanzo
wakiharangwe ndani , na ameenda hospital akaambiwa ni infection but wakasema Kwa kuwa ni
mja mzito hawawezi kumpa dawa coz zitasababisha ujauzito kutoka je Kuna dawa ya kienyeji
ambayo mtu kama huyu anaweza kutumia?
Pata mafuta ya habat sauda,pamoja na zaitun, zaitun aipashe moto KISha achanganye na hiyo
habat sauda atumie kujipaka,
KISha apate mizizi ya mjafari achemshe anywe kwa wiki moja,
Kwa wenye shida ya miguu kufa ganzi au kupoza,

Pata tunguja,kafur hai,mafuta ya mirih,

Changanya dawa hizo katika sufuria tia maji kisha badika katika moto hali umefinika
sufuria,hakikisha tunguja umezikata kata,

KISha maji yakichemka vyema epuwa KISha jifukize miguu yako na maji hayo,

KISha maji yakiwa yamepoa poa yaani yako wastani hayawezi kukuchubuwa nguzo au kukudhur,
bac tia miguu hiyo hapo ndani,,, mpaka maji yapoe,

Hakikisha miguu ukitia maji yapo moto moto unao choma kiasi yasiwe yamepoa sana,
FANYA kwa wiki moja zoezi hilo na hapo ugonjwa utaondoka hatakama ulikuwa umekinyaga vitu
va kichawi

Kwa yeyto anae sumbuliwa na ugonjwa wa kuangushwa mara kwa mara,

Twaa kitambaa cheup chora jila la Allah mara 33, katika vitambaa saba, kisha fukiza kitambara
kimoja kila siku,

Chora jina hilo kwa zafarani iliyo tiwa miski nyeupe mafuta, kisha vitambaa hivyo vimwagie
miski mafuta vyote
KUFUNGUA KILA KITU.
Kuna watu katika mambo yao yamefungika Kila jambo wanalofanya matokeo yake kumaliza
muda na kuingia Katika hasara na majonzi.
Ukitaka kufungua mambo yako na kufanya kazi Kwa uwezo wake mwenyezi mungu Kila kitu
kiende sawa.
Soma surat Fatha mara Saba kabla ya Kulala ukiamka soma majina haya mara kumi ‫يا فتاح يا رزاق‬
Unapokuw unalala lala ukiwa na udhu wako usiongee na mtu mpaka asubuhi ni funguo ya ajabu.
unaweza kuomba kujifugua maradhi,kupata ndoto,ndoa,baraka na nk mujarrabu Sana
Kwa kumtibia mtoto ambae hataki kusoma,

Andika khatam muthalitu kisha juu yake zungushia aya ya suratul Alak,,, AYA YA KWANZA
*IQRA BISMI RABBIKA LLADHII KHALAK* izungushe aya hiyo mara mara 33 kisha baada
ya kuandika mara hizo endelea kuandika mpaka *AALLAMAL IN SAANA MAA LAM YAA
LAM*

mpe kombe muhusika anywe na kujipaka in sha Allah, atarud katika masomo yake na atasoma
KWA bidii,,
(Hii ni nzuri sana KWA wale watoto wavivu wasio taka kusoma shule na madhrasa pia)
KUPINDUA MATOKEO YA TIMU PINZANI. UCHAWI WA MPIRA.
Chukua Mayai yako safi kulingana na idadi ya wachezaji wa timu pinzani walioko kwenye timu.

Pia chukua karafuu maiti na halititi zifunge funge kwenye karatasi ndogo ndogo tu hizo zote
zitachomwa na kila mayai yatakayo wekwa jokoni .

Jinsi ya kuandaa.
Kwenye kila yai andika Shikeri hizi kwa wino mweusi.

Andika makoo haya


Sin Qaf x3
Katikati jina la mchezaji na timu yake
Inksi x3

Hivyo kila yai utaandika hivyo na jina la mchezaji na timu yake.

Jinsi ya kuifanya kazi. Andaa moto mkali uliokolea yaani tumia mkaa kwenye jiko. Kisha weka
mayai Matatu matatu kwenye jiko najisha nuiya kuifunga timu hivyo isipate ushindi kwenye
mechi yake na timu fulani pia tupia na karatasi lenye zile dawa za karafuu maiti na halititi jikoni
hapo.

Endelea kuchoma mayai hayo hadi yatakapo kwisha kabisa .

Visomo.
Soma surat yasin hadi utakapo maliza kazi
Alam taarah
Tabbat adaa

Hivyo kazi hii muwe watu watatu au wanne. Ili zisomwe zote kwa pamoja pasipo kuacha hadi
mayai yaishe yote
Maji ya mvua ya angani ni mazuri sana kuondoa hasad,

Chora alam nashrah katika sahani nyeupe kisha osha kombe hilo na maji ya angani,. Somea sura
hiyo hiyo mara 33,fat'ha 71,kursiyyu 11,falak 11 ikhlasi 33, nas 11,kisha tia rose water tumia
kujipaka na kunywa kutwa mara mbili

Usisahau nia zako na pia usiongee na mtu ukiwa unafanya hilo zoezi

Mujarabu sana kuondoa hasad na kuosha nyota


Ikiwa mwanayo anamatatizo ya kutoshika shule yaani anakuwa kule mkiani,

Basi mtengezee kombe hili,kisha soma aya hizo mara 100👇


‫قَالُوا ُسب َْحانَكَ اَل ِع ْل َم لَنَا ِإاَّل َما عَلَّ ْمتَنَا ۖ ِإنَّكَ َأ ْنتَ ْال َعلِي ُم ْال َح ِكي ُم‬
Wakasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hatuna ujuzi isipokuwa kwa uliyo tufunza Wewe.
Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye hikima.

Changany na suratul A'la, mpaka aya ya sita,

Mpulize KILA upande wa sikio lake mara saba baada ya kisomo, na mpe kombe anywe kutwa
mara mbili usiku na asubuhi sana kabla hajala,

Hii ni nzuri mpaka KWA watu wazima ambao wakiota wanasahau kumbu kumbu kuwa kidogo pia
ni mujarabu kabisa
*YA-KHAAFUDH*
*YA_MUDHILLU*

Mwenye kutaja majina haya usubuhi baada ya sala ya alfajiri na usiku baada ya sala ya ishai,
ataepukana na uwadui wote anao fanyiwa,. Na wanao mpiga vita hakika vitawarudia wenyewe,

Ila tu huu ni uradi wa kudum unatakiwa udumu nao, na unasomwa tu baada ya sala hivyo hii
inashiria ili uradi huu ufanye kazi lazima uwe mshika sala, wavivu wa kufanya ibada hii haita
wasaidia

A.a naomba dawa ya mtu aliyechomeka na mafuta ya moto sehemu ya paja


Amefanya malengelenge
Ungemuwahi alipochomeka tu ukampaka maji ya mgomba, ingekua poa sana
Yamepasuka??? Au bado
Bado na sehemu nyengine Ila ngozi imesinyaa
Choma jomba la kono kono KISha ponda vizuri liwe unga,

Mpake sehemu iliyo unguwa,

Tumia maji vugu vugu kumuosha usitumie maji ya moto, yaani yasiwe moto wala baridi KISha
mpake dawa hiyo

Kifuwa kikavu?

Au anakohowa kwasababu ya pumu?!


Mpe kotho ya mizizi usitwae iliyo sagwa,

Pia unaweza kumpatia habat sauda oriji sio ile ya mandera, changanya na asali anywe kijiko
kimoja kutwa mara tatu,

Pia anaweza tumia mdalasin ya unga pamoja na asali kutwa mara tatu,

Hakikisha anapata asali na sio skari guru


Asalaam aleykum
Anafaham dawa ya kutoa vijiwe tumboni
Pata mchai mchai unga,
Karafuu unga
Mdalasin unga
Mzinje unga,
Changanya na asali safi dawa hizo KISHA kunywa kutwa mara tatu, kijiko kimoja kikubwa,,,

Kuroga na maji ya moto,

Dawa hii ni mujarabu tena kwa magonjwa mengi ila hakikisha asali ni oriji isiwe skari guru
Mzinje ni dawa gani ama mvinje mwalim juma
Ameuliza mzinje sio mvuje, sasa mzinje ni mlonge
Kwa kenya mzinje ndo mlonge?
Na pia twauita mzungi
Ivi mwalim @⁨Juma Nur👴🏼⁩mlonge(mzinje) apa ni mbegu ndo hutumika ama majan 🙏🏾
Majani

Asalm alykm ndugu naomba mwenye anajua dawa yakutibu maskio yanayo toa uchafu mara
kwamara anielekeze tafadhali
Tafuta mafuta ya kuku wa kienyeji uwe unaweka kwenye masikio hayo kiasi kidogo
Mtie ndamwai
Kuondoa chunusi usoni,

Twaa kitunguu maji kisage,KISha kikande katika unga wa ngano kiasi, kisha changaya na yai
bichi pamoja na mafuta ya ufuta, tia na avakado,

Tumia kujipaka,

Hakika tiba Hii itaondoa kuharibika kwa uso,m'ba,mapele, pimpoz, na mengineyo mengi,

Pia ni dawa ya nywele pamoja na kichwa kilicho haribika,

Wabillahi taufik
Tiba ya kijipu
Paka dawa hizi mchanga nyiko,

Ndamwai,
Mafuta ya dhimu,
Kitungu maji,kiponde
kitunguu saumu kiponde

KISha paka katika kijipu chako baada ya kufany mchanganyiko huo


Assalam 3alaykum vp khari zenu naomba mnisaidie tiba ya mtu mwenye kusumbuliwa na miguu
kuuma na kuwaka moto
Andika ayatu qurusiyu
Atumie kunywa amakupakaa?
Kpaka
Salaam aleikum warahmatullah wabarakatuh waalimu naomba msaada kuna kijana wa miaka 12
bado anakojoa kitandani yaani kila akilala anakojoa wamejitahidi bado naomba njia ya kumsaidia
aache kukukojoa
Kurudisha mtu aliepotea,,

Andika aya HII katika karatasi kwa zafarani iliyo changanywa na miski nyeusi,,

Andika hatam muthalithu KISha izungushie aya HII KISha funga katika mlango wa chumba
alicho kuwa analala muhusika,

KISha isome aya hii mara 100

َ‫ق َو ٰلَ ِكنَّ َأ ْكثَ َرهُ ْم اَل يَ ْعلَ ُمون‬ ْ ‫فَ َر َد ْدنَاهُ ِإلَ ٰى ُأ ِّم ِه ك‬
ٌّ ‫َي تَقَ َّر َع ْينُهَا َواَل تَحْ زَ نَ َولِتَ ْعلَ َم َأنَّ َو ْع َد هَّللا ِ َح‬
Basi tukamrudisha kwa mama yake ili macho yake yaburudike, wala asihuzunike. Na ajue ya
kwamba ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kweli, lakini wengi wao hawajui.
Pia unaweza FANYA zoezi hili bila kuandika chochote,,, amka usiku swali rakaa mbili KISha
soma aya hiyo mara 300 KISha tia nia zako
Kila siku au siku moja tu?
Kwa siku 7
Ina majibu mazuri sana hiyo in sha Allah
Ila samahani me sijaelewa alipotea vipi?: amekufa kimazingara wachaw wamemchukuwa au
kapotea kawaida tu. Inatumikaj apo mwalim jay
Kupotea kwa kawaida,,

Ki mazingira ya uchawi inabidi uitengeze kwa khatam muthalithu sasa


Hiyo hapo Kati Kati NDIO khatam muthalithu
Maelkezo yapo juu katika maelez yangu ya kwanza nimeelekeza kwa jinsi ya kuandika
ukiunganisha na hiyo khatam
Hiyo hapo katikati NDIO khatam achana na iyo mizunguko
Naomba dawa ya mshipa ile hali kukifunga mawingu unahisi kubanwa sehemu za mwili kama
kifua mgongo na kiuno
Msipa wa mvua huo,,,

Tumia miziz ya mjafari,,

Pia unaweza tumia kari kariatu, ila hii hakikisha hauna vidonda vya tumbo
Pumu hiyo
Tafuta ndevu zamahindi nyingi kisha chemsha Kisha anywe kutwa Mara mbili
A, alaykum naombeni dua au talasimu mjarabu yakumrejesha mtu kazini kastopishwa au
kafukuzwa haswaa
Okay msomee surat tiin yote mara sabini huku ukifusha bhukuri kheri pamoja na udi sandal ila
kwanza itaanza na kuswali sunat hajja rakaa 2 kwa manuizi yako kisha utakaa kitako utasoma fat-
ha 7, nash-raha 7 pamoja na ayat kursi 7 kisha soma hio surat tiin 70 kila mara 10 mtaweka
manuizi yenu hapo basi allah atajaalia kwa uwezo wake.... inshaallah
‫اومن كان ميتا فا حييناه وجعلناله نورا يمشي به في الناس وقدمنا الي ما عملوا من عم‡‡ل فجعلن‡‡اه هب‡‡اء منث‡‡ورا وق‡‡ل ج‡‡اء الح‡‡ق وزه‡‡ق‬
‫الباطل إن الباطل كان زهوقا قال موسي ما جئتم به السحر إن هللا سيبطله إن هللا ال يصلح عمل المفسدين إليه يصعد الكلم الطيب والعمل‬
‫الصالح يرفعه‬
Kufungua vifungo Andika kwazadarani Lisha Futa kwamaji yakisima kisichofikiw namwanga
wajua chota maji hayo usiku na Kombe andika usuku namatumizi niusiku kunywa nakujipaka
maji yawe kuanzia lita 3 mwiaho 5
Kuna tofauti gani kati ya KUINGILIWA NA JINI na KUINGILIWA NA UPEPO WA JINI?
JINI NA UPEPO WA JINI VINA TOFAUTI GANI VIKIINGIA MWILINI MWA MTU
Upepo wa jini ina MAANA jini huyu hayupo ndani yake ila ni madhara yake NDIO yapo,

Na kuingiliwa na jini kamili hapa ni jini yupo ndani yako na anakupelka na kukufanya kama
anavyo taka
Asala alykum kuna mtu amenidhamiria kunifanya ubaya please jaman naombeni kinga ili sihiri
atakayo nifanyia isinipate
Ni mama na mwanae wa kike wote ni waganga wa jadi (wachawi) wananisingizia mimi nawaroga
wakati cjui uchawi wowote na wamenitumia ujumbe kuwa wataniroga walimu naomben sana sana
Soma la haula walaa kuwwat mara 100,

Kisha hasbiyallahu waniimal wakil 100

Bismillah ladhii la yadhurru maaismu shai in fil ARDHI wala fii samaai wahuwa samiiul aadwim,
33

Hapo umefunga kazi, hata pia ukiwa katika ugeni ambao unajuwa huko kunawachawi au ndiko
kuna wabaya wako bc piga duwa hizo ni mujarabu kabisa,kinacho takiwa ni udhu na kuwa na
yakini
Kwa lila siku au siku moja tu
FANYA iwe nyiradi yako
SWALI:

JE, JINI MOJA LINA UWEZO WA KUWAINGIA NA KUWATAWALA WATU WAWILI KWA
WAKATI MMOJA?
NDIO..
A aleikum tiba ya kukohoa jaman
Asali na habat sauda
Tena hii ni nzury sana ustadh
Anywe kijiko kimoja cha asali na cha habat sauda, achanganye pamoja anywe kutwa mara mbili
Naam hiyo mujarabu kabisa
Mwalimu @⁨Juma Nur👴🏼⁩mtoto kama anasumbuliwa na mba (tangotango) nitumie dawa gani,?
Tale la nazi,.

Yaani kile kijinazi kidogo kinacho anza sasa,. Twaa hicho kisha suguwa katika jiwe na ule urojo
wake mpake mwenye mba

Samahani naomba kuuliza ili nifaam na tupate tiba ninarafiki yangu ana umri wa miaka 22 ila
kunakipindi aliniambiaga kua maeneo ya kiuno upande wa mgongo panahali ya joto kali na baada
ya hapo anakua kama mtu alomwagika jasho ila kahangaika kaambiwa kua ni michezo je
tumsaidiaje mana hata leo axubui kaniuliza yakwamba nimtaftie mtaaram ashuulikiwe je tufanyaje
twaitaji ushilikiano wenu
Mpe dawa ya mumiani
Habar za leo ndugu zangu naomba msaada kwa anaefaham presha iliyopanda naweza kutumia nini
kuishusha juzi nlijiskia vibaya nkaenda kupima nkaikuta iko 180-107. Nkapumzika jana leo pia
nkajuona sko poa nkaenda tena kupima nimekutwa na malaria 3 na presha iko 189 kwa 180
nitumie nini ili iweze kushuka
Tia maji katika jagi kisha maji hayo eka mvuje doge ndani yake, kisha yafanye ndio maji yako ya
kunywa kila unapo taka maji bac kunywa hayo ya dawa
Tumia hii pia nayo nzuri chukua majan ya mpera machanga kisha yachemshe yachemke
kwelikweli kisha acha yapoe yachuje kwenye chombo safi kisha tumia kunywa glass asubuhi
glasi mchana na glass usiku ..fanya hii kwa siku 3 majibu utayapata inshaallah
Asalm alykm warahmatullah wabarakatuh ndogu naomba dawa ya mwanamke mwenye akikaribia
siku zake za hedhi anaumwa ajabu mpaka kulia
Zathari
Au mpatie majani ya nanaa
Anachemsha ama VIP maalim
Anachemsha naam
Sawa mwalimu na je matumizi yake yapoje mwalim
Ipate kwanz kisha nitakupa maelkezo
Shida ya damu kwa kina mam!

Ikiwa mwanamke anakutwa na prd za maumivu makali,

Ikiwa mwanamke anatokwa na damu KWA wingi,imepitiliza masiku,

Bac andika wakfu huo KISHA andika na


‫ال إله اال انت سبحنك انى كنت من الظلمين‬
KISha soma mara 341

FANYA kombe kwa kutumia maji ya zam zam, kama utakosa bac tia maji ya kawaida, ila
kwaanza tafuta zam zam, atakunywa mgonjwa kwa siku 11

Ikiwa mgonjwa ni maumivu na kuumwa wakati wa prd bac kombe lake atachanganya na dawa ya
zathar kwa kuichemsha na maji atachanganya na kombe kunywa,

Ikiwa mgonjwa ni wa kutokwa na damu zisizo za kawaida zimepitiliza bac atatia maji ya
kivumbani atachemsha kivumbani maji yake atachanganya na kombe lake

Mujarab 🙏

Wabillahi taufik

Malaika wanao simamia herufi za nyota ya maji,


‫سكمهيايل‬
‫طفيايل‬
‫طهطيايل‬
‫شرهيل‬
‫دهراييل‬
‫همليل‬
‫سلكفيل‬
Unapo fanya kazi yako na kukuta mteja wako yupo kwenye buruji ya maji bac waorodheshe
malaika hawa KATIKA kazi zako, kwani ndio walio ishikilia nyota ya mteja wako, {kazi yoyote
ile }

Jumapil na Kazi zake

1 *shamsi* nikifanya Kazi za kheri


2 *zuhra* fanya Kazi yoyote
3 *utwarid* kusafirisha
4 *kamari* hakuna kuuza wala kutowa wala kununua,(hakuna heri za biashara)
5) *zuhal* kufarakanisha kugharikisha maadui na KUFANYA bughda(muogope Mungu)
6 *mushtara* kuvuta na kuingia KATIKA nyumba ya mfalme,
7 *mirih* hakuna amali yoyote ndani yake,(ukifanya ima Kazi ishike au isishike 50 % 50%
8 *shamsi* kusuluhisha kesi(kuvunja) na kuvuta utakacho
9 *zuhra* FANYA Kazi yoyote utakayo
10 *utwarid* Kazi ya matwalasimu
11 *kamari* kazi utakayo
12 *zuhali* kufanya Kazi ya makruhu,

Hiyo ndio jumapili na Kazi zake,

Katika ufanyaji wa kazi yako unatakiwa kuzingatia mda unao faa ili kazi Yako ikupe majibu ya
haraka na iwe ni 100% bila shaka, bac zingatia mda na kifukizo cha huo mda

ASSALAM ALYKUM WAKUBWA NA WADOGO! LEO NITAZUMZIA MAMBO AMBAYO


HUSABABISHA WATU KUJIRUDISHA NYUMA NA KUJITIA NUKSI WENYEWE! Nayo ni
kupendeLea ngono hussusan mara huyu mara yule👉🏿
Kushiriki tendo na mtu mwenye mashaka huwa ni chanzo cha wewe kuharibikiwa na mambo
yako na kuambukizwa mashaka aliyonayo mwenzio hii ni njia mbaya sana na inawaumiza watu
wengi bila kujijua! Utakuta mtu kiLa siku anaoga dawa za nyota ila mambo yako pale pale!
Jamani tujitahidini kuzibiti nafsi zetu ili kujikinga na baadhi ya mambo👉🏿 Unakuta mtu siku
kalala na mtu ukiamka hata kazi zako zinafunga hupati hela utasikia oooh tatizo nini sijui
kumbe ni umebeba nuksi za mtu ulitoana nae Jasho hile kitendo cha kuingia miilini mwenu
huwa mnaambukizana mambo katika ulimwengu wa kiroho!! Wabillahi tawfiq🙏🙏
*Maalim juma suali unawez kutup njia 2 ao 3 Za mtu kupoteza ao kufich kimvulie chake
kisichezew n wachawi?? Karibun n walimu wengin mnawez kutup faid in Sha allah🙏*
Ipo NJIA moja kuu kupitia kitabu,

Unachukuwa jina lako pamoja na mamako,


Unachukuwa kucha zako
Nywele zako
Mchanga wa nyayo zako
Mchanga wa mate Yako
Mchanga wa kivuli chako MBELE nyuma bavu na bavu
Vitu hivi unavichangany na wakfu, KISha unaenda zika KATIKA mti mkubwa au baharin
majabalini kule,

Inakuwa mtu akiitaji kukishika kivuli chako bac hawezi kipat katu

Silaha ya KWANZA ya kuwashinda maadui zako ni ibada, jikurubishe sana kwa MUNGU

Natumai nyote mupo salama buheri wa Afya

*JINNI MAQABIR,*

Leo tumuangalie jini HUYU anae kaa makaburin dalili zake kwa mgonjwa na sababu zake
kumuingilia mgonjwa,

Mgonjwa mwenye jini HUYU dalili zake,

1) kutokwa na mabaka au melengelenge na kuwashwa

2) mgonjwa kupenda kukaa pekee yake

3) kuhis miguu na mikono vinakufa ganzi

4) kuzizimka mwili

5) mgonjwa kuota Ndot za makaburin sana, au kuota kufa

6) kuhisi mara kwa mara mda wake wa kuishi dunian umeisha,

Hizi ni baadhi za dalili mgonjwa anae kumbwa na jini huyu huwa nazo,,

Sababu za jini huyu kukuingilia,

1) kupiga makelele kaburin

2) kuanguka makaburin
3) kulala makaburini

4) kuongea kwa sauti wakati wa usiku sehemu ya makaburin

5) kufanya haja makaburini,

6) kufanya mapenzi makaburini,

7) kurusha vitu mawe au taka au chochote makaburini,

8) jini huyu kukombolewa na wachawi, na hii ndio hatari zaidi maana jini huyu atakuja kwa kasi
ya ajabu ana atakuathiri sana kulingana na maagizi mchawi aliyo mpa jini huyo, ima kukuondoa
ulimwenguni, au kukusambaratisha katika shughl zako,

Ikiwa jini huyu kakuingia tu mwenyewe bac kutoka kwake ni rahis unaweza fanya mambo haya,

Kujipaka mafuta ya miski mara kwa mara wakati wa harufu hiyo iwe haikutoki mwilini, mchana
usiku,

Kujipaka mafuta ya kafur maiti, wakati wa kulala,

Kusoma suratl takaathur kwa siku mara 100

Ila jini huyu ikiwa amefanya kukombolewa na wachawi bac hapo panaitajika elimu ya twabibu
kujuwa mbinu zilizo tumika na wachawi ili kuzipindua

Asalam aleykum samahani naomba dawa ya biashara kuzuia hassad na uchawi


Andika ayatil kurssiyu Karatasi tia kafur mait na haltit weka katika kidude cha pesa

Jumatano na kazi zake,

1 *utwaridi* babu mahabbta


2 *kamari* kazi yyte inakuwa na kuchelewa KWA majibu
3 *zuhali* Kazi mbaya
4 *mushtara* andika amali nzuri utakayo
5 *mirihi* kufunga maadui kufunga kesi,
6 *shamsi* andika amali nzuri
7 *zuhra* amali nzuri
8 *utwarid* kufunga mtu mambo ya kichawi,
9 *kamari* hakuna amali yyte majibu yatachelewa au yasiwe
10 *zuhali* ingia ndani ya ufalme
11 *mushatra* kabilian na mfalme,
12 *mirihi* farkat
KWA KITABU SHAMSI MAARIFATUL KUBURAH

(kipambanuzi nyakati mzuri na mbaya na saa zake na zinazolingana nazo kwa wema na ubaya)

(Jumapili)

saa

(1) moja ni shamsi,

fanya kazi unayohusiana na mahaba na kukubalika na kwenda kwa watawala na mahakimu na


Luanda mavazi mapya,

(2) Saa ya pili ya Zuhura,

ambayo ni saa ya kulaumiwa saa mbaya ambayo usifanye lolote kati ya mambo hayo,

(3) Saa ya tatu ya utwaridi,

safiri ndani yake na andika dua za mahaba mapenzi upendo, kukubalika, na mengineyo,

(4) Saa ya nne ya kamari,

Usifanye chochote ndani yake, wala msinunue chochote chenye manufaa kwa chochote,

(5) Saa ya tano ya zohali,

Fanya kazi za faraka chuki, uadui na kadhalika,

(6) Saa ya sita ni mushitara,

kuomba mahitaji kutoka kwa wafalme na watawala,

(7) Saa ya saba ni mirikhi,

Usifanye chochote ndani yake,

(8) Saa ya nane ya shamsi,

ambayo ndani yake fanya haja zote, kwa kuwa ni nzuri kwa kila kitu, na ni furaha sana,

(9) Saa ya tisa ni zuhura,


Ambayo andika dawa za mvuto juu ya wapenzi na kadhalika,

(10) saa kumi kwa utwaridi,

kwa hivyo ni nzuri, kwa kila kazi mzuri,

(12) Saa ya kumi na mbili zohali,

Usifanye chochote cha kheyri ndani yake,

Ila kazi mbaya tu,

(Jumatatu)

(1) Saa ya kwanza ni kamari,

inafaa kwa kutengeneza dawa za upendo, kufunga ndimi, na kuandaa dawa za mvuto mioyo ya
watu,

(2) Saa ya pili, Zohali,

inafaa kwa kusafiri na kuanda dawa za kukidhiwa mahitaji,

(3) Saa ya tatu mushitara,

Tengeneza dawa ndoa, nakuandika dua za mahakimu,

(4) Saa ya nne ni Mirihi,

Inafaa kwa vitendo viovu kama vile umwagaji wa damu, kutokwa na damu puani, maradhi, kifo
na mengineyo kuadhibu mwizi na mtu dhwalim,

(5) Saa ya tano ni shamsi,

inafaa kwa kuandaa dawa za kukidhiwa haja au kuomba kazi na kuzifunga ndimi, za maadui na
kuvuta wapenzi,

(6) Saa ya sita ya zuhura,

inafaa kwa kutengeneza talasimu na mfano wake,

(7) Saa ya saba kwa Utwarid,

ni nzuri kwa ajili ya kukidhi haja, kuzifunga ndimi na kuzivutia nyoyo,


(8) Saa ya nane ni kamari,

inafaa kwa kufunga ndoa na suluhu baina ya wanaochukiana,

(9) Saa ya tisa ni zohali,

inafaa kwa kazi za kufarakanisha, zamu, chuki na mengineyo,

(10) Saa kumi mushitara,

Inaafaa sana kwa kila kazi,

(11) Saa kumi na moja ya Mirihi,

Ni saa ya kazi zaa uadui, chuki, na umwagaji damu,

(12) Saa ya kumi na mbili ni shamsi,

inafaa kwa kuzifunga ndimi za maadui na ndimi na zamu,

(Jumanne)

(1) Saa ya kwanza ya Mirihi,

Ni saa ya kazi za chuki, ufisadi, umwagaji wa damu, magonjwa, na mfano wake,

(2) Saa ya pili ni shamsi usifanye kazi yoyote,

(3) Saa ya tatu ya Zuhura,

Inafaa kwa uchumba na kufunga ndoa

(4) Saa ya nne ya utwarid,

Ni saa ya kufanya kazi za mivuto ya biashara na kuleta mteja na kununua na kuuza biashara,

(5) Saa ya tano ya kamari,

Usifanye chochote, kwa sababu ni nukisi,

(6) Saa ya sita ya zohali,


inafaa kwa kuandika dua za vifungo ya kijivu, magonjwa na kadhalika.

(7) Saa ya saba ni mushitara,

Fanya utakalo kwa kuanda mivuto na mahaba,

(8) Saa nane ni mirikh,

fanya kazi mbaya umwagaji wa damu na maradhi na mengineyo,

(9) Saa tisa ni shamsi,

Tengeneza dawa za kuvuta kwa kuwapata wanawake, wapenzi na ndoa,

(10) Saa ya kumi ya zuhura,

Usifanye kitu, si nzuri,

(11) Saa ya kumi na moja ni utwaridi

Inafaa kwa kuzima usafiri na ndoa,

(12) Saa kumi na mbili ni kamari,

inafaa kwa vitendo vya chuki, ufisadi, mabadiliko, uovu, talaka na mengineyo,

(Jumatano)

Saa ya kwanza ya utwaridi, inafaa andaa dawa za kukubalika na upendo,

(2) Ni saa ya pili ya kamari,

Usifanye chochote,

(3) Saa ya tatu ni zohali,

Tengeneza dawa kwakutumika kwa magonjwa, kutokwa na damu, na kadhalika,

(4) Saa ya nne kwa mushitara,

fanya kazi mzuuri zoote unazotaka, kwani ni nzuri sana,

(5) Saa ya tano ya Mirihi,


Fanya kazi za uadui baina ya watu na kufanya kazi mbaya, kwani ni lawama,

(6) Saa ya sita ya shamsi,

inafaa kwa kusafiri nchi kavu na baharini, basi fanyeni mtakalo ndani yake,

(7) Saa ya saba kwa zuhura,

fanya chochote unachotaka, kwa maana ni saa mzuri,

(8) Saa ya nane ya utwaridi,

Anda dawa za watoto wanaolia na kuandika dua za kinga, kutokana na macho na kutazamwa na
vijicho,

(9) Saa ya tisa ni kamari,

fanyi kazi ya faraka, chuki, damu na mengineyo.

(10) Saa ya kumi ya zohali,

ni nzuri kwa kuingia kwa masultani na wakuu,

(11) Saa ya kumi na moja ni mushitara,

Andika wafiq andika dawa za kukutana na watawala, na kadhalika.

(12) Saa ya kumi na mbili ya mirikhi,

Fanya kazi za uovu na chuki,

(Alhamisi)

(1) Saa ya kwanza ni mushitara,

fanya kazi za kuleta riziki, kuvuta wateja katika biashara,

(2) Saa ya pili ya Mirihi,

Fanya kazi za kuadhibu wabaya kumwaga damu,

(3) Saa ya tatu ya shamsi,

usisafiri ndani yake,


na andika dawa za kukubalika, upendo na wema,

(4) Saa ya nne ni zuhura,

fanya kazi za upendo ndoa, na mambo mengine mfano wake,

(5) Saa ya tano ni utwaridi,

Inafaa kwa wanawake na wanaume, na wote wanaotaka dawa za mivuto ya mahusiano,

(6) Saa ya sita ya kamari,

inafaa kwa kusafiri nchi kavu na baharini, na inafaa kwa kila jema ulitakalo,

(7) Saa ya saba ni zohali,

ambayo jihadharini na majaribio na inafaa kwa kukutana na kalamu,

(8) Saa nane kwa mushitara,

Fanya kila jambo jema,

(9) Saa ya tisa ya Mirihi,

Inafaa kukutana na wakuu, masultani na watawala.

(10) Saa ya kumi ya shamsi,

Ambayo tengeneza dawa za kutafuta kazi kutoka kwa wakuu na watawala,

(11) Saa kumi na moja ni zuhura,

Ambayo ndika dawa za kukubalika na upendo na mfano wake,

(12) saa ya kumi na mbili Utwarid,

Usifanye kazi yeyote kwani ni saa ya lawama,

(Ijumaa)

(1) Saa ya kwanza ni zuhura,

Fanya kazi katika kuvuta uchumba na kupitisha hutba ya ndoa,


(2) Saa ya pili kwa Utwarid,

Andika twalasim na kila kitu unachotaka,

(3) Saa ya tatu ya kamari,

Usifanye chochote, kwani ni lawama na mbaya,

(4) Saa ya nne ya zohali,

Tengeneza kupoteza abar na kadhalika,

(5) Saa ya tano kwa mushitara,

andika ndani yake kukubalika mbele ya wanawake, wazee, na wengine na maofisini

(6) Saa ya sita ya shamsi,

Andaa dua za kukutana na masultani na wakubwa ili kutimiza mahitaji yako,

(7) Saa ya saba ya zuhura,

fanya kazi katika kumvuta, mchumba na kufunga ndoa,

(8) Saa ya nane ni utwaridi,

Fanya kazi katika kazi zingine zote, kwa maana zitafanikiwa na kukamilika,

(9) Saa tisa ya kamari,

Fanya kazi ya faraka na kuamisha adui,

(10) Saa ya kumi ni zohali,

(11) saa kumi na moja ni


Mushitara,

(12) Saa kumi na mbili ya mirihi, safiri,humo na fanyeni mtakalo humo

(Jumamosi)

(1) Saa ya kwanza ya Zohali Fanya unachotaka kukubalika na kupendwa, kwani Zohali ya
kwanza ni saa hii ya furaha siku hii mwanzoni mwa mwezi kwa wema,
(2) Saa ya pili kwa mushitara,

Andika dua na dawa za kuwapatanisha baina ya watu,

(3) Saa ya tatu ya Mirihi,

fanya kazi za chuki na matendo maovu,

(4) Saa ya nne ya shamsi,

Andaa dua na dawa za kuingia kwa wafalme na kuomba kazi kwa wakubwa na kutimiziwa haja
zako,

(5) Saa ya tano ya Zuhura,

(6) Ni saa sita kwa utwarid,


Andika dua na dawa kwa ajili ya kuwinda

(7) Saa ya saba ya kamari,

amna kheri ndani yake, wala usifanye chochote ndani yake,

(8) Saa ya nane ya zohali,

fanya kazi kwa magonjwa, magonjwa, na kuvuja damu.

(9) Saa ya tisa kwa mushitara,

fanya kazi yoyote ya kheri,

(10) Saa ya kumi ya Mirihi,

Fannya kazi mbaya na magonjwa na magonjwa yote,

(11) Saa kumi na moja ya shamsi,

Andaa dua na dawa za kukubalika mbele za wakubwa na jamii, na kuwapatanisha wana ndoa,

(12) Saa ya kumi na mbili zuhura,

inafaa kukubaliwa na wafalme, mawaziri, na watu wakuu

(Allah ni najua zaidi)


Kwa upande wa mvuto pata dawa hizi

Nyota ya jaa
mchekea
Mpendwa pendwa
Mharaka
Mvuto
Mgalula
Muosha fedha
Asali
Udi mawaridi
Mafuta ya ngekewa,

Changanya dawa hiyo kwa pamoja choma katika biashara kabla ufungue milango ya biashara
yako tia nia ZAKO KISha biashara itambe

Yatumie macho ya bundi kuona wachawi na kila kibaya utakacho fanyiwa au mtu akipanga
kukufanyia,

Pata macho ya bundi, saga yawe unga vizuri,, ila bundi huyu hatakiwi awe amekufa,, yaani usipate
aliekufa ndio ukatoa macho,

Saga upata unga unga, changanya na macho ya paka mweusi saga pata unga,

Saga mzizi wa mbaazi pata unga laini kabisa,

Pata tembe za lufyambo saga ziwe laini kabisa,

Changanya na damu ya mnyama yyto mweusi, kisha chanja katika paji lako la uso paka dawa
hiyo,

KISha na magotin
Kifuani, mikononi
mgongoni,

KISha dawa nyengine tumia kuosha uso kila asubuhi na usiku,

Hii ni kinga na nikufungua kuona wachawi na chchte kibaya mtu akitaka kukufanyia umeona tyr,,

Zikatia nia

Jinni Burhani
Ni Jini Aina ya Ruhani
Ni jinni asiepandaga kichwani pia huyu
Ni jinni maaLum kwa RamLi ama peleka khabar kwa kiti wake!
Baadhi ya watu wenye majinni Maimun huwa naye jini huyu maana yeye kazi yake ni
kuchukua taarifa na kumfanya kiti kuwa machale au kuishi kwa tahadhari! Majini hawa ni
adimu kuwa nawo ni Nadra sana! Maana pia hufuatana na Maimun maaLumu sio maimun
wote! Tukumbuke ya kwamba!
Maimun ni Koo La Majini
na hutumia wote huwa majina yao maaLumu ila tu humia koo Lao kujinasibu wapo maimun wa
anga wapo waishio baharini wapo wa kila kila aina ila wote hao kiongozi wao Ama mkuu wao
ni !
Maimun Abanukh na baada ya yeye ana wafuasi wake 7 walio chini yake kama wasaidizi!
ALLAH AALAM🙏

Kwawale Wanao sumbuliwa na meno ufizi kufura,

Bac watumie magadi katika kujitibia,

Chukua magadi fanya yawe unga KISha weka sehem yenye maumivu kwa siku mara tatu fanya
Hivyo na ugomjwa utapotea

Aya za kumrudisha jini ndani ya mwili,

Ikiwa unafanya mapambano na jini au umemuita jini kaanza kuja KISha gafla karudi na nyuma
bac FANYA hivi🙄

ٍ َ‫ض فَا ْنفُ ُذوا ۚ اَل تَ ْنفُ ُذونَ ِإاَّل ِبس ُْلط‬
‫ان‬ ِ ْ‫ت َواَأْلر‬
ِ ‫اوا‬ ِ َ‫س ِإ ِن ا ْستَطَ ْعتُ ْم َأ ْن تَ ْنفُ ُذوا ِم ْن َأ ْقط‬
َ ‫ار ال َّس َم‬ ِ ‫يَا َم ْعش ََر ْال ِجنِّ َواِإْل ْن‬

ِ َ‫فَ ِبَأيِّ آاَل ِء َربِّ ُك َما تُ َك ِّذب‬


‫ان‬

Isome aya hiyo pamoja mara 33 suratul JINNI yote mara 3


Suratul twarik Mpaka innahu alaa raji ihi lakaadir, regelea aya hiyo mara 71

Hii ni nzuri sana kuita jini KISha utakabiliana nae kwa unavyo taka wewe,,

ASSALAM ALYKUM WARAHMATULLAH WABARKATUHU waaLimu zetu na wanafunzi


wenzangu kwa ujumla: Leo ningependa ku share nanyi kuhusu mti wa Muembe, Jamani mti huu
una faida nyingi! Na unatumika kwa mambo mengi kwa wachawi na kwa waganga! ILa leo
nitaelezea faida ya muembe katika kutibu maumivu ya meno! Naam kwa mtu ambae jino lake
lina tundu linauma na kuvuta au mwenye maumivu tu ya meno tafuta Magome ya muembe
Dodo kisha yachemshe upate maji yake sukutua asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 huondoa
maumivu ya mafizi na meno na kutoa wadudu wanaosababisha athari hiyo! Wabillahi tawfiq

ALLAH akiniwezesha nitakuja kuueLezea mti huu wa muembe hatua hadi hatua maana una
mambo makubwa mnoo wachawi hupendeLea sana kufanya mikutano yao chini ya mti wa
muembe pia wanapenda kuficha baadhi ya vitu vyao hapo Muembe ni kituo cha wachawi...✍️

ASSALAMU ALAYKUMU WARAHMATULLAH WABARKATUHU WaaLimu zetu pamoja na


wanafunzi wenzangu! Leo hii ninaomba kujumuika nanyi katika matumizi ya MGOMBA katika
tiba! LEO NAUZUNGUMZIA MGOMBA NA HUU NI MTI AMBAO UNA MATUMIZI
MENGI KATIKA TIBA!
WAGANGA HUUTUMIA MTI HUU SANA KATIKA MAMBO MBALIMBALI YAKIWEMO
KUNGA NYUMBA! KUMPIGA ADUI! KUMVUTA MME/MKE/ N.K
PIA WACHAWI HUUTUMIA MTI HUU KWA MAMBO MENGI SANA PIA HUUTUMIA
WANAPOTAKA KUMTOA MTU KIKOA AMA KUMCHUKUWA KIMAZINGARA:
PIA MGOMBA HUO HUO NI DAWA KUBWA YA KUMZUIA MTU ANAYETAKA
KUCHUKULIWA MSUKULE: MTI HUU UNAONGOZA KWA MATUMIZI YENYE
KUTISHA UNALINGANA NA MTI WA MBAAZI!!!
ILA LEO NITAUZUNGUMZIA MTI HUU KATIKA NJANJA YA KUPONESHA VIDONDA
HUSUSAN VIDONDA VYA KUUNGUA NA MOTO👉🏿IKIWA KUNA MTU ALIYEUNGUA
JERAHA LA MOTO TAFUTA MGOMBA ULIOKATWA UWE KAMA UKO MBOVU
MBOVU HIVI CHOVYA MKONO NDANI UTOE YALE MAJIMAJI YAKE MAZITO
MAZITO KISHA UMPAKAE MTU ALIYEUNGUA HAPO KWENYE KIDONDA KWANZA
HUONDOA MAUMIVU NA KUSAIDIA KUPONA KIDONDA KWA HARAKA SANA NI
DAWA NZURI SANA HII! By Lady shemsa!! wabillahi tawfiq 🙏🙏

*SIRI ZA KUFANIKIWA*

Siri ya mafanikio ni kuto kata tamaa KWA jambo unalo lifanya,

siri ya mafanikio ni kumshukur Mungu KWA unacho pata shukran kutoka NDANI ya moyo wako,

Siri ya mafanikio,ni kugawanya kidogo ulicho nacho,

Siri ya mafanikio nikutoa sadakat KWA ajili ya marehemu zako,

‫كهيعص‬

Herufi hizi zin siri nzito sana!

Nadokoa kidogo katika kufanyia twiba ya kutoa jinni or machawi

Chukuwa yai la kuku wa ASILI kisha ziandike herufi hizo katika yai hilo,

Kisha muandike mgonjwa herufi hizo katika paji la uso,

Piga kisomo chako cha kutoa majini unacho kijuwa, huku unafusha fusho chafu!(ikiwa hujuwi
kutaarisha fusho chafu nijuze nitakueleza)
Kisha baada ya kisomo hicho twaa yai lieke katika paji la uso huku ukisoma herufi hizo, zisome
kwa idadi nyingi,

Zisome hivii,,

Yaarabbi,mtoe mtu huyu majinni na uchawi kwa haki na kwa sirri ya kaf hee yee ain swad,
ukisoma kwa kiarabu itapendeza,,. Huku fusho lako linafuka karibu na mgonjwa,,.

Hii ni mujarabu sana, nimeitumia na imenipa majibu mazuri,.

Wabillah taufik🙏

Watu wingi hushikwa na magonjwa ya kupooza kwasababu ya kuto toa damu chafu

Unapo taka kufanya kazi yako iwe mujarabu zaid,

Kazi ya mahaba
Ugomjwa
Au kupepersha mtu

Muangalie muhusika nyota yake ni gani,

Mfano; unataka kuvutia mtu mpenzi wake, unamuangalia mtakwa nyota yake ni gani! Ukishapata
jawabu unaandaa wakfu wako,,, KISha unaziandika na herufi za nyota yake!

KISha unaenda saw na nyota yake! Ina Maana ikiwa nyota ya mlengwa ni maji bac utaenda zika
baharin, ikiwa ni upepo bac utaifunga mtini,ikiwa ni moto utaichoma,ikiwa ni mchanga utaizika,

Herufi za maji
‫دحلعرخغ‬
Za udongo
‫ضتصنيوب‬
Upepo
‫ظثقسكزج‬
Moto
‫اهطمفشذ‬

Malaika wa KILA herufi ni HAWA!👇

‫ا هطمهطلقيا يل‬
‫ب جرمهيا يل‬
‫ طلقطيايل‬.‫ج‬
‫ سكمهيا يل‬.‫د‬
‫ عفريايل‬.‫ه‬
‫ طونيايل‬.‫و‬
‫ علمشيايل‬.‫ز‬
‫ طفيايل‬.‫ح‬
‫ عصطيايل‬.‫ط‬
‫ هردقيل‬.‫ي‬

Herufi zengine nitaandika wakati mwengine!!

Naam utakapo zingatia malaika hawa, katika Kazi yako Baada ya kupata nyota ya mgonjwa wako
KISha ukaorodhesha herufi za nyota yake pamoja na KILA malaika anae simamia herufi hiyo, bac
bomu lako linaenda Kuwa mujarab, maana nia utakazo ziandika kuhus mgonjwa wako bac
sinakuwa kabuli,,

Haswaa Kazi za mahaba na kuvuta watu wengi hufeli kuvuta kwasababu ya kuto zingatia
muhusika nyota yake pamoja na herufi na malaika wake,,,.

Kazi ZA mvuto biashara, udalali, ugonjwa, mahaba na mengineyo! Utakapo zingatia nyota ya
mgonjwa herufi zake na malaika wa herufi basi bomu lako lina Kuwa mujarabu!!

Usisahau kuzingatia na siku yake muhusika

Piga rakaa mbili zako usiku, KISha isome alam nashrah 33 na fat'h 71, KISha tia nia zako Allah
akuepushie KILA zito

KWA upande wa kujitoa kifongo cha kichawi, cha tego,

Pata mzizi wa mti ulio vuka njia,

Yaani mti uwe umemea njiani na mzizi wake ukadakae hiyo njia sasa inapelekea mtu akitaka
kupita lazima adakie huo mzizi, Ukiwa chini ya ardhi au peupe yote sawa,

Baada ya hapo saga mzizi huo vizuri tia maji,, kisha tia na dawa ya nyota ya jaa na muosha fedha,
oga maji hayo KWA siku 11

Mzizi huu ndugu unafanyiwa kazi nyingi

Kuhamisha mtu,
Kumzindika mtu,

Yaani mzizi wa namna hii ni hatari

Katika zoezi la kujiosha vifungo,


Basi ukitumia maji ya nazi yaliyo changanywa na rose water bac inakuwa bora san,

Na kwa njia hiyo utajiondoa hasad na kifungo cha rizik tumia kuoga kutwa mara moja yaani
asubuhi pekee kwa mda wa siku 7

‫الم‬
Ziandike 13

‫كهيعص‬
Ziandike saba
‫حم‬
Ziandike saba,
‫الر‬
Ziandike saba
‫ع‬
Ziandike sabini,
‫ن‬
Ziandike saba
‫ا‬
Ziandike sabini

KISha andika na wakfu huu


‫اك ح و و قا ل ه و ح وح و ح و ح و ح بز ح ح ك و و و‬
Malizia na khatam hapo chini,

KISha changany dawa ya kari kariatu,limau na mizizi ya mwanga jini,

Chemsha kombe hilo kunywa asubuhi na jioni hilo nia mujarabu kabisa katika kutoa vitu vinavyo
tembea mwilin na vinavyo zunguka tumboni,

Usisahau kusomea kombe hilo suratul fat'ha 71 mswalie mtume mara 100 tia nia zako anza
matumizi ya kombe,

Hii ni mujarabu kabisa ndugu sio vitu vya kubahatisha elimu zaku bana bana🙏

Wabillahi taufik
Assalam 3alaykum warahmatullahi wabarakatuh

Vipi khari zenu walim zangu?


Sasa walim zangu naombeni mnisaidie NIDAWA ZIPI ZA KUREJESHA NYOTA ILIYOIBIWA

Tulifunza somo hilo tyri,


Wan ukumbi muwe munafatilia masomo bac,

Ok twaa dawa ya nyota ya jaa kish changanya na muosha fedha kisha chora fat-ha kisha koga
kombe kilo pamoja na dawa hizo KWA siku 11

Unapo taka kuzuiya uwadui katika nyumba Yako,

Bac twaa tunguja, chumvi mawe ndimu,chungu,

Nitaendelea na zoezi hili niko biz kidogo

Katika kufanya kazi ya kufungua kifungo cha walimu wa mwili walio fungwa, pia kufungua tiba
za kiruhani zilizo fungwa,

Chukuwa karatasi nyeupe ichore suratil jinni yote KWA zafarani iliyo changanywa na miski
nyeusi, na rose water kidogo,

Naam kisha uchore wakfu huu hapa chini katika chungu kipya, kisha tia maji ya mvua ya angani
katika chungu, Baada ya hapo isome suratil Rahman yote mara 7,,

KISHA muhusika atatumia kombe hilo kunywa na kujipaka mwili mzima, huku akilala
chini(mkekani) KWA mda wa siku saba, na hapo chini atatandika shuka nyeupe na sehemu anako
laza kichwa basi ataiyeka karatasi yake ya suratil jinni,
Na atajifunika shuka nyeupe pia,

Unaweza msomea kisomo cha YASIN mubiin kabla umfanyie zoezi hilo

Wakfu ndio huu👇👇

Walim faida ya jumba la konokono


N dawa nzuri san katika kukaush vidonda,

Lakin pia katika kufunga nyumba au shamba

Pia hutumika kuhamish mtu

Hutumika katika kupiga mtu hasad na kumfunga nyota


Umesahau kwenye filamoyo maalim,
Kupenda pesa na mdomo mwingi
Naam lipo na kazi nyingi san lile
Maji ya mvua ya angani ni mazuri sana kuondoa hasad,

Chora alam nashrah katika sahani nyeupe kisha osha kombe hilo na maji ya angani,. Somea sura
hiyo hiyo mara 33,fat'ha 71,kursiyyu 11,falak 11 ikhlasi 33, nas 11,kisha tia rose water tumia
kujipaka na kunywa kutwa mara mbili

Usisahau nia zako na pia usiongee na mtu ukiwa unafanya hilo zoezi

Mujarabu sana kuondoa hasad na kuosha nyota

Ikiwa mwanayo anamatatizo ya kutoshika shule yaani anakuwa kule mkiani,

Basi mtengezee kombe hili,kisha soma aya hizo mara 100👇

‫قَالُوا ُسب َْحانَكَ اَل ِع ْل َم لَنَا ِإاَّل َما عَلَّ ْمتَنَا ۖ ِإنَّكَ َأ ْنتَ ْال َعلِي ُم ْال َح ِكي ُم‬
Wakasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hatuna ujuzi isipokuwa kwa uliyo tufunza Wewe.
Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye hikima.

Changany na suratul A'la, mpaka aya ya sita,

Mpulize KILA upande wa sikio lake mara saba baada ya kisomo, na mpe kombe anywe kutwa
mara mbili usiku na asubuhi sana kabla hajala,

Hii ni nzuri mpaka KWA watu wazima ambao wakiota wanasahau kumbu kumbu kuwa kidogo pia
ni mujarabu kabisa

*YA-KHAAFUDH*
*YA_MUDHILLU*

Mwenye kutaja majina haya usubuhi baada ya sala ya alfajiri na usiku baada ya sala ya ishai,
ataepukana na uwadui wote anao fanyiwa,. Na wanao mpiga vita hakika vitawarudia wenyewe,

Ila tu huu ni uradi wa kudum unatakiwa udumu nao, na unasomwa tu baada ya sala hivyo hii
inashiria ili uradi huu ufanye kazi lazima uwe mshika sala, wavivu wa kufanya ibada hii haita
wasaidia

Mwalim Jay Nur bado nasubir dawa ya jino lililotoboka ata iyo ya msufi nielekez tu wanawez
utafuta
Mdalasin ya unga pamoja na asali safi,

Chukua asali safi vijiko vitano changany pamoja na mdalasin ya unga vijiko viwili,

KISHA iyache ilale KWA siku moja, KISHA itumie KWA kutia ndani ya jino hilo linalo uma au
pango,, kutwa mara tatu,. KWA muda wa siku 10

Wabillah taufik

Mtu anae umwa n kifua n kukohowa n fluu Ming, naomba dawa please
Ni mtoto mdgo
Habt sauda ya maji changanya na asali,

Hii ni nzuri sana hakika

KUOPOA
‫بسم هللا الرحمن الرحيم‬

Kuopa ni kule kumuokoa mtu ambae anataka kuchukuliwa kiuchawi au wachawi wanamnyemelea
kutaka kumchukua mtu huyo kwa namna yoyote taratibu zipo nyingi ila chukua hii
Japo la kwanza fanya kafara ya kutawanyisha wabaya Tafuta nazi 3 utazipara uzur nazi
utazisomea fatha moja ihlaswi 99 f falak 99 utaenda njia panda 3 kila nazi na njia panda yake
utanuia kusambaratisha maadui wa mgonjwa huyo au wewe mwenyewe kisha mgonjwa
utamsomea ayatul qur siyu x313 na aya mbili za mwisho za suratul touba kwani miongini mwa
aya hizi wanasema wanazuoni ayatul qur suy idadi hiyo basi ushindi ni jambo lisiloepukika kwa
uwezo wa Allah aya hizo za mwisho suratul toba wanasema kushindana na adui yoyote soma
x1000 hivyo vizur mgonjwa umuanze hivyo ili kupata ushindi kwa haraka mno baada ya hapo
Chukua majani ya muarubaini,mkungu,mbazi,kivumbasi,mdimu msitu,mdimu mkali,muinga jini.
Kisha tafuta maji ya kisima,mtoo ,bahari maji hayo utayasomea istiqifar x100 swala za mtume
x100 Al hamdu x41 nnashirah x3 kauthar x3 maji hayo changanya pamoja kisha majani yatie
humo uchemshe hadi yachemkeee kisha utachukua kitambaa cheusi kitambaa hiko utafunga
mafundo 11 wakati unafunga mafundo kila fundo soma yasini hadi ayaa hii👇 👇🏿
ِ ‫ِبس ِْم ٱهَّلل ِ ٱلرَّحْ َم ٰـ ِن ٱلر‬
‫َّح ِيم‬
‫) لِتُ ْن‡ ِذ َر قَوْ ًم‡ا َم‡ا ُأ ْن‡ ِذ َر َآبَ‡‡اُؤ هُ ْم فَهُ ْم‬5( ‫َّح ِيم‬ِ ‫يز الر‬ ِ ‫يل ْال َع ِز‬َ ‫) تَ ْن ِز‬4( ‫اط ُم ْستَقِ ٍيم‬ ٍ ‫ص َر‬ ِ ‫) َعلَى‬3( َ‫) ِإنَّكَ لَ ِمنَ ْال ُمرْ َسلِين‬2( ‫) َو ْالقُرْ َآ ِن ْال َح ِك ِيم‬1( ‫يس‬
‫) َو َج َع ْلنَ‡ا ِم ْن‬8( َ‫‡ان فَهُ ْم ُم ْق َمحُ‡ون‬ ِ َ‫) ِإنَّا َج َع ْلنَ‡ا فِي َأ ْعنَ‡اقِ ِه ْم َأ ْغاَل اًل فَ ِه َي ِإلَى اَأْل ْذق‬7( َ‫ق ْالقَوْ ُل َعلَى َأ ْكثَ ِر ِه ْم فَهُ ْم اَل يُْؤ ِمنُ‡ون‬
َّ ‫) لَقَ ْد َح‬6( َ‫غَافِلُون‬
)9( َ‫ْصرُون‬ ِ ‫بَي ِْن َأ ْي ِدي ِه ْم َس ًّدا َو ِم ْن خَ ْلفِ ِه ْم َس ًّدا فََأ ْغ َش ْينَاهُ ْم فَهُ ْم اَل يُب‬
Bada ya hapo mgonjwa aende akaoge hayo maji ila avae nguo ambayo inaruhusu maji kupita
wakati wa kuoga baada ya hapo wewe tabibu fungua mafundo 5 huku unasoma suratul nnas na
mafundo 6 kwa suratul falaq huku ukinuia nakusudia kufungua marazi yaliyomfunga fulan bin
fulan ikiwa wewe mwenyewe wajifanyia nuia unajifungua wewe baada ya kufungua hiko
kitambaa unakichoma moto kwa kibiriti huku unanuia kuondoa marazi bada ya hapo mgonjwa
muelekeze kibla umsome qunut huku unatia yale maji yaliyobakia ya dawa
Qunut 👇 👇🏿
‫ إن‡‡ك تَقض‡‡ي وال يُقض‡‡ى‬، ‫ وقِنا ش َّر ما قضيت‬، ‫وبارك لنا فيما أعطيت‬ ْ ، ‫ وعافِنا في َمن عافيت وتولَّنا في َمن تولَّيت‬، ‫الله َّم اه ِدنا في َمن هدَيت‬
ُّ َ‫ وال ي‬، ‫ إنه ال يَ ِذلُّ َمن والَيت‬، َ‫ عليك‬mpaka mwishoo...
‫ تباركت ربَّنا وتعالَيت‬، ‫عز َمن عاديت‬
👇kwa kiswahili
👇🏿
Allah humah dini fiman hadait.

Wa'a fini fiman 'afait.


Watawallani fiman tawalait.

Wabarikli fimaa a'tait.

Waqinii syarramaa qadzait.

Fainnaka taqdhi wala yuqdha 'alait. Wainnahu layadziluman walait. Walaa ya'izzuman 'adait.

Tabaa rakta rabbana wata'alait.

Falakalhamdu 'ala maaqadzait.

Astaghfiruka wa'atubu ilaik.

Wasallallahu 'ala Saidina Muhammadinin nabiyil ummiyi waala aalihi wasahbihi wasalam.
Hapo inshallah Allah ataleta wepesi.nyongeza aya mbili za mwisho za suratul touba👇
👇🏿

{‫لَقَ ْد َجآ َء ُك ْم َرسُو ٌل ِّم ْن َأنفُ ِس ُك ْم ع َِزي ٌز َعلَ ْي ِه َما َعنِتُّ ْم َح ِريصٌ َعلَ ْي ُك ْم بِ ْال ُمْؤ ِمنِينَ َر ُءوفٌ ر َِّحي ٌم* فَِإن ت ََولَّوْ ْا َفقُلْ َح ْسبِ َي هَّللا ُ ال ِإلَـهَ ِإالَّ هُ‡ َ‡و َعلَ ْي‡ ِه‬
‫ش ْال َع ِظ ِيم‬
ِ ْ‫ت َوه َُو َربُّ ْال َعر‬ ُ ‫( }ت ََو َّك ْل‬129‫ـ‬128
Bin dawood zinjibar

KUMFUNGA JINI WA KICHAWI ASIMSUMBUE MGONJWA


tafuta kitambaa cheusi,sindano 7,asali safi,ndizi pungusa dole 1 arki marashi kichupa kimoja
majani ya mla ngamia kiasi ,kuku mweusi uvumba na ubani matumizi👇 👇🏿
Chuka chungu tia vitu hivyo anza hayo majani,sindano ,tia hiyo ndizi imenjee mimina asali kiasi
mimina na arki marashi kiasi kisha na kuku utamchinja utatia damu ktk hiko chungu kisha
utakifunika kitambaa cheusi mfano wa ngoma chungu hiko utakieka uvunguni wa kitanda cha
mgonjwa siku tatu mfululizo siku ya tatu kazike hiko chungu mahali ambapo unajua
hakitoonekana kwa mda mrefuu au hata maisha huo mtegoo mujarabuu
Kisha utatafuta nnta kiasi utazivingirisha vigololi vitatu kila kigololi tia uga wa kucha zako yani
uzipare kucha zako vidole vyote nnta ukishatia huo unga wa kucha ziviringishe uzur nnta mmoja
utazika ktk mbuyu ukifika uzuguke mbuyu kisha nuia wewe" mkuu hapingi na hakuna anaeweza
pita katikati yako nami yoyote yule aziweze nizuru wala kuningia aishie tu kunizunguka kama
nilivyokuzunguka wewe na waziweze ningia kwa lolote" nnta ya pili njia panda manuizi"kama
wewe unavyotawanyisha watu wa pande zote za dunia nami nazikaa hii ubaya wowote
nitakaokusudiwa utawanjike " nnta ya tatu kaburini manuizi "kakuna binaadam anataka kwa hiyari
yake kuja hapa kulala ila umauti nami mtu yoyote audui yoyote atakaenikusudia ubaya anione
kama kaburi wala asinitamani maisha "
Ukirudi nyumbani chuka chupa tatu za arki marashi zifungue kila kichupa tia usembe kiasi utaoga
kwa kumix na maji kwa siku tatu manuizi "natoa mikosi na giza lote ktk mwili na kama niliekea
vizibo vya macho nisione leo hii natoa kila balaa ktk mwili wangu"
Uzuri utoe na sadaka hiyo mujarabu
Kubmbuka!
Mtangulize Mungu kwa kila hatua

MAJINA YA TAHTIIL (8)

LAL TAHHTWIIL

MUHH TWAHHTWIIL

QAHH TWAHHTWIIL

FAHH TWAHHTWIIL

NAHH TWAHHTWIIL

JAHH LATWATWIIL

LAKHAHH TWATWIIL

LAMAQFANJAL

Majina matukufu kweli kweli na makhudami wanao FANYA KILA aina ya kazi za kher,

Unacho takiwa KUFANYA wakati unayasoma uwe wewe peke yako huku ukifusha
sandal,sandarusi,khandar,ubani mweupe,uvumba mweupe,mane mane na makal azrak,

Changany dawa hizo kwa pamoja ifanye fusho moja,

Yasome majina hayo mara 1000 KILA ukifika mia tia buhuri tia nia yako endelea,, kisha ikiwa ni
mvuto wa biashara basi yaandike katika karatasi utundike biasharani kwako,

Aslam alaikum natumai nyote wazema

Naam leo jumamosi haina nguvu KUFANYA Kazi za mvuto wa biashara au KUFANYA jambo la
zuri utakalo

Naam kulingana na elimu ilivyo ni pana zaidi


Ila KWA uchambuzi wangu naelewa aina tatu za ulimwengu

Kuna ulimwengu wa mwili,


Kuna ulimwengu wa kiroho,
Kuna ulimwengu wa majini

Ni upi ulimwengu wa ki mwili? ....


Huu ni ulimwengu ambao tuko nao kwasasa kutumia mwili kufanya jambo, yaani tunaish KWA
mwili,

Ulimwengu wa kiroho,....

Huu ni ulimwengu sawa na kuzimu kuzimu pia ni ulimwengu wa kiroho huko mwili haufanyi
kazi, sawa na ukiwa ndotoni unakuwa katika ulimwengu wako wa kiroho mwili haufanyi kazi
huko,

Ulimwengu wa kijinn huku ni sehemu maalum ambako mwanadamu na mwili wake hawezi kukaa
huko ila majini tu,,

Hiyo ni ulimwengu mitatu tuliyo nayo hapa dunia kwetu,

Asalam alaykum warahmatullah vipi hali zenu wana group naomba kujuwa dawa ya jino
linalouma yani limetoboka
Walaikum musalam warahmatullah wabarakat,

Ulipo kunayo miziz ya msufi?

You might also like