You are on page 1of 2

http://www.jamiiforums.

com/ujasiriamali/162685-kilimo-cha-zao-la-ufuta-masoko-mb
inu-na-ushauri-toka-kwa-wadau-23.html
ufugaji wa nyuki
http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/712370-sustainable-beeke
eping-ufugaji-nyuki-wa-kisasa-2.html
JITIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Tatizo hili limekuwa likiwakumba watu wengi kwa sasa, na hawajui la kufanya na w
engi huishia kutumia kemikali ambazo badala ya kuwaondolea tatizo hilo,
inakuwa inawaongezea kwa kiasi kikubwa. Zifuatazo ni dawa asili ambazo ni rahisi
kwa upatikanaji na ni rahisi kuandaa mwenyewe na zisizo na gharama kubwa
na wala hazina madhara yoyote kiafya.
1. MCHELE, MAZIWA, TENDE NA SAMLI
Ikiwa utapikwa mchele kwa maji ya tende (yaani tende zilowekwe ndani ya maji), n
a ikiwa zitalowekwa
zikiwa zinapondwapondwa kidogo ni bora zaidi,, tende hizo kiaasi cha robo kilo z
ilowekwe kwenye maji kiasi cha masaa 12,
yachukuliwe maji hayo yachanganywe na maziwa flesh ya ng ombe jazo sawa na ndio ya
fanywe maji ya kupikia mchele huo na mafuta yake ni samli,
basi chakula hicho kikiliwa kutwa mara moja kwa muda wa siku kumi na tano basi h
uongeza manii kwa kiwango cha juu kabisa.
2. ANISUNI
Chemsha Anisuni kiasi cha gram 100 kwa maji lita moja na nusu, hakikisha nusu li
ta inapotea kwa kuchemsha. Matumizi ni ujazo wa
kikombe cha kahawa moja kutwa mara 2 hadi maji hayo yaishe. Inshaaallah hii ni d
awa nzuri sana.
3. MBEGU ZA TIKITI MAJI
Chukua mbegu za tikiti maji kisha zikaushe kwa jua, baada ya kukauka zisage vizu
ri kabisa hadi upate unga wake, upime una
huo upate gwam 100, unga huo uchanganye na asali ya nyuki kiasi cha lita moja.
Matumizi ni kijiko kimoja cha chakula asubuhi kimoja, jioni kimoja hadi dawa yot
e iishe. Inshaallah ni mujarabu.
4. MCHICHA
Chukua mchicha kiasi cha gram 100 kisha upike kwa tangawizi kiasi cha gram 10, h
alafu kula mcicha huo asubuhi na jioni
kwa muda wa siku kumi na tano mfululilzo, utaona maajabu.
KITUNGUU THAUMU
Ponda robo kilo ya kitunguu thaumu kisha kichemshe kw litamoja ya maziwa ya kond
oo na nusu lita ya mafuta ya samli kisha
baada ya kuchemka ondosha kwenye moo kisha utie asali kiasi cha lita moja.
Matumizi: Kijiko cha chakul kimoja kutwa mara tatu, Inshaallah dawa hii kwa haba
ri hizo hailinganishwi na dawa zingine.
5. HABBAT THUFA
Chukua habbat thufa unga kiasi cha gram 100 changanya na unga wa hina kiasi cha
gram 50 kisha changanya na asali kiasi cha
lita moja. Dawa hii iache juani ichanganyike vizuri kwa masaa 24 ndipo uitumie.
Matumizi: Vijiko viwili vya chakula kutwa mara tatu au mbili hadi iishe, Inshaal
lah ni mujarabu.
6. UWATU
Chukua uwatu kiasi cha gram 100 kisha chemsha kwa maji lita moja na nusu, hakiki
sha nusu lita inaisha kwa kuchemsha,
kisha iondoe kwenye moto, baada ya hapo changanya na asali lita moja na nusu.
Matumizi: Vijiko 3 vya chakula asubuhi, mchana na jioni.
7. HIMSWI (AL-HAMZA)
Chukua Himswi (al-hamza) kiasi cha gram 100 kisha changanya na maji kiasi cha li
ta moja na nusu, chemsha hadi nusu

lita ipotee kw kuchemsha, kisha toa kwenye moto, changanya na asali lita moja na
ziada kidogo.
Matumizi: Vijiko vitatu asubuhi na jioni hadi dawa iishe utaona ajabu yake.
8. TANGAWIZI
Chemsha tangawizi gram 100 kwa maji lita moja na nusu kisha iondoe kwenye moto b
aada ya kuhakikisha imechemka
vizuri kabisa changanya na asali lita moja.
Matumizi: Vjiko vitatu vya chakula asubuhi, mchana na jioni hadi iishe.
9. MBEGU ZA FIGIRI NA MBEGU ZA UFUTA
Chukua mbegu za figir na mbegu za ufuta kwa ujazo wa gram 100, kisha zisage zote
hadi ziwe unga kisha changanya na asali lita moja,
jichue kwenye dhakari yako kama mtu mwenye kunyoosha misuli, na utakuwa unakula
kijiko kimoja asubuhi na jioni, na huku
ukiendelea kujichua asubuhi na jioni kwa siku ishirini na moja.
Kwa ushauri zaidi tuwasiliane, pia matatizo yakizidi muone daktari kwa matibau z
aidi.
USISAHAU KU-SHARE ILI ELIMU HII IWAFIKIE WATU WENGI ZAID
Habalsoda kijiko kimoja changanya ndani ya mayai saba ya kienyeji.Hatakama una
miaka120 utapata nguvu.
Atachukua unga wa Habbat-Sawdaa kiasi cha kijiko kimoja achanganye (apige) ndan
i ya mayai saba ya kienyeji;
atafanya hivyo siku baada siku kwa muda wa mwezi mmoja. Basi hata kama ana miaka
120 atapata nguvu za barobaro!

You might also like