You are on page 1of 3

KIFARANGA DAY ONE.

🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥
Pilipili 4
Limao 1 dogo
Takawizi kipande kimoja
Vitunguu swaumu punje 10
Molasses kijiko kikubwa kimoja mls 10
Emax mls 40
Maji Lita 20

Kwanini tunaanza hivi kwasababu kumchangamsha kuku kwa


kumwongezea kinga na vitamini pia nguvu na kutengeneza mapafu
yake Kama ana mafua

Vyombo vya maji panga 16 kwa wenye kuku 500

Vyombo panga 30 kwa wenye kuku 1000

Vyombo panga 45 kwa wenye kuku 1500

Hivi ni vyomba vitatumika kwa wiki baada ya chanjo tunaongeza


vyombo

Note vyombo vya maji visilingane na chakula hii zingatia wapendwa


tumesema broiler ni maji

Ukitumia emax aina haja ya kutumia virid emax inajitisheleza kwa


hiyo gharama za virid tunapunguza

Ukitumia molasses usinunue glucose kwahiyo gharama za glucose


zinapungua

Siku ya 2-6

Asubuhi
Molasses 10mls
Neoxchick
Jioni
EMax 40mls
Molasses 10mls
Swaumu punje 12
Pilipili 4
Tangawizi kipande

Siku ya SITA kuamkia ya Saba usiku unaweka maji plain tu

Siku ya Saba chanjo

Baada ya chanjo ni maji plain tu bila kitu


Note
Ikiwa unaona niwadhaifu weka molasses iwape nguvu kwanini
Kuna muda kuku baada ya chanjo wanakuwa wamechoka na
wasipokunywa maji vizuri au kula vizuri Ile chanjo INAWEZA
kureact tena ikasababisha kuku kuumwa kwahiyo inabidi kuwa
makini

Siku ya nane nitatoa mwongozo tena

Day 8-11 tumia 🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥


Amitoto vitamini
Emax mls 40
Molasses mls 20
Alovera kipande kidogo
Mpapai majani 3
Tangawizi kipande kidogo
Pilipili 4

Blend au twanga vyote vizuri wawekee kuku

Day 12-13 mchana 🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥


Amitoto
EMax 40mls
Molasses 30mls
Pilipili 4
Tangawizi kipande

Siku ya 13 usiku maji plain

Siku ya 14 chanjo
Maji plain

Day 15 🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥🐥
Amitoto
EMax 40mls
Molasses 40mls
Pilipili 4
Tangawizi kipande kikubwa
Limao 2
Papai majani. Matano
Vyombo vya maji kuku 500 ni 25- 30 chakula 17.
Kuku 1000 vyombo maji 45-50 - chakula 30
Zingatia vipimo vya molasses na emax ni Kila ndoo ya Lita 20 ndo
unaweka hicho kipimo
Kama una swali utauliza
Ugonjwa wowote ukiingia bandani please tuwasiliane kwanza

You might also like