You are on page 1of 40

Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

BIASHARA YA ICE-CREAM INALIPA SANA


Kwanza Fanya kitu unachokipenda
Halafu Penda Kitu Unachokifanya
Utanishukuru Baadaye
Nakukaribisha Katika Kitabu Changu
ujipatie ujuzi utakaoutumia maisha yako
yote
Biashara ya Ice cream ni nzuri sana na
inalipa na ndio maana Bakhresa na
Utajiri alionao lakini anauza ICECREAM
za mia 500, unajua kwanini?
Kwasababu biashara za aina hii zinahela
sana kwasababu hata mtu wa hali ya
chini mpaka mtoto ananunua na hapo
ndio kwenye wateja wengi
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

Tengeneza ICECREAM tamu ,kuwa


tofauti na wengine, ubunifu kama wote
na kuipenda kazi yako ili uifanye kwa
kuenjoy usiifanye kama adhabu

ICE CREAM ZA MAZIWA


📍MAHITAJI📍
➖ Maziwa fresh lita 5
➖ Maji lita 5
➖ Sukari kg 2
➖ kilainishi gram 60(Tumia CMC au
Unga wa Muhogo
➖ Ladha aina 2 /3
➖ Rangi aina nne
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

NAMNA YA KUANDAA
Anza kwa kumimina sukari katika sufuria
au beseni safi kisha ongeza kilainishi
koroga vizuri kisha ongeza maji na
ukoroge koroga sana sababu kilainisha
kina tabia ya kuwa na mabuja koroga
sana mpaka mchanganyiko ulainike
baada ya hapo ongeza maziwa na
ukoroge vizur tena baada ya kukoroga
vizur weka mchanganyiko wako jikoni na
uupike kwa moto mdogo kwa muda wa
dakika 10 hivi na utaona mchanganyiko
wako unakua na uzigo fulani hivi kiasi na
uzito huo ndo husaidia ice cream zako
ziwe laini baada ya hapo epua
mchanganyiko wako uchuje vizuri na
uuache upoe kisha tenga katika vyombo
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

vinne tofauti kutokana na flavour na


rangi zako mfano rangi ya pink njano
blue kijani flavour za mango
strawberries nanasi na nyingine
utakapenda kisha utaweka kila flavour
na fangi katika chombo koroga vizuri na
uanze kufunga ice cream zako katika
vifuko na uweke kwa friji usiku kucha na
baada ya hapo zitakua tayar
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

ICECREAM ZA UBUYU

MAHITAJI
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

➖Sukari gram 200


➖unga wa ubuyu grm 200
➖flavour 2
➖Maji lita 5
➖kikainishi grm 25

NAMNA YA KUANDAA

➖ sukari katika bakuli kubwa kisha


chekecha unga wa ubuyu
➖Changanya na sukari kisha ongeza
kilainishi na uchanganye vizur baada ya
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

hapo weka katika ndoo ndogo na uweke


maji lita tano anza kukoroga vizur
➖Mchanganyiko uchanganyike na
usiwe na mabuja baada ya hapo
utaona mchanganyiko wako unaanza
kua mzito
➖ Koroga tena vizuri kisha chuja
baada ya kuchuja tenga katika vyombo
tofauti kwa ajili ya rangi na flavor kisha
weka flavour na rangi kwa kila chombo
baada ya hapo funga na gandisha kwa
friza kwa ajili ya matumizi
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

ICE CREAM ZA RANGI TATU

MAHITAJI

➖Maziwa lita mbili


Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

➖Kilainishi kijiko ki1 tumia CMC au


CORNFLOUR AU UNGA WA MUHOGO
➖Maziwa ya unga robo
➖Flavour uipendayo
➖Sukari nusu kilo
➖Rangi aina tatu

• MAANDALIZI
Anza kwa kuchemsha maziwa yako
yakishachemka chukua bakul pemben
kisha koroga kilainishi chako na
umimine katika maziwa yaliyopo
jikoni huku ukiendelelea kukoroga na
utaona mchanganyiko wako unaanza
kua mzito baad ya hapo ongeza
maziwa ya unga na uendelee kukoroga
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

kisha ongeza flavour baada ya


kuongeza flavour ongeza sukar yako
huku ukiendelea kukoroga vizuri na
utaona imekua nzito zaidi na utaepua
na kuiacha ipoe baada ya kupoa sasa
gawanya mchanganyiko wako katika
bakuli tatu tofauti kwa ajili ya kuweka
rangi kisha weka rangi na ukoroge
vizur kisha hifadhi mchanganyiko wako
katika friza kwa muda wa lisa limoja
kusudi uwe mzito ili ukiChanganya
Katika vifuko rangi zitofautiane baada
ya lisaa itoe sasa na uanze kufunga
utaanza kufunga kama ifuatavyo
chukua kifuko cha ice cream kisha anza
kwa kuweka mchanganyiko wenye
rangi ya pink unaweka kidogo kusudi
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

ibaki nafasi ya rangi nyingine baada ya


hapo unachukua mchanganyiko wa
njano unaongea kisha unamalizia na
blue nimetaja rangi kwa mfano
unaweza kuweka rangi upendayo
wewe na baada ya hapo sasa
utaIfunga ice cream yako na kufanya
hivyo kwa nyingine zilizobaki na
ukimaliza hifadhi katika friza usiku
kucha au masaaa nane na zitakua
tayar enjoy
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

BARAFU ZA RANGI MBILI

MAHITAJI

➖Maziwa Fresh Lita 1

➖CornFlour kijiko 1 kikubwa


(inapatikana Maduka ya Vyakula /
Supermaket)

➖Condensed Milk vijiko 2 vya Chakula


(Maziwa ya Sona)

➖Maziwa ya Unga Kikombe 1


Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

Sukar kiasi unachotaka kuanzia Robo kilo


n.k

➖Jelly Powder vijiko 2 vya chakula (Ni


Ladha – inauzwa Madukani)

➖Rangi Aina mbili tofauti unazopenda


(weka kwenye chombo tofauti)

JINSI YA KUANDAA

➖weka Sufuria lako jikoni


Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

➖Weka Maziwa yako Lita 1 kwenye


Sufuria, Koroga maziwa yako vizuri
(Moto wa saizi ya kati)

➖Weka Conflour Kijiko 1 kikubwa na


Maji kikombe kimoja changa kwa
pamoja pembeni halafu ndio Weka
kwenye Sufuria lako, Endelea
kuchanganya (Kukoroga)

➖Weka Condensed Milk vijiko viwili


vya chakula (Maziwa ya Sona) weka
kwenye Sufuria lako halafu endelea
kukoroga Mchanganyiko wako jikoni, hii
inasaidia Ladha na pia inasidia kua Laini
barafu zako
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

➖Weka Maziwa ya Unga Kikombe 1


Endelea kukoroga vizuri mchanganyiko
wako

➖Baada ya hapo Angalia mchanganyiko


wako wa kiasi cha sukari kwasababu
Condesed Milk inasukari kiasi, pia
unaweza kuongeza kiasi cha sukari
kuanzia Robo n.k (weka kiwango cha
sukari unachopenda)

➖Endelea kuchanganya
Mchanganyiko wako jikoni
Utaona sasa Maziwa yako ni Mzito
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

➖Weka Jelly Powder vikombe 2 vya


chakula, weka kwenye maji kiasi koroga
kwa pamoja ndio uweke kwenye
mchanganyiko wako, hii ni ladha ya
strawberry na Ndizi

➖Endelea kuchanganya

➖Epua Mchanganyiko wako pembeni ili


upowe
Ukishapowa vizuri, Gawa mchanganyiko
wako sehemu Mbili tofauti na uweke
Rangi tofauti kwa kila moja, Kwa mfano
changanyiko A unaweka Rangi Nyekundu
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

na Mchanganyiko B unaweka Rangi


Kijani .

➖Chukua vifuko vyako kwa ajili ya


kupack barafu zako, anaza na Rangi
unayotaka ikifuatiwa na Rangi nyengine
Nina maana ya kwamba weka kwanza
mchanganyiko wako ambao upo na
Rangi moja, weka kiasi kwenye kifuko
chafu halafu malizia Mchanganyiko wako
unaotaka kuweka kwenye kifuko chako
cha kupack

➖Unaweza kuweka kwenye Fiza lako


kwa muda wa masaa 8 au zaidi
inategemea na fiza lako linavyogandisha
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

Pia unaweza kuongiza kwenye vikopo


vya plastiki
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

FRUITS ICE LOLLY / MALAI YA VIKOPO

MAHITAJI

✓ Strawberry 5 -10

✓ Mango 2 (embe mbivu)

✓ Sukari kiasi

✓ Maziwa fresh (Kikombe 1) Chemsha


Maziwa Yako Kwa usalama wa Afya zetu
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

✓ Tangawizi Kiasi

✓ Iliki kisi ( sio lazima )

JINSI YA KUTENGENEZA

➖Menya Embe zako vizuri weka


Kwenye bakuli lako

➖Osha strawberry zako vizuri ...weka


kwenye kibakuli.. Pamoja na Embe zako
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

➖Weka Vifaa vyako vyote kwenye


Blenda kama Embe, Strawberry , Maziwa
Kikombe 1, Sukari unachopenda,
Tangawizi Kiasi

➖Anza kusaga vifaa vyako vyote kwa


Pamoja kwenye Blenda yako

➖Weka sukari kiasi unayopenda


changanya vizuri kama hupendi kuweka
sukari siyo lazima

➖Toa Juice mchanganyiko wako


kwenye blenda , weka Juice yako
kwenye vikopo vyako than weka na Ujiti
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

Kwa kila kikopi kama unavyoona kwenye


picha hapo

➖Unaweza kuweka kwenye vikopo


unavyotaka.

➖Kama utahitaji Kwa Biashara


unaweza kuweka vikopo vingi kulingana
na idadi unayotaka

➖Weka vikopo vyako kwenye friza lako


mpaka zigande vizuri (ziwe kama Barafu
)
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

Tayari kwa kuliwa.

NOTE ➖ Unaweza Kutumia matunda


unayopenda ili kutengeneza Malai yako

NOTE: Vikopo hivo vinapatikana kwenye


Maduka ya Vifungashio, ukienda Dukani
sema nahitaji vikopo vya Malai. Au
muonyeshe picha ya hivo vikopo kama
unavyoona hapo Chini, Utapatiwa na
utachagua vikopo unavyotaka.

TAMU SANA HII KITU


Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

Hii ni Biashara mzuri Ukipenda , unaweza


kuuza Nyumbani, shuleni, wanafunzi
wanazipenda balaa
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

Hivi Vikopo vinauzwa Madukani,


Kwenye Maduka ya Ice-Cream
unapatiwa na Vijiti vyake
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

ICE CREAM ZA CHOCOLATE

MAHITAJI

√ Maziwa ya unga nusu kilo

√ Milo au chocolate powder

√ Kilainishi Kiasi (Tumia CMC au Unga wa


Muhogo

√ Maji lita 10

√ Sukari ya kawaida nusu kilo


Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

√ Sukari vijiko 3

√ Ladha ya chocolate kifuniko kimoja na


nusu

JINSI YA KUANDAA

➖Chukua beseni au sufuria kubwa


weka Maji Lita tatu mpaka nne weka
maziwa yote koroga vizuri yasiwe na
mabuja
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

➖Kisha weka sukari na Kilainishi koroga


vizuri mpaka hakikisha Kilainishi hakiachi
mabuja , Kisha mimina maji yaliyo salia
Koroga vizuri kabisa na baada ya hapo
weka ile cocoa powder au Milo Kisha
koroga vyema

➖Weka Ladha ya chocolate onja Kama


sukari imekolea na kila kitu kipo sawa ,
weka kwenye mifuko au vikopo vya
lambalamba tayari kwa kugandisha

Enjoy
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

ICE CREAM ZA UKWAJU

MAHITAJI
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

✓ Ukwaju wa 1000
✓ Juice cola za unga 3(au zaidi kulingana
na utamu unaotaka)
✓ Hiliki
✓ Unga wa muhogo robo
✓ Mifuko ya kufungiwa

NAMNA YA KUTENGENEZA

➖Koroga uji wako wa muhogo na


hakikisha unakuwa mzito sana ( ila usiwe
km ugali) hakikisha unachemka muda
mrefu na kuiva kabisa kisha weka
pembeni,chemsha ukwaju wako ambao
utatia hiliki humo vichemke pamoja.
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

Weka pembeni vyote vipoe kabisa kisha


chuja ukwaju ktk chombo kingine kisafi
na kikubwa kwaajili ya kuja
kuchanganyia vitu vyako vyote.
Ukishachuja sasa ongeza maji kiasi na
kisha weka ule uji wako kidogo kidogo
huku unakoroga ili usifanye
madonge,utaendelea kuweka mpk
utakaporidhika na uzito wa
mchanganyiko wako.(hakikisha
mchanganyiko wako hauwi mwepesi).

➖Vikishakuwa tayari sasa weka juice


cola moja baada ya nyingine huku
unaonja kuhakiki utamu wa ice cream
zako.
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

➖Ukitaka rangi utahitajika kuchukua


juice cola za rangi tofauti na hapo
utagawa mchanganyiko wako wa
muhogo na ukwaju ktk makundi utakayo
km idadi ya rangi zako. Hapo utakoroga
vizuri na kuanza kufunga kwenye mifuko
yako.

➖NB: kwa biashara utatumia juice cola


kwa sababu sukari itaenda nyingi na
hautapata faida.

➖Pia tunatumia juice cola kwaajili ya


rangi na ladha pia,hapo utatoa ice cream
tamu na laini mnoo.
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

JUICE ZA UBUYU PIA MAELEZO NI HAYA


HAYA UNATOA TU UKWAJU UNAWEKA
UBUYU AU UNAWEKA VYOTE KWA
PAMOJA

ICE-CREAM ZA UKWAJU NA UBUYU


Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

✓ Ukwaju nusu kg

✓ Ubuyu wa elfu moja

✓ Sukari vibakuli 2

✓ Arki ya potessa kifuniko 1 na nusu

✓ Rangi kiasi

NAMNA YA KUANDAA

➖Teleka ubuyu mpk tumba ziwe hazina


nyama epua chuja,teleka ukwaju wacha
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

uchemke mpk uwe mzito epua chuja


weka maji ktk tumba za ubuyu na
ukwaju fikicha chuja weka ktk rojo lako
mpk utimie ndoo ndogo ijaee tele weka
rangi na arki yako koroga weka sukari
koroga funika wacha mpk ipowe aza
kufunga mpk umalize weka ktk freeza
acha zigande uzaaa..

➖Unaweza ukaongeza maji ikiwa bado


unaona ni mzito mchanganyiko wako,pia
sukari weka kabla mchangabyiko hauja
poa maana sukari inakolea mara moja.

➖Ni mazuri matamu na laini


Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

NB:-
teleka= kuweka jikoni

➖Hapo kwenye kuchemsha ubuyu na


ukwaju unaweza ukachemsha vyote kwa
pamoja na kuchuja vyote ili kurahisisha
kazi.

➖Ukitaka kuongeza uzito ili zisiwe


ngumu ziwe laini unaweza kutumia unga
wa ubuyu ukauchemsha na kuchanganya
na lile rojo lako la ice cream kama ubuyu
una kambakamba utasafisha kabla pia
unaweza kuchuja baada ya kuchemsha;;;
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

➖Pia katika kuongeza ulaini unaweza


ukatumia corn flour; au unaweza
kutumia unga wa ngano kidogo; au
unaweza kutumia kilaini maalum
kinaitwa CMC inauzwa madukani ni
maalumu kwa kazi hio ya kufanya ice
cream ziwe laini.

TAMU: EJOY
Mwandishi ni Madam Aisha: 0744796049

SWEET POPSICLES

You might also like