You are on page 1of 1

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI

MALIGHAFI

1. Salphonic acid
2. Silece, unga loli
3. Soda ashi
4. Chumvi ya unga 2kg
5. Glisalin ya kiwandani 600ml
6. Pafum
7. Rangi ya sabuni
8. Maji Lita 100

vifaa vinavyotumika kutengeneza sabuni ya maji,

 Chombo chenye uwezo wa kubeba Lita 100


 chombo kikubwa chenye uwezo wa kubeba zaidi ya Lita tano za maji,
 Mwiko
Jinsi ya kutengeneza
Chukua chombo chenye uwezo wa kubeba Lita 100 kikaushe, kisha chukua Salphonic acid Pima
weka ndani ya chombo hicho, chukua silesi Pima weka ndani ya chombo kilicho na Salphonic
acid, kisha chukua Mwiko Anza kukoroga kuelekea upande a mkono mmoja, koroga hadi
mkorogo uyetuke. Kisha chukua chombo kikubwa chenye uwezo wa kuchukua Lita 5 kikaushe
kisha chukua soda ashi Pima weka ndani ya chombo hicho, chukua Chumvi ya unga Pima weka
ndani ya chombo kilicho na soda ashi,

Chukua maji Lita tano mimina humo na ukoroge na chota maji Lita tano, weka kwenye chombo chenye
soda ashi na Chumvi unakoroga pamoja, kuelekea mkono mmoja,

Note kumbuka kama umechagua kupeleka mgorogo mkono wa kushoto, koroga kwenda mkono huo pia
katika mkorogo yote. Chukua Pafum ya kiwandani weka kwenye mchanganyiko,

You might also like