Professional Documents
Culture Documents
JINSI YA KUPIKA
1. Vunja mayai uchanganye na sukar, uchukue mchapo (whisk} upige huo mchanganyiko
bila kuachia mkono, mpaka uvimbe uje juu, kisha tia mafuta endelea kupiga na baadae
tia mafuta endelea kupiga na baadae tia maziwa, kisha endelea kupiga kama dk 3 kisha
tia unga wa sembe na wa ngano ambao umeuchanganya na ile Baking powder
uchanganye vizur kwa kutumia mwiko.
2. Weka mchanganyiko katika sufuria ambayo umeipaka mafuta kisha choma kwa oven au
mkaa hakikisha moto umeshakorea
3. Choma mpaka uwe na rangi ya gold, uchome na kijiti kirefu ktk mkate, kama kijiti
kitatoka kisafi hakina mnato hapo mkate wako tayari, utoe katika sufuria uache upoe
kisha ukate
PICCALILI SQUA
5lb chicken breast cubed Green
MAHITAJI
1. Ndiz mbivu 2
2. Unga wa ngano 2
3. Baking powder, kijiko 1 kikubwa
4. Cocoa
5. Maziwa kikombe 1
6. Sukar kikombe 1
7. Compound chokulete
8. Mafuta nusu
9. Ark kijiko 1
MAANDALIZI
Weka ndizi ndani ya Blender weka sukar Pamoja na mafuta kisha saga
Mimina katika bakuli kisha chukua unga wa ngano changanya na kokoa au chokuleti ya ungu,
wengine wanaweka kahawa, weka na Baking Powder weka kwenye chujio. Halafu chukua
mchanganyiko wanye dizi changanya na unga kisha changanya kwa mwiko au kijiko kikubwa.
Hapo utakuwa mzito sana
Chukua maziwa yako, mimina, kisha changanya vizuri kwa mwiko weka na Arki yako
Mchanganyiko ½ weka chokolet kisha weka kwenye Oven
JINSI YA KUPIKA DAGAAA
Kaanga dagaa
Weka zichuuje mafuta
Mafuta kiasi
Kitunguu maji
Nyanya chungu, zikaange kiasi
Weka swaumu na tangawizi
Nyanya,funika kwa dk3, kisha weka bamia
Weka dagaa
Weka karoti
Weka hoho
Weka fishi masala
Weka Chumvi kiasi
Weka maziwa mgando
Weka tui la nazi
Weka maji kiasi
Kisha funika kwa dk5 kisha epua tali kwa kula
TEMBELE
Loweka tembele
Weka mafuta kiasi
Weka vitunguu maji
Nyanya 2
Weka tembele
Chumvi kidogo
Mchuz mix /carpoda
Karoti
Hoho
Tui
Limao
SAMAKI WA KUOKA
Limao
Fish masala
Pilipili nyeupe
BBQ masala
Chumvi
Mafuta
Tangawizi & swaumu
Koroga, nap aka Samaki
VITUMBUA
Loweka mchele usiku kucha
ASUBUHI
Utoe weka kwenye blender
Weka sukar kiasi
Weka hiliki
Weka amira
Weka vanira
Weka tuli la nazi
Saga mpaka ulainike, funika kwa mda wasaa moja, kisha changanya
Tayari kwa kuchomwa
MAIN ROST
Mafuta
Maini
Chumvi
Acha yachemke mpaka yaive kisha weka
Limao
Saum
Beef masala
Viazi mviringo
Vitunguu maji changanya hoho, sweet chich, nyanya ya kusaga funika hoho, karoti,na
pilipili mbuzi, Tuli la nazi