Professional Documents
Culture Documents
Document
Document
Nahuu pia ni mpangilio wa shikeri katia namba yae, inamaana nimezipanga ila shikeri na
mlango wake inapo takiwa kukaa.
Mfano;
1.ukikuta-1222 =na
2. ukikuta-2121=na
3. ukikuta-1212=na
4. ukikuta-2222=na
5. ukikuta-1121=na
6. ukikuta-1221=na
7. ukikuta-2221=na
8. ukikuta-2122=na
9. ukikuta-1211=na
10. ukikuta-2212=na
11. ukikuta-1111=na
12. ukikuta-1122=na
13. ukikuta-2112=na
14. ukikuta-2211=na
15. ukikuta-2111=na
16. ukikuta-1112=na
Ndugu msomaji wa kitabu hiki cha shikeri katika kitabu hiki kuna upigaji wa shikeri x2, au
tatu kuna njia ndefu na njia fupi na kuna kutazama kwa kuangalia swali ulilo ulizwa na
muulizaji.
Pia kuna vitu vya muhimu vya kutazama ambavyo ni milango ya shikeri, unatakiwa
uzingatie kila mlango unazungumzia nini au kila mlango una husu nini.
Mfano:
1. Mlango wa kwanza ni mlango wa muulizaji (nafsi).
2. mlango wa pili ni mlango wa mali, utafutaji, kipato.
3. mlango wa tatu ni mlangu wa ndugu,jamaa,rafiki.
4. mlango wa nne ni mlango wa mji au nyumba.
5. mlango wa tano ni mlango wa elimu,uchumba au kizazi.
6. mlango wa sita ni mlango wa maradhi.
7. mlango wa saba ni mlango wa ndoa.
8. mlango wa wa nane ni mlango wa ugaibuni yaani ugenini au alikotoka au anakotaka
kwenda.
9. mlango wa tisa ni mlango wa safari,msafiri.
10. mlango wa kumi ni mlango wa ufalme,viongozi,mizimu au muajili.
11.mlango wa kumi na moja ni mlango wa tamaa au kitu anacho kitamani au mipango ya
muulizaji au matarajio yake ya badae.
12. mlango wa kumi na mbili ni mlango wa uadui, mfano mtu kakuuliza kuhusu ndoa
yake kwanini haina amani au kuhusu mambo yake basi unatakiwa uangalie mlango wa 7
na mlango wa 12 au katika mlango wa 12 kukiingia shikeri ya inamaana uadui
huo ni mkali sana na uchawi huo ni wa kaburini.
13. Mlango wa kumi na tatu ni mlango wa muulizai yani unaonyesha ninini alicho kiuliza
muulizai.
14. mlango wa kumi na nne ni mlango wa mwalim anae piga hizi shikeri yaani mtazamaji.
15.mlango wa kumi na tano ni mlango wa nyumba au nyumbani kwake.
16. mlango wa kumi na sita ni mlango wa mwisho na ni mlango wa hatima yaani ni
mlango wa mahakikisho ya ramli au kutazama mwisho wa matatizo ya muulizaji
yatakuaje.
MLANGO WA NAFSI
2222 JAMAA
1.ugaibuni kuna mgonjwa anajini bahari.
2. kipato chako kina mikutano mibaya kuna watu wanakaa kukujadili ili kukuharibia.
3. ndugu hao hawana maana, wana kukalia vikao vibaya.
4. kwenye mji wako watakuja watu wengi au kutakua na mkutano au atakuja mtu au watu
kwa ajili ya kusuluhisha jambo au kujadili kitu furani.
5. kizazi cha mkeo ni majuto na ana jinni bahari.
6. hali ya mgonjwa itakua mbaya sana na kuna hatari ya kupoteza maisha.
7. ndoa yako ni ya migogoro maana kuna watu wanawakalia vikao.
8. ugaibuni kuna mkusanyiko wa watu na kama kuna mgonjwa atakufa.
9. safari yako haina heri, usiende.
10. ufalme wako unataka kukutana, fanya tambiko.
11. tamaa zako zina rohani.
12. uadui wako ni wa watu wengi kaa chonjo.
13. unatazama habari kutoka ugaibuni.
14. mwalimu utapata wageni wengi na kama kwako kuna mgonjwa atakufa.
15. nyumbani kwako watakuja wageni.
16. hatma kutakua na watu wengi kutoka ugaibuni, au kama kuna agonvu watakuja watu
kuwa suluhisha.
1121
1.nafsi ina wasi wasi juu ya kitu furani au maneno.
2. kipato chako kina kheri japo kina manneno maneno ya watu.
3. ndugu ana piga kelele ana jinni.
4. mji una furaha lakini watu hawaelewani.
5. kizazi kina jinni.
6. mgonjwa ana jinni na anapiga kelele.
7. ndoa ni nzuli ila ina mikutano ya fitna.
8. ugaibuni kuna mgonjwa au kuna ugonvi.
9. safari itakua nzuli ila jiepushe na ugonvi.
10. ndani kwenu hakuna maelewano na ufalme wako hauelewani tafadhari fanya tambiko
au toa sadaka.
11. tamaa zako zina jinni mganga.
12. uadui wako ni wa ndani na hakuna maelewano.
13. unatazaa kuhusu mkeo/mumeo au watoto.
14. mwalimu utaskia kelele za msiba au utafiwa.
15. nyumbani kwenu hampatani.
16. hatma ni nzuli lakini lazima uaguliwe.
2221 IN KIS
1.nafsi ina kiza umerogwa na umefukiwa kaburini.
2. rizki yako ina nuksi kari, agua.
3. ndugu amerogwa na katupiwa jinni maiti.
4. mji una nuksi na una jinni mbaya.
5. kizazi kime nuksika.
6. maradhi hayo ni makali sana na umefungwa.
7. ndoa yako ina giza kubwa na ina hatari ya kuvunjika.
8. tangani kuna kiza hakuna heri.
9. safari yako haina heri usiende na kuna hatari ya kupata ajari.
10. ufalme wako umefungwa fungua.
11. matamanio yako yamefungwa, fungua.
12. uadui huo ni mkali sana na huenda ukakumbwa na balaa.
13. sail ramli ni yako mwenyewe, unatazama kwanini mambo yako yana haribika.
14. mwalimu utasifiwa sana kwa mambo mazuli.
15. nyuba yako ina nuksi kali, agua.
16. hatma hakuna heri mpaka utibiwe.
2122
1. nafsi yako ina wasi wasi juu ya kitu au mtu furani.
2. kipato chako kina uadui kali.
3. ndugu ana wasiwasi na maneno.
4. mji huo ni mbaya watu wana logana.
5. kizazi chako kina joto baya, agua.
6. ugonjwa huo ni mkali sana na kuna sihiri ndani yake, pia anae fanya uchawi huo ni
mwanamke.
7. ndoa yako ni ya vurugu hakuna maelewano.
8. ugaibuni kuna msiba au kama kuna mgonjwa atakufa.
9. safari yako haina heri usiende.
10. ufalme wako hauna neno ila mwiliwako ndo mbaya.
11. kamaa zako ni mbaya zina kijicho, agua.
12. uadui huo ni kali sana tafadhali agua.
13. muulizaji una wasi wasi una mgonjwa.
14. mwalimu utapata jambo la haraka.
15. nyumba yako ina uadui mkali sana.
16. hatma ni mbaya mpaka utibiwe.
2212 BAYADHWA
1. ndugu muulizaji unauliza kuhusu ndoto uliyoota.
2. amali yako ni nzuri ili mkeoana jinibahari.
3. ndugu hawana uadui hata kidogo.
4. mji wako hauna tatizo.
5. mkeo ana mimba ya mwezi mmoja au miwili.
6. maradhi yana uadui wa jinni.
7. ndoa yako ina Baraka.
8. ughaibuni hakuna tatizo na kama kuna mgonjwa atapona.
9. safari yako ina bahati na mafanikio.
10. ufalme ni mzuri.
11. tamaa zako ni nzuri.
12. uadui ni wa mashetani.
13. una ahadi Fulani au watoto wanaumwa.
14. mwalimu atapata mali.
15. nyumba yako haina uadui.
16. hatma ni nzuri.
1122
2211
1112
1. utapata au utasikia maneno ya kukukera leo au kesho.
2. kipato chako kina uadui mkubwa sana na kimefungwa.
3. ndugu huyo ni mzuri sana atakusaidia.
4. mji wako una maneno mengi na makelele.
5. kizazi chako kina jinni,agua.
6. mgonjwa atapona akiaguliwa.
7. ndoa,kazi vina uadui na vina uadui na fitina kubwa kuna hatari ya kuachana.
8. ughaibuni kuna maneno maneno ya wanawake.
9. safari yako usiende ni mbaya sana.
10. ufalme una uadui wa kijini.
11. matanio yako yana jini mbaya.
12. uadui wako ni wa mashetani au jinni maiti.
13. unatazama kuhusu mgonjwa.
14. mwalimu utapata msiba au makelele.
15. usitamani vya mwenzio utakosa kili kitu.
16. hatma itakua ni mbaya sana na uadui